Mkuu wa Wilaya ya Ludewa, Mhe. Victoria Mwanziva akiambatana na kamati ya Usalama, Uongozi wa Halmashauri ya Wilaya Ludewa, na Mbunge wa Jimbo la Ludewa wameupokea Mwenge wa Uhuru ambao...
Watu wa vijinini hawana uhakika wa huduma za afya na maji ya uhakika.
Kati ya watu kumi ni mmoja tu anaweza kuwa na smart phone huko vijjini. Hizi pesa kwa nini zisitumike kwa mambo ya muhimu
Wakati Kristo Yesu alipochagua kuingia nyumbani"Sebuleni" mwa Mtoza Ushuru Zakayo hakuna ambaye aliamini na wengi walipigwa na butwaa, imekuwaje Kristo Yesu kaingia kwenye nyumba ya Mtoza...
Nilibahatika kuzalisha nikiwa kidato Cha NNE, ila sio rikziki kapo kakike ila kutoka Moro mpaka kuolewa Zanzibari kwangu nahesabu sio RIZIKI.
Nimezunguka kati ya nyumba nzuri hapa Marangu mtoni...
Wote tunajua Zitto Kabwe alimpigia kampeni za Urais Tundu Antipas Lissu mwaka 2020 badala ya mgombea wa ACT Wazalendo mzee Membe.
Japo Wassira anasema Tanzania inafanya Siasa za Unafiki lakini...
MHE. MARTHA GWAU MGENI RASMI KWENYE KONGAMANO LA WANAWAKE CHUO CHA UTUMISHI WA UMMA CAMPUS YA SINGIDA.
Mhe. Martha Nehemia Gwau Mbunge Viti Maalum Mkoa wa Singida amekuwa mgeni Rasmi kwenye...
Ninafuatilia kwenye runinga tukio la kuuaga mwili wa aliyekuwa mtumishi wa serikali na mwanadiplomasia mbobezi ndg Bernard Membe.
Ninawiwa kuwaasa viongozi wetu wa serikali, bunge na mahakama...
Mbunge mwenye akili kubwa Jummanne Kishimba amewatolea uvivu Wataalamu uchwara wa Tanzania ambao wanataka kufunga Ziwa Tanganyika na Victoria Kwa visingizio vya Samaki Kupungua.
Amesema Samaki...
Wazee wa Rondo nyumbani kwao Membe wamesema wanaiomba Serikali iwatengee Muda mchache wa kusema maneno ya kimila yatakayosemwa kwa lugha ya Kimwera kumuaga Chifu wao Mwinyi Membe
Wazee wamesema...
Ndiyo! Nchi ishavurugwa sana hii. Narudia, wasiokuwa na connection wataendelea kusota sana!
Kuna kipindi hapo nyuma nilisoma post ya Mbasha akidai kuwa Waziri wa afya alimsaidia akapata matibabu...
KIONGOZI wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema dhamira yake kubwa ya kuwa kwenye ulingo wa siasa ni kuwa Rais wa Tanzania atakayeibadilisha nchi pale ilipo na kupiga hatua kubwa...
Waziri wa Habari mh Nape Nnauye ndiye atakeyezungumza kwa niaba ya Familia ya marehemu Membe kwenye Ibada ya kuaga mwili wa marehemu
Nape na Kasesela ni vijana waliokuzwa na Membe kisiasa na...
Nimepita pita baadhi ya mikoa ikiwemo Dar, Dodoma, Manyara kwenye Hospital nyingi mitingi ya oxygen ni mingi sana.
Jamani kuna corona chukueni Tahadhali ya haraka sana.
Kuna watu walifurahia kifo cha Rais wetu kipenzi Magufuli na kumsimanga. Ila kwa mema yake aliyolitendea Taifa watu wengi wanamtetea dhidi ya hao wabaya wake na wanajuta kwanini alifariki mapema...
Wewe ni mtu mnyenyekevu sana. Ndani na nje ya uongozi unaheshimu watu wote na unauzalendo wa kweli.
Ni maombi yangu kwa mwenyezi Mungu akuinue zaidi uwe bora na mwenye kupendwa na watu wote...
Huwezi kuwa mwanasiasa au kiongozi serious unaitisha mkutano wa waandishi wa habari halafu unaanza kutishia una majina yako mfukoni ya watu mashuhuri sijui ya watu mafisadi, wanahujumu nchi...
by William Malecela on Saturday, May 14, 2011
Ni lazima tukubaliane kwanza kwamba watoto wa viongozi wa Tanzania ambao wengi wameanza kuingia kwenye siasa na kushika nafasi mbalimbali wana haki...
Lowassa aliingia CHADEMA saa mbili kamili Asubuhi, ilipofika saa mbili na dakika tano akawa mgombea Urais wa# CHADEMA.....
,Babu Duni aliingia chadema saa sita na saa sita na nusu alikua mgombea...
Wanazuoni wanasema akili ndogo haiwezi kutawala akili kubwa.
Tundu Lissu aliwambia CCM kuwa kwa matendo ya ukatili ambao Magufuli anawatendea wapinzani hakuna aliye salama, na wakimalizana na...
- Freeman Haikaeli Mbowe au kama tunavyomuita mtaani "MCHAGGA" ni rafiki yangu wa karibu sana sana nimemfahamu toka utotoni na ndio maana mpaka leo ninamuheshimu sana kwani ni mmmoja wa Binadam...