Dkt. Bashiru usiturudishe kwenye ‘Tanzania ya giza’

Suphian Juma

Senior Member
Apr 2, 2019
133
546
Dkt BASHIRU USITURUDISHE KWENYE TANZANIA YENU YA GIZA!!

Dkt Bashiru,

Nimeona maudhui yako udhi kwenye vyombo vya habari yakilenga kutweza juhudi na mafanikio makubwa ambayo Rais wetu kipenzi cha WaTanzania ameyafanya na anaendelea kutufanyia WaTanzania ndani ya muda mfupi wa miaka miwili Ikulu. Na kwamba unasonona kuona dunia inasema Rais wetu "ana upiga mwingi".. Ooops!!

Mmeharibu Nchi yetu kila Sekta, mmepa kazi ngumu Mama kuhangika kuiponya na kuirejesha Nchi yetu kwenye utimamu na afya yake, badala ya kumwomba radhi na kumpongeza unamzodoa na kumnyali bila aibu? Audacity hii unaipata wapi Mwana Mwendazake?

Hivi huoni kabisa Demokrasia na Haki za Binadamu zilizorejeshwa? Tulivyofunguliwa Nchi duniani kiasi cha kutwa awamu hii tunasemwa vema duniani ukilinganisha na awamu yenu? Mahusiano ya Kimataifa na Diplomasia yaliyoboreshwa? Mzunguko wa Fedha ulivyoongezeka mtaani hadi "vyuma vimekaza" yenu imeanza kufutika? Huduma za kijamii zilivyoboreshwa? Na mafanikio mengine nukuki yanaonekana? Kipofu huoni Mzee wangu?

Huoni Wafanyakazi wapya walioajiriwa baada ya nyie kutowaajiri kwa miaka mitano mfululizo na wala kutothubutu kuwaongezea mishara, kutowapandishia madaraja, na wala kuwalipa malimbikizo wafanyakazi kwa nusu muongo?

Wewe si ndiye aliyetufundisha wanafunzi wako pale Chuo Kikuu cha Dar es Salaam UDSM kwamba mtu akifanya vema apongezwe ili afanye bora zaidi ya zaidi? Ulituongopea? Ulitulisha matango pori eti?

Hivi Mkikosa madaraka akili huwa zinawaruka mnatamani kila siku muwe nyie? Bashiru wewe ulikuwa Katibu Mkuu ambaye ulizuia Kila MTU asikosoe Serikali uliwafundisha watu wote wawe watu wa kusifia umesahau hili? Na atayekaidi watu wasiojulikana walimshughulikia?

Dr Bashiru wewe ndio unaingia kwenye Historia kuwa Katibu Mkuu uliyefeli kuliko Makatibu wakuu wote, Siasa zako zilikuwa za kununua Wapinzani, kuwalazimisha Wapinzani na Sio kuwashawishi watu wakipende Chama chetu cha Mapinduzi CCM, umesahau?

Bashiru wewe ndiye uliwanyima Uhuru wazee wetu akina Membe, Kinana, Mzee Makamba ukiwaziba mdomo wa kutoa hata mawazo yao mujarabu wa ajili ya Chama na Serikali yetu, je na uhalali gani wa kutukemea tusipongeze "upiga mwingi" wa Mama Samia?

Bashiru na genge lenu tunafahamu hamfurahii huu Uhuru anaoutoa Rais Samia mnataka kuturudisha huko nyuma kwa Wapinzani kukimbia Nchi, mnataka kuturudisha kwenye Nchi ya "Free Fulani katekwa," viroba vya maiti zimeokotwa baharini? Wakosoaji wamebambikiziwa kesi? Wamehohiwa uraia wao?

Tunajua hamfurahii kuona Mama akikaa meza moja na Wapinzani hili ndio linawatesa wewe na genge lenu, Punguzeni ubinafsi hii Nchi itajengwa na Watanzania wote bila matabaka yoyote.

Halafu kabla ya kutuambia haya uliyoyasema utuambie Lini ulirudisha kadi ya CUF na Lini ulipokea kadi ya CCM, maana tunakufahamu kama wewe ni mwanachama wa kukodishwa.

Tunawapa salamu wewe na hao wanaokutuma Mama Samia tupo nae hadi 2030. Msahau kabisa kufanikisha "kampango" kenu cha kitoto cha kutaka kuingia Ikulu 2025.

Rais wangu na Mwenyekiti wangu wa Chama cha Mapinduzi CCM, Mama Samia umewanyoosha, walidhani utafeli, kiti cha Urais kitakupwaya, badala yake kiti kimekuenea na kila uchwao unaishangaza dunia kwa mafanikio yasiyomithilika, kaza hapo hapo, tuwajue wanapovujia.

KAZI IENDELEE!!

Suphian Juma Nkuwi,
Kada kindakindaki wa CCM.
Novemba 20, 2022.
Simu: 0717027973

IMG-20221119-WA0004.jpg
IMG_20221118_114255.jpg
 
Bashiru ni mbwa kama wale mbwa wengine walioharibu nchi yetu .Mama piga kazi tuko na wewe leo na hata milele na milele
 
Yale maujinga yako ya Twita unayaleta huku?
Huku ni home of great thinkers na sio kijiwe cha kujipendekezea kutafuta fursa. Hakikisha ukileta hoja yako uendelee kuitetea sio unatuchefua kisha unaikimbia hoja yako. Hapa sio mahali pa kuendekeza upuuzi wa kitoto.
Sasa twende kazi, kwa nini Bashiru asiseme kama Samia anapewa sifa zisizo zake katika kipindi hiki serikali imefeli katika mambo mengi tuu?

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Ninyi ndiyo mnatufanya watanzania tubaki kuwa masikini Siku zote.Nchi zinazojitambua rais akikosea anaambiwa na anajirekebisha tofauti na huku rais mnamuona hakosei.Akiambiwa ukweli punguwani mnajitokeza kuandika vi thread vya kipuuzi na kuweka namba ya simu ili upate nini?teuzi?upuuzi na ujinga kabisa
 
...wakiwamaliza hao,wataanza na wale.Msipojitafakari na kuchukua hatua,watahamia kwenu"...!Wakati ni huu.Strike the iron while hot!
 
Bashiru ni mbwa kama wale mbwa wengine walioharibu nchi yetu .Mama piga kazi tuko na wewe leo na hata milele na milele
Samia na wewe wote mbwa sio? Maana kama Bashiru ni mbwa na nyinyi wote ni mbwa maana alikiwa karibu mkuu wenu!
 
Dkt BASHIRU USITURUDISHE KWENYE TANZANIA YENU YA GIZA!!

Dkt Bashiru,

Nimeona maudhui yako udhi kwenye vyombo vya habari yakilenga kutweza juhudi na mafanikio makubwa ambayo Rais wetu kipenzi cha WaTanzania ameyafanya na anaendelea kutufanyia WaTanzania ndani ya muda mfupi wa miaka miwili Ikulu. Na kwamba unasonona kuona dunia inasema Rais wetu "ana upiga mwingi".. Ooops!!

Mmeharibu Nchi yetu kila Sekta, mmepa kazi ngumu Mama kuhangika kuiponya na kuirejesha Nchi yetu kwenye utimamu na afya yake, badala ya kumwomba radhi na kumpongeza unamzodoa na kumnyali bila aibu? Audacity hii unaipata wapi Mwana Mwendazake?

Hivi huoni kabisa Demokrasia na Haki za Binadamu zilizorejeshwa? Tulivyofunguliwa Nchi duniani kiasi cha kutwa awamu hii tunasemwa vema duniani ukilinganisha na awamu yenu? Mahusiano ya Kimataifa na Diplomasia yaliyoboreshwa? Mzunguko wa Fedha ulivyoongezeka mtaani hadi "vyuma vimekaza" yenu imeanza kufutika? Huduma za kijamii zilivyoboreshwa? Na mafanikio mengine nukuki yanaonekana? Kipofu huoni Mzee wangu?

Huoni Wafanyakazi wapya walioajiriwa baada ya nyie kutowaajiri kwa miaka mitano mfululizo na wala kutothubutu kuwaongezea mishara, kutowapandishia madaraja, na wala kuwalipa malimbikizo wafanyakazi kwa nusu muongo?

Wewe si ndiye aliyetufundisha wanafunzi wako pale Chuo Kikuu cha Dar es Salaam UDSM kwamba mtu akifanya vema apongezwe ili afanye bora zaidi ya zaidi? Ulituongopea? Ulitulisha matango pori eti?

Hivi Mkikosa madaraka akili huwa zinawaruka mnatamani kila siku muwe nyie? Bashiru wewe ulikuwa Katibu Mkuu ambaye ulizuia Kila MTU asikosoe Serikali uliwafundisha watu wote wawe watu wa kusifia umesahau hili? Na atayekaidi watu wasiojulikana walimshughulikia?

Dr Bashiru wewe ndio unaingia kwenye Historia kuwa Katibu Mkuu uliyefeli kuliko Makatibu wakuu wote, Siasa zako zilikuwa za kununua Wapinzani, kuwalazimisha Wapinzani na Sio kuwashawishi watu wakipende Chama chetu cha Mapinduzi CCM, umesahau?

Bashiru wewe ndiye uliwanyima Uhuru wazee wetu akina Membe, Kinana, Mzee Makamba ukiwaziba mdomo wa kutoa hata mawazo yao mujarabu wa ajili ya Chama na Serikali yetu, je na uhalali gani wa kutukemea tusipongeze "upiga mwingi" wa Mama Samia?

Bashiru na genge lenu tunafahamu hamfurahii huu Uhuru anaoutoa Rais Samia mnataka kuturudisha huko nyuma kwa Wapinzani kukimbia Nchi, mnataka kuturudisha kwenye Nchi ya "Free Fulani katekwa," viroba vya maiti zimeokotwa baharini? Wakosoaji wamebambikiziwa kesi? Wamehohiwa uraia wao?

Tunajua hamfurahii kuona Mama akikaa meza moja na Wapinzani hili ndio linawatesa wewe na genge lenu, Punguzeni ubinafsi hii Nchi itajengwa na Watanzania wote bila matabaka yoyote.

Halafu kabla ya kutuambia haya uliyoyasema utuambie Lini ulirudisha kadi ya CUF na Lini ulipokea kadi ya CCM, maana tunakufahamu kama wewe ni mwanachama wa kukodishwa.

Tunawapa salamu wewe na hao wanaokutuma Mama Samia tupo nae hadi 2030. Msahau kabisa kufanikisha "kampango" kenu cha kitoto cha kutaka kuingia Ikulu 2025.

Rais wangu na Mwenyekiti wangu wa Chama cha Mapinduzi CCM, Mama Samia umewanyoosha, walidhani utafeli, kiti cha Urais kitakupwaya, badala yake kiti kimekuenea na kila uchwao unaishangaza dunia kwa mafanikio yasiyomithilika, kaza hapo hapo, tuwajue wanapovujia.

KAZI IENDELEE!!

Suphian Juma Nkuwi,
Kada kindakindaki wa CCM.
Novemba 20, 2022.
Simu: 0717027973

View attachment 2422422View attachment 2422423
Suphian hujakumbukwa tu? Naona umeweka mawasiliano kabisa
 
Tunaposema CCM imejaa wajinga mtuelewe!

Umeandika utopolo tupu!

Embu onyesha kosa la Bashiru!

Na unaposema mnafanya mazuri ndio unamsanisha.... Kukosa huduma ya maji, kukosa umeme, maisha kuwa magumu tangu tuwe na Uhuru,.?

Mna laana nyie, na ndiyo maana ni mwaka wa pili mvua haziji, jichunguzeni huko!
 
Tena wana laana ya hali ya juu na Jumong wao!
 
Dkt BASHIRU USITURUDISHE KWENYE TANZANIA YENU YA GIZA!!

Dkt Bashiru,

Nimeona maudhui yako udhi kwenye vyombo vya habari yakilenga kutweza juhudi na mafanikio makubwa ambayo Rais wetu kipenzi cha WaTanzania ameyafanya na anaendelea kutufanyia WaTanzania ndani ya muda mfupi wa miaka miwili Ikulu. Na kwamba unasonona kuona dunia inasema Rais wetu "ana upiga mwingi".. Ooops!!

Mmeharibu Nchi yetu kila Sekta, mmepa kazi ngumu Mama kuhangika kuiponya na kuirejesha Nchi yetu kwenye utimamu na afya yake, badala ya kumwomba radhi na kumpongeza unamzodoa na kumnyali bila aibu? Audacity hii unaipata wapi Mwana Mwendazake?

Hivi huoni kabisa Demokrasia na Haki za Binadamu zilizorejeshwa? Tulivyofunguliwa Nchi duniani kiasi cha kutwa awamu hii tunasemwa vema duniani ukilinganisha na awamu yenu? Mahusiano ya Kimataifa na Diplomasia yaliyoboreshwa? Mzunguko wa Fedha ulivyoongezeka mtaani hadi "vyuma vimekaza" yenu imeanza kufutika? Huduma za kijamii zilivyoboreshwa? Na mafanikio mengine nukuki yanaonekana? Kipofu huoni Mzee wangu?

Huoni Wafanyakazi wapya walioajiriwa baada ya nyie kutowaajiri kwa miaka mitano mfululizo na wala kutothubutu kuwaongezea mishara, kutowapandishia madaraja, na wala kuwalipa malimbikizo wafanyakazi kwa nusu muongo?

Wewe si ndiye aliyetufundisha wanafunzi wako pale Chuo Kikuu cha Dar es Salaam UDSM kwamba mtu akifanya vema apongezwe ili afanye bora zaidi ya zaidi? Ulituongopea? Ulitulisha matango pori eti?

Hivi Mkikosa madaraka akili huwa zinawaruka mnatamani kila siku muwe nyie? Bashiru wewe ulikuwa Katibu Mkuu ambaye ulizuia Kila MTU asikosoe Serikali uliwafundisha watu wote wawe watu wa kusifia umesahau hili? Na atayekaidi watu wasiojulikana walimshughulikia?

Dr Bashiru wewe ndio unaingia kwenye Historia kuwa Katibu Mkuu uliyefeli kuliko Makatibu wakuu wote, Siasa zako zilikuwa za kununua Wapinzani, kuwalazimisha Wapinzani na Sio kuwashawishi watu wakipende Chama chetu cha Mapinduzi CCM, umesahau?

Bashiru wewe ndiye uliwanyima Uhuru wazee wetu akina Membe, Kinana, Mzee Makamba ukiwaziba mdomo wa kutoa hata mawazo yao mujarabu wa ajili ya Chama na Serikali yetu, je na uhalali gani wa kutukemea tusipongeze "upiga mwingi" wa Mama Samia?

Bashiru na genge lenu tunafahamu hamfurahii huu Uhuru anaoutoa Rais Samia mnataka kuturudisha huko nyuma kwa Wapinzani kukimbia Nchi, mnataka kuturudisha kwenye Nchi ya "Free Fulani katekwa," viroba vya maiti zimeokotwa baharini? Wakosoaji wamebambikiziwa kesi? Wamehohiwa uraia wao?

Tunajua hamfurahii kuona Mama akikaa meza moja na Wapinzani hili ndio linawatesa wewe na genge lenu, Punguzeni ubinafsi hii Nchi itajengwa na Watanzania wote bila matabaka yoyote.

Halafu kabla ya kutuambia haya uliyoyasema utuambie Lini ulirudisha kadi ya CUF na Lini ulipokea kadi ya CCM, maana tunakufahamu kama wewe ni mwanachama wa kukodishwa.

Tunawapa salamu wewe na hao wanaokutuma Mama Samia tupo nae hadi 2030. Msahau kabisa kufanikisha "kampango" kenu cha kitoto cha kutaka kuingia Ikulu 2025.

Rais wangu na Mwenyekiti wangu wa Chama cha Mapinduzi CCM, Mama Samia umewanyoosha, walidhani utafeli, kiti cha Urais kitakupwaya, badala yake kiti kimekuenea na kila uchwao unaishangaza dunia kwa mafanikio yasiyomithilika, kaza hapo hapo, tuwajue wanapovujia.

KAZI IENDELEE!!

Suphian Juma Nkuwi,
Kada kindakindaki wa CCM.
Novemba 20, 2022.
Simu: 0717027973

View attachment 2422422View attachment 2422423
CCM huwa mnajisifia mna demokrasia na mnakubali kukosoana, haya yanayoendelea na yaliyomkuta Ndugai ndio aina hasa ya demokrasia ya CCM. Demokrasia ndani ya CCM ni ya kujipendekeza kwa rais na kumtetea kwa lolote. Tunajua Ndugai na Bashiru wameongea ukweli, lakini hatutaki kuwasupport kwani waliendesha siasa za kishenzi sana enzi za Magufuli. Hapa tunashangilia karma, lakini tunajua kwa ujumla CCM ni chama cha kishenzi. Machafuko tu ndio yatawatoa madarakani.
 
Back
Top Bottom