Ukiona hivyo, ujue hao viongozi wanaomtetea hawampendi kiongozi wao.
Ni kweli kabisa maisha yamebadilika mno, natamani kiongozi wetu siku moja aache tu maisha yake hayo yasiyozijua dhiki na tabu...
Haya mambo ya kukatika kwa umeme tulishayasahau tangia mwanzoni mwa utawala wa awamu ya tano.
Tunaotegemea umeme kwa majukumu yetu ya kila siku, imekuwa shida kubwa sana kwa kiwango ambacho...
Hakuna DC aliyewahi kuja Bukoba mwenye ujasiri na uthubutu kama Moses Machali. Kafanya mambo magumu bila kuogopa mtu, ametouch hata untouchable wa mji wakatikisika japo wamemsagia kunguni kwa Mama...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha, imewaachia huru Watuhumiwa 24 akiwemo Mwenyekiti wa CCM wa Wilaya, Nderango Laizer na madiwani 10 wa kata mbalimbali za Wilaya hiyo baada ya Mwendesha Mashtaka wa...
Duniani kote Wasaliti ndio husababisha mabadiliko ya dhati kutokea na ukombozi kupatikana haraka tukianzia kwa Yuda Iskarioti mwenyewe
Dr Bashiru anaweza kuonekana anaisaliti CCM lakini aweza...
Wasalaam wanajukwaa!
Na Gregory Jumbe Mahanju,
Nataka kutuma ujumbe kwa wateule wa Rais Samia Suluhu Hassan akiwemo Waziri wa TAMISEMI Ndg Angela Kairuki, Katibu mkuu wa TAMISEMI,Mkuu wa mkoa wa...
Nimefurahi uchaguzi unaendelea ndani ya CCM ni hatari tupu, wale matajiri waliowekwa kando na Mh Mwendazake, sasa wanarudi Kwa kasi kasi ya 4G.
Ninaikumbuka sana CCM ya kabla ya Magufuli...
Habari kuna mijadala mingi inaendelea ambayo haina faida kwa mwananchi Mnyonge hasa kuhusu Bashiru, Tuna tatizo kubwa sana la umeme,Kimara siku ya pili tuko gizani kira kitu kimelala,wahusika...
☝🏾Ukipenda muite Dr. Bashiru Ally Kakurwa
Anatibu upele, harara, Surua, Kaswende Gono na muwasho kwenye ngozi.
Kaongea kwa dakika moja ila anajibiwa wiki nzima, kaongea sehemu moja anajibiwa...
Hawa wanachama wa CCM wameishiwa hoja badala yake wanatumia mashambulizi kwa mtindo wa mbwamwitu, wanadhani wakishambulia kwa wingi wa kundi lao basi watakuwa wamejenga hoja!
CCM imeishiwa watu...
Dkt BASHIRU USITURUDISHE KWENYE TANZANIA YENU YA GIZA!!
Dkt Bashiru,
Nimeona maudhui yako udhi kwenye vyombo vya habari yakilenga kutweza juhudi na mafanikio makubwa ambayo Rais wetu kipenzi...
Watanzania tunaotumia mtandao huu wa Jamiiforums, tutoe maoni yetu ni nani anapaswa kulaumiwa kati ya CCM iliyokaa madarakani kwa miaka 62 sasa au ni mabadiliko ya tabia ya nchi.
Karibuni kwa...
Wao waliamini wakiwazuia wapinzani kufanya mikutano ya siasa na kukutana na makundi mbalimbali ya jamii, basi wao watakuwa salama kisiasa na upinzani utakufa/utadhhofika.
Hata hivyo, kwa jinsi...
Wakati viongozi wakitazamia kusimika mabavu yao, kwa kawaida huwa wanashambulia haki zetu za uhuru wa kujieleza kwanza. Tumeona mchezo huu mara nyingi. Kwanza wanashambulia vyombo vya habari...
Watanzania wanafiki sana haswa wa mlengo wa CCM, huwa wana mazoea ya kuelekeza vidole vya lawama kwa kila taifa ila wao hujiona kama wastaarab walionyooka kuzidi mataifa mengine yote.
Leo...
Wadau Nawasalimu.
Tuliokuwepo wakati wa UTAWALA wa AWAMU ya Pili ya RAIS MWINYI tulikuwa tunamsikia BABA wa TAIFA Mwl. Nyerere Akiongea na Wazee wa Dar es salaam AKIIKOSOA Serikali ya Awamu ya...
Nape Nnauye: Tangu Rais Samia mnaona, hatusikii watu wanafinywa finywa, mambo yanakwenda. Wewe sema pumua ukalale.
Halafu sisi tutapima, la maana tutabeba, linalotokana tu na hasira utakuwa...
Mbali na kumsikia #Makamba na #Maharage wake! Peke yao wakituambia Ngonjera zao kila uchao!
Ni lini kiongozi mwingine Mwandamizi wa serikali hii ya CCM. Aliwahi kutembelea Mabwawa ya Maji ya...