Magufuli ni utitiri aliyembeba tembo kwa spidi ya cheetah

Filosofia ya Rorya

JF-Expert Member
Sep 20, 2021
3,214
3,587
Kama NECTA wangepewa kusahihisha posts za JF na kutoa matokeo ya wanaostahili kubaki JF nadhani wangebaki watano tu (mimi nikiwemo) na Melo angelazimika kufunga JF maana asingeweza kutumia rasilimali fedha kuendesha jamvi la watu watano tu.

Watanzania tutafute kuijuwa vizuri historia ya nchi ili tubalance story zetu tunapoandika. Huo ndiyo uandishi unavyotakiwa kuwa.

Kila kukicha propaganda zinashamiri juu ya Ben Saanane, Tundu, Roma Mkatoliki.

Kimsingi, ifahamike kwamba sipingani na yaliyowatokea maana ni dhahir shahir yamewatokea, ila kwa nia gani na kwa mikono ya nani siyo hoja yangu.

Kinachonishangaza ni kuwa hatutendi haki kwa Magufuli kumuhusisha na hao watu.

Ifahamike kwamba Tz haikuanza enzi ya Magufuli 2015, Tz ilikuwepo tangu Tanganyika na matukio yalikuwepo tena mengi kuliko enzi ya Magufuli maana enzi zile dunia ilikuwa kwy vita ya itikadi (nipige nikupige).

Diplomasia ilipoteza uwezo wa kusimamia amani ya dunia, na silaha za maangamizi ya umma ndizo zikachukuwa nafasi ya diplomasia. Zikaundwa kambi za kujihami za NATO na WARSAW PACT zilizotokana na dhana za Unipolar na Bipolar kwa mtiririko huo.

Dola za Magharibi zikalinajisi bara la Afrika kwa mapinduzi, uhaini na uasi zikitumia mamluki na vibaraka. Wako wapi viongozi wanamapinduzi wa Afrika? Wako wapi wengi wa Wana-PAFMECA, Wana-PAN-AFRICA?

Nkrumah na Raila wakiongoza kwa kupangua majaribio ya kuuawa, Nkrumah 5 Raila 6.

Wako wapi akina Sylvanus Olympio wa Togo? Patrice Lumumba wa Zaire? Thomas Sankara wa Burkina Faso? Orton Chirwa wa Malawi? Steve Biko wa Afrika Kusini, Chief Albert Luthuli first African Laureate? Tom Mboya? Arwings Kodhek? Hezekiah Ochuka, Josiah Mwangi Kariuki (alikuwa Waziri wa Maliasili na mwili wake ulitupwa kwy safu za Ngong na wanyama waliulinda usiliwe. Watafutaji walikuta kundi kubwa la Fisi likishika doria ya mwili kuzuia Tai/Vultures wasiule kwa siku kadhaa usiku na mchana hadi ulipopatikana. Kwa wasiojuwa Fisi hawindi kwa kuangalia chini bali angani kwa kuangalia mwelekeo wa Tai wanapoenda kutua. Wanyama waliulinda mwili wa Waziri wao wa Maliasili Kariuki).

Dola za Magharibi zikaimarisha Afro Dictators Club (Kamuzu Banda, Mobutu Sese Seko, Idd Amin, Pik Botha, Omar Bongo, Jonas Savimbi, Mangosuthu Buthelezi, Andre Matsangaissa wa RENAMO, Ian Smith, Joshua Nkomo, Jean-Baptiste Bagaza, nk).

Dola hizo za Magharibi zikang'ang'ania kuzipiga vita POLISARIO zikitumia kibaraka Morocco na pia SWAPO zikitumia Makaburu.

Hata hapa nyumbani Sir. Richard Gordon Turnbull aliiga style ya Wajerumani (repression) ya watu wasiojulikana na wanaojulikana kuwaondoa na kuwatishia akina Nyerere. Hata kama Magufuli ameyafanya (sina ushahidi) yeye siyo wa kwanza.

Ili kutenda haki inabidi unayepost u balance story. Tujuwe binadamu ana hulka kwamba akisikiliza habari moja tuu 24/7/30/365... inamkifu na habari hiyo inapungua thamani, uzito na umuhimu kwenye masikio, ubongo na mtima wa mlaji wa habari hiyo.

Kila kukicha ni Ben Saanane, Tundu, Roma Mkatoliki kama vile hawa pekee ndiyo wamefikwa na madhila hayo kwenye nchi.

Mbona hamumtaji Chacha Wangwe? Mbona hamumtaji Akwilina Akwilini?

Kila siku ni Ben Saanane, Tundu, Roma Mkatoliki.

Ina maana hao wana nguvu za kikatiba na kiitifaki kuliko wafuatao?

1. Rais Sheikh Abeid Karume?

2. Rais Sheikh Aboud Jumbe Mwinyi?

3. Sheikh Thabit Kombo Katibu Mkuu wa ASP?

4. Abdulla Sadala Mjumbe wa Baraza la Mapinduzi?

Namba 3 na 4 walijeruhiwa kwy mauaji (uhaini) ya Rais Karume Kisiwandui 7 Apr 1972.

Ina maana Roma ana nguvu kuliko hao marais?

Hayo mambo Magufuli amezaliwa ameyakuta, ameingia kwenye urais ameyakuta, hajaondoka nayo ameyaacha pia.

Kama hujui kudurusu historia utaandika zombie tu. Binadamu akichoshwa na habari moja tuu hutamani kusikia ya kale ili ajuwe alikotoka, alipo na aendako (anatamani kurejelea ya kale ambayo ni dhahabu).

Hivi kwanini hamshikii bango kwa kuandika juu ya wafuatao au hamjui historia ambayo ina kawaida ya kuweka kumbukumbu?

1. Bibi Titi Mohammed alifia Afrika Kusini.

2. Abdullah Kassim Hanga Waziri Mkuu wa Znz aliyedumu kwa miezi 3 na nusu tu 12 Jan 1964 hadi 27 Apr 1964.

3. Abdulaziz Twaha Znz.

4. Fr. Joseph Anselmo Mwagambwa Znz. Alishambuliwa kwa tindikali.

5. Prof. Abdulrahman Babu. Mkimbizi.

6. Oscar Kambona. Mkimbizi.

7. Kassanga Tumbo. Mkimbizi.

8. Hussein Shekilango Waziri wa Maliasili. Ndege ndogo aliyopanda ilianguka Monduli milimani. Habari za kuvumishwa zinadai ndege ilishambuliwa na majangili. Shekilango aliacha rekodi ya ushupavu kwy wizara hiyo ngumu duniani.

9. Edward Sokoine Waziri Mkuu wa JMT. Msafara wake uliingiliwa na kugharimu uhai wake. Operesheni yake dhidi ya wahujumu uchumi ilimjengea kutopendwa na waovu kama Magufuli alivyokuwa hapendwi na waovu. Nilishuhudia wafanyabiashara wakimwaga ela kwa tipa (binua mchanga) mtoni kwenda ziwani na wavuvi wakaacha kuvua samaki wakawa wanavua ela tu, vijiji vikatapakaa ela. Nyerere ikambidi akabili anguko la uchumi kwa ela kuzagaa kwa kubadili noti kuleta mpya na walioenda na mifuko ya ela kuzibadili benki waliswekwa ndani. Mbona Magufuli tuu ndiyo nongwa eti kanyang'anya watu ela! Kwanza Sokoine hana legacy ya kuonekana kwa macho ukimlinganisha na Magufuli.

10. Lt. Gen. Imran Kombe.

12. Stan Katabalo.

13. Saed Kubenea.

14. Adam Mwaibabile (aliwekwa kizuizini bila kupelekwa Kortini na kupigwa marufuku mkoa wa Ruvuma kwa ripoti zake za uchunguzi dhidi ya wakubwa hadi hapo nguvu za kalamu za umma wa wanahabari zilipomtoa kizuizini na kufikishwa Kortini na kuhukumiwa kihalali kwa kosa la kuhujumu usalama wa taifa kufuatia kujipatia nyaraka za siri zilizoandikwa kumzuia kupewa vibali vya kazi zake. Alikufa 1 Feb 2007 kwa matatizo ya figo).

15. Daudi Mwangosi.

16. Dr. Stephen Ulimboka.

Ijulikane kwamba Saanane, Tundu na Roma siyo mashujaa wa nchi hii hadi wasujudiwe kihivyo.

Mtu kuwa shujaa wa taifa kuna vigezo vinavyozingatia maisha yake chanya na hasi. Umma haujui upande hasi wa Saanane, Tundu na Roma ili uone kama wanatosha kuwa mashujaa.

Tundu mwenyewe hilo analijuwa vizuri ndiyo maana alipambana Bungeni kuondoa jina la Dr. Lawrence Gama kwy orodha ya mashujaa kwy Makumbusho ya taifa Songea.

Abdallah Said Fundikira alikuwa mpinzani lakini kwa nguvu ya katiba, sheria, mila na desturi alitambuliwa kama shujaa wa taifa kwa wadhifa wake wa Chifu wa Unyanyembe. Mfumo huo huo alioishi kuupinga ndiyo huo haukuwa na choyo ya kumtambua kama shujaa wa taifa.

Tundu hili analijuwa, sasa kama alimpinga Dr. Gama kutambuliwa kama shujaa mbona hampiganii Roma Mkatoliki et al watambuliwe kama mashujaa?

Magufuli mwenyewe hakuwa mpigania uhuru, ameingia kwenye orodha ya mashujaa wa taifa kwa nguvu ya katiba iliyompa wadhifa wa kiongozi wa nchi (rais). Sasa Tundu, Saanane na Roma walipigania uhuru?

Kumsemasema Magufuli kila siku ili achukiwe na umma wote ni kumpa umaarufu bila kujuwa. Hiyo ni kumsujudia ambako ni sawa na kumuabudu na ghadhabu ya MUNGU haitawaepuka maana MUNGU ni mwenye wivu.

Hatuwezi kufungua ukurasa mpya tukamwacha Magufuli akapumzika? Hatuna habari zingine za kuandika? Kweli nimeamini Magufuli hafutiki kwa kemikali yoyote duniani. Kama mmenasa kwa Magufuli anayewakera mjuwe watu wenye vinasaba kama vyake wataendelea kuzaliwa hivyo mjiandae kukereka milele yote.

Maswali ya msingi tunayopaswa kujiuliza ni haya:-

1. Mauti ya Magufuli kama yanapaswa kufurahiwa YAMELETA MABADILIKO GANI NAFUU KWENYE NCHI? Watz wote 100% wanafaidika na kifo chake?

2. Uhai wa Magufuli kama unapaswa kufurahiwa ULILETA MABADILIKO GANI NAFUU KWENYE NCHI?

Tusipokuwa makini na kumsemasema Magufuli ipo hatari inatunyemelea ya kumfanya Idol (kama ambavyo Nyerere amefanywa Mtakatifu na Wakatoliki) na watazuka watu watatumia uhuru wa katiba wa kuabudu utakacho kujenga sanamu kubwa ya Magufuli na kwenda kuiabudu kwa kuiomba iwape majibu ya matatizo ambayo serikali imeshindwa kuwapa. Ni hapa ndipo Idol itakuwa na nguvu kuliko kiongozi aliye hai.

Kama Wakatoliki wamempa Nyerere kuwa Mtakatifu iko siku zitazuka dhehebu au dini nyingine nazo zitamsimika Magufuli kuwa Mtakatifu wao (na hapa pia ndipo tutakapopima kauli ile ya Makamba ya wema na wabaya)

Caucasians wenyewe wanatamani wangepata kinasaba chake wangeenda kuchunguza kama kweli alikuwa mwafrika 100%.

Msiba wake kwa kauli ya PM ulifuatiliwa na watu 3.5 bl kati ya watu 7.5 bl wa dunia.

Marais 14 duniani walisitisha kazi kwa muda kufuatilia maziko Kijijini Mlimani Chato kwa njia ya TV.

Viongozi wa nchi na serikali zaidi ya 20 hawakujali Uviko-19 na wakahudhuria maziko. What if kama Uviko-19 isingekuwepo? Tz pangetosha? Siingekuwa kama nyomi la Kombe la Dunia!.

Kwa mara ya kwanza nilishuhudia wapiganaji (maaskari) wakitokwa machozi hadharani Kijijini Mlimani.

Kiongozi wa nchi ni nembo ya nchi, ukimdhihaki umeidhihaki nchi yako na ukiidhihaki nchi yako umejidhihaki mwenyewe (wewe ni mtumwa)

Watz tunatia aibu. Hata kwenye forums za ughaibuni Watz wanatia aibu. Watz wanashindwa kujenga hoja. Hawawezi kutengeneza mahusiano ya maudhui/content, muktadha/context na mantiki/logic. Hawana maarifa ya Critical Thinking/Kufikiri kwa makini na Critical Reasoning/Kujenga hoja kwa umakini. Watz wakipewa changamoto wanaishia kutukana (wanajibu hoja kwa matusi na dhihaka badala ya kujibu kwa point)
 
Kama NECTA wangepewa kusahihisha posts za JF na kutoa matokeo ya wanaostahili kubaki JF nadhani wangebaki watano tu (mimi nikiwemo) na Mello angelazimika kufunga JF maana hasingeweza kutumia rasilimali fedha kuendesha jamvi la watu watano tu.

Watanzania tutafute kuijuwa vizuri historia ya nchi ili tubalance story zetu tunapoandika. Huo ndiyo uandishi unavyotakiwa kuwa.

Kila kukicha propaganda zinashamiri juu ya Ben Saanane, Tundu, Roma Mkatoliki.

Kimsingi, ifahamike kwamba sipingani na yaliyowatokea maana ni dhahir shahir yamewatokea, ila kwa nia gani na kwa mikono ya nani siyo hoja yangu.

Kinachonishangaza ni kuwa hatutendi haki kwa Magufuli kumuhusisha na hao watu.

Ifahamike kwamba Tz haikuanza enzi ya Magufuli 2015, Tz ilikuwepo tangu Tanganyika na matukio yalikuwepo tena mengi kuliko enzi ya Magufuli maana enzi zile dunia ilikuwa kwy vita ya itikadi (nipige nikupige). Diplomasia ilipoteza dira yake.

Aisee umetisha sana, hizi sasa ndio nondo tena nondo haswa

Wale watoto wa Facebook hawawez kukoment hapo

Umeongea fact tena fact tupu
 
Kama NECTA wangepewa kusahihisha posts za JF na kutoa matokeo ya wanaostahili kubaki JF nadhani wangebaki watano tu (mimi nikiwemo) na Mello angelazimika kufunga JF maana hasingeweza kutumia rasilimali fedha kuendesha jamvi la watu watano tu.

Watanzania tutafute kuijuwa vizuri historia ya nchi ili tubalance story zetu tunapoandika. Huo ndiyo uandishi unavyotakiwa kuwa.

Kila kukicha propaganda zinashamiri juu ya Ben Saanane, Tundu, Roma Mkatoliki.

Kimsingi, ifahamike kwamba sipingani na yaliyowatokea maana ni dhahir shahir yamewatokea, ila kwa nia gani na kwa mikono ya nani siyo hoja yangu.

Kinachonishangaza ni kuwa hatutendi haki kwa Magufuli kumuhusisha na hao watu.

Ifahamike kwamba Tz haikuanza enzi ya Magufuli 2015, Tz ilikuwepo tangu Tanganyika na matukio yalikuwepo tena mengi kuliko enzi ya Magufuli maana enzi zile dunia ilikuwa kwy vita ya itikadi (nipige nikupige). Diplomasia ilipoteza uwezo wa kusimamia amani ya dunia, na silaha za maangamizi ya umma ndiyo zikachukuwa nafasi ya diplomasia zikaundwa kambi za kujihami za Unipolar na Bipolar.

Ili kutenda haki inabidi unayepost u balance story. Tujuwe binadamu ana hulka kwamba akisikiliza habari moja tuu 24/7/30/365... inamkifu na habari hiyo inapungua thamani, uzito na umuhimu kwenye masikio, ubongo na mtima wa mlaji wa habari hiyo.

Kila kukicha ni Ben Saanane, Tundu, Roma Mkatoliki kama vile hawa pekee ndiyo wamefikwa na madhila hayo kwenye nchi.

Mbona hamumtaji Chacha Wangwe? Mbona hamumtaji Akwilina Akwilini?

Kila siku ni Ben Saanane, Tundu, Roma Mkatoliki.

Ina maana hao wana nguvu za kikatiba na kiitifaki kuliko wafuatao?

1. Rais Sheikh Abeid Karume?

2. Rais Sheikh Aboud Jumbe Mwinyi?

3. Sheikh Thabit Kombo Katibu Mkuu wa ASP?

4. Abdulla Sadala Mjumbe wa Baraza la Mapinduzi?

Namba 3 na 4 walijeruhiwa kwy mauaji (uhaini) ya Rais Karume Kisiwandui 7 Apr 1972.

Ina maana Roma ana nguvu kuliko hao marais?

Hayo mambo Magufuli amezaliwa ameyakuta, ameingia kwenye urais ameyakuta, hajaondoka nayo ameyaacha pia.

Kama hujui kudurusu historia utaandika zombie tu. Binadamu akichoshwa na habari moja tuu hutamani kusikia ya kale ili ajuwe alikotoka, alipo na aendako (anatamani kurejelea ya kale ambayo ni dhahabu).

Hivi kwanini hamshikii bango kwa kuandika juu ya wafuatao au hamjui historia ambayo ina kawaida ya kuweka kumbukumbu?

1. Bibi Titi Mohammed alifia Afrika Kusini.

2. Abdullah Kassim Hanga Waziri Mkuu wa Znz aliyedumu kwa miezi 3 na nusu tu 12 Jan 1964 hadi 27 Apr 1964.

3. Abdulaziz Twaha Znz.

4. Fr. Joseph Anselmo Mwagambwa Znz. Alishambuliwa kwa tindikali.

5. Prof. Abdulrahman Babu. Mkimbizi.

6. Oscar Kambona. Mkimbizi.

7. Kassanga Tumbo. Mkimbizi.

8. Hussein Shekilango Waziri wa Maliasili. Ndege ndogo aliyopanda ilianguka Monduli milimani. Habari za kuvumishwa zinadai ndege ilishambuliwa na majangili. Shekilango aliacha rekodi ya ushupavu kwy wizara hiyo ngumu duniani.

9. Edward Sokoine Waziri Mkuu wa JMT. Msafara wake uliingiliwa na kugharimu uhai wake. Operesheni yake dhidi ya wahujumu uchumi ilimjengea kutopendwa na waovu kama Magufuli alivyokuwa hapendwi na waovu. Nilishuhudia wafanyabiashara wakimwaga ela kwa tipa (binua mchanga) mtoni kwenda ziwani na wavuvi wakaacha kuvua samaki wakawa wanavua ela tu, vijiji vikatapakaa ela. Nyerere ikambidi akabili anguko la uchumi kwa ela kuzagaa kwa kubadili noti kuleta mpya na walioenda na mifuko ya ela kuzibadili benki waliswekwa ndani. Mbona Magufuli tuu ndiyo nongwa eti kanyang'anya watu ela! Kwanza Sokoine hana legacy ya kuonekana kwa macho ukimlinganisha na Magufuli.

10. Lt. Gen. Imran Kombe.

12. Stan Katabalo.

13. Saed Kubenea.

14. Adam Mwaibabile (aliwekwa kizuizini bila kupelekwa Kortini na kupigwa marufuku mkoa wa Ruvuma kwa ripoti zake za uchunguzi dhidi ya wakubwa hadi hapo nguvu za kalamu za umma wa wanahabari zilipomtoa kizuizini na kufikishwa Kortini na kuhukumiwa kihalali kwa kosa la kuhujumu usalama wa taifa kufuatia kujipatia nyaraka za siri zilizoandikwa kumzuia kupewa vibali vya kazi zake. Alikufa 1 Feb 2007 kwa matatizo ya figo).

15. Daudi Mwangosi.

16. Dr. Stephen Ulimboka.

Ijulikane kwamba Saanane, Tundu na Roma siyo mashujaa wa nchi hii hadi wasujudiwe kihivyo.

Mtu kuwa shujaa wa taifa kuna vigezo vinavyozingatia maisha yake chanya na hasi. Umma haujui upande hasi wa Saanane, Tundu na Roma ili uone kama wanatosha kuwa mashujaa.

Tundu mwenyewe hilo analijuwa vizuri ndiyo maana alipambana Bungeni kuondoa jina la Dr. Lawrence Gama kwy orodha ya mashujaa kwy Makumbusho ya taifa Songea.

Abdallah Said Fundikira alikuwa mpinzani lakini kwa nguvu ya katiba, sheria, mila na desturi alitambuliwa kama shujaa wa taifa kwa wadhifa wake wa Chifu wa Unyanyembe. Mfumo huo huo alioishi kuupinga ndiyo huo haukuwa na choyo ya kumtambua kama shujaa wa taifa.

Tundu hili analijuwa, sasa kama alimpinga Dr. Gama kutambuliwa kama shujaa mbona hampiganii Roma Mkatoliki et al watambuliwe kama mashujaa?

Magufuli mwenyewe hakuwa mpigania uhuru, ameingia kwenye orodha ya mashujaa wa taifa kwa nguvu ya katiba iliyompa wadhifa wa kiongozi wa nchi (rais). Sasa Tundu, Saanane na Roma walipigania uhuru?

Kumsemasema Magufuli kila siku ili achukiwe na umma wote ni kumpa umaarufu bila kujuwa. Hiyo ni kumsujudia ambako ni sawa na kumuabudu na ghadhabu ya MUNGU haitawaepuka maana MUNGU ni mwenye wivu.

Hatuwezi kufungua ukurasa mpya tukamwacha Magufuli akapumzika? Hatuna habari zingine za kuandika? Kweli nimeamini Magufuli hafutiki kwa kemikali yoyote duniani. Kama mmenasa kwa Magufuli anayewakera mjuwe watu wenye vinasaba kama vyake wataendelea kuzaliwa hivyo mjiandae kukereka milele yote.

Maswali ya msingi tunayopaswa kujiuliza ni haya:-

1. Mauti ya Magufuli kama yanapaswa kufurahiwa YAMELETA MABADILIKO GANI NAFUU KWENYE NCHI? Watz wote 100% wanafaidika na kifo chake?

2. Uhai wa Magufuli kama unapaswa kufurahiwa ULILETA MABADILIKO GANI NAFUU KWENYE NCHI?

Tusipokuwa makini na kumsemasema Magufuli ipo hatari inatunyemelea ya kumfanya Idol (kama ambavyo Nyerere amefanywa Mtakatifu na Wakatoliki) na watazuka watu watatumia uhuru wa katiba wa kuabudu utakacho kujenga sanamu kubwa ya Magufuli na kwenda kuiabudu kwa kuiomba iwape majibu ya matatizo ambayo serikali imeshindwa kuwapa. Ni hapa ndipo Idol itakuwa na nguvu kuliko kiongozi aliye hai.

Kama Wakatoliki wamempa Nyerere kuwa Mtakatifu iko siku zitazuka dhehebu au dini nyingine nazo zitamsimika Magufuli kuwa Mtakatifu wao (na hapa pia ndipo tutakapopima kauli ile ya Makamba ya wema na wabaya)

Caucasians wenyewe wanatamani wangepata kinasaba chake wangeenda kuchunguza kama kweli alikuwa mwafrika 100%.

Msiba wake kwa kauli ya PM ulifuatiliwa na watu 3.5 bl kati ya watu 7.5 bl wa dunia.

Marais 14 duniani walisitisha kazi kwa muda kufuatilia maziko Kijijini Mlimani Chato kwa njia ya TV.

Viongozi wa nchi na serikali zaidi ya 20 hawakujali Uviko-19 na wakahudhuria maziko. What if kama Uviko-19 isingekuwepo? Tz pangetosha? Siingekuwa kama nyomi la Kombe la Dunia!.

Kwa mara ya kwanza nilishuhudia wapiganaji (maaskari) wakitokwa machozi hadharani Kijijini Mlimani.

Kiongozi wa nchi ni nembo ya nchi, ukimdhihaki umeidhihaki nchi yako na ukiidhihaki nchi yako umejidhihaki mwenyewe (wewe ni mtumwa)

Watz tunatia aibu. Hata kwenye forums za ughaibuni Watz wanatia aibu. Watz wanashindwa kujenga hoja. Hawawezi kutengeneza mahusiano ya maudhui/content, muktadha/context na mantiki/logic. Hawana maarifa ya Critical Thinking/Kufikiri kwa makini na Critical Reasoning/Kujenga hoja kwa umakini. Watz wakipewa changamoto wanaishia kutukana (wanajibu hoja kwa matusi na dhihaka badala ya kujibu kwa point)
Asante kwa kutuongezea idadi lakini ukweli utabaki pale pale.
 
Ehe...Chapa Chapa Dengu
Ndio ieleweke Chuma ni Chuma, Jiwe ni Jiwe

Ngurumo lazima zimesikika Chato Leo- not lightly said!

Viroboti mpaka wafanye gugu trnslashion(typo ya makusudi hapo juu)ndio waje na dhihaka kama kawaida!.

F.Rorya amani ikufikie, uendelee na baraka. Ahsante sana kwa utashi na kuwafungulia macho na mawazo mbadala Wananchi wengi ambao bado hawajapata hata mda waku'grieve' -Kuomboleza-kwa sababu ya madongo dhidi ya Familia ya Watanzania na Waafrika kwa ujumla uliotokana na Uhasama, Udhalimu na Wivu dhidi ya Hayati Raisi.
Ahsante.
 
Back
Top Bottom