CCM ya Mwinyi ilikosolewa hadharani na Nyerere kwanini CCM hii haina uvumilivu wa kukosolewa?

Sir robby

JF-Expert Member
Jun 22, 2022
2,400
4,073
Wadau Nawasalimu.

Tuliokuwepo wakati wa UTAWALA wa AWAMU ya Pili ya RAIS MWINYI tulikuwa tunamsikia BABA wa TAIFA Mwl. Nyerere Akiongea na Wazee wa Dar es salaam AKIIKOSOA Serikali ya Awamu ya Pili na CCM na hakuna Mtu aliyethubutu Kumjibu iwe kwenye Magazeti Redio au ndani ya CCM. Ukosoaji wake ilikuwa ni Changamoto kwa Serikali na CCM kujirekebisha.

Jambo la KUSHANGAZA
Kwa Sasa ni tofauti Mwanaccm akiikosoa CCM au SERIKALI tena UKOSOAJI wa KUIJENGA wanaibuka kina KIBAJAJI na KIHONGOSI kumtukana na Kumwambia huyo mtu AJITAFAKALI au Ana tatizo la AKILI. Nadhani tufike mahali Tuheshimiane kila mtu ana HAKI na UHURU wa kutoa MAONI yake na Kama hukubaliani na UKOSOAJI wake basi TUKOSOANE kwa HOJA sio MATUSI na Vitisho.
 
CCM halisi tuliyoifahamu sisi ilishakufa zamani kabisa.. Baada ya hapo zikazaliwa CCM nyingi nyingi kama
CCM maslahi
CCM wakuja
CCM makinikia
Na sasa tuna ccm KIZUNGUMKUTI.. Hii ndio ccm kuelekea 2025..
 
Wadau Nawasalimu.

Tuliokuwepo wakati wa UTAWALA wa AWAMU ya Pili ya RAIS MWINYI tulikuwa tunamsikia BABA wa TAIFA Mwl. Nyerere Akiongea na Wazee wa Dar es salaam AKIIKOSOA Serikali ya Awamu ya Pili na CCM na hakuna Mtu aliyethubutu Kumjibu iwe kwenye Magazeti Redio au ndani ya CCM. Ukosoaji wake ilikuwa ni Changamoto kwa Serikali na CCM kujirekebisha.

Jambo la KUSHANGAZA
Kwa Sasa ni tofauti Mwanaccm akiikosoa CCM au SERIKALI tena UKOSOAJI wa KUIJENGA wanaibuka kina KIBAJAJI na KIHONGOSI kumtukana na Kumwambia huyo mtu AJITAFAKALI au Ana tatizo la AKILI. Nadhani tufike mahali Tuheshimiane kila mtu ana HAKI na UHURU wa kutoa MAONI yake na Kama hukubaliani na UKOSOAJI wake basi TUKOSOANE kwa HOJA sio MATUSI na Vitisho.
Ccm ya sasa imevamiwa na wezi..mafisadi na walaghai ambao wapo kulinda maslahi yao binafsi kutokana na wizi wanao ufanya.

Hivyo yakisikia mtu anataka kuhatarisha ulaji wao lazima yamshambulie kutoka kila pembe.

Shetani hana rafiki.

#MaendeleoHayanaChama
 
Tatizo Bashiru anakosoa huku roho inamuuma, kama angekosoa akiwa Bashiru yule wa UDSM, hakika leo hii kila mtu angemuunga mkono, ila kila tukikumbuka kwamba Bashiru huyu ndio alisema watatawala hata kwa Dola, kwakweli hastahili hata kugusa pindo la nguo ya SSH.
 
Back
Top Bottom