Inafahamika vyema, Dar es salaam ni miongoni mwa miji yenye hekaheka sana hapa Afrika.
Kila wakati, watu tunajihisi tupo nyuma ya muda au tunadaiwa kitu, hivyo kutupelejea kila wakati tuwe...
Wafanyabiashara wa Kariakoo wameonesha weledi mkubwa katika kuelezea kero zao mbele ya waziri mkuu Kassim Majaliwa. Wengi wa wafanyabiashara hawajasoma sana kama waalimu, wahadhiri, madaktari, nk...
Ukusanyaji kodi una Siri kubwa kwa sababu wanaotunga sheria za kodi ni Wanasiasa hao hao wanaojidai kuwatetea leo
Nilipenda sana ile kauli ya Shujaa Magufuli ya kupitisha gunia Moja Moja kwa...
BANDARI YA DAR ES SALAAM NA SOKO LA KARIAKOO NI FURSA YA DHAHABU KWA WATANZANIA.
Leo 12:15pm 17/03/2019.
Imekuwa ni shida sana kwa watanzania wengi kung'amua fursa inayopatikana kupitia uwepo...
Wakati biashara ya kariakoo ikiendelea kusua sua kila kukicha kwa siku 2 sisi wana cdm tunazidi kupasua anga.
Kesho ni zamu ya kuongea na wana Kigoma na kuwaeleza jinsi ccm ilivyoshindwa...
Akiwasilisha kero kwa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, mmoja wa Wafanyabiashara amesema, "Kuna Askari anaitwa Mpemba hapo Kamata amenipelekesha sana, pia kuna mwingine mweusi yuko hapohapo...
Mkutano wa aina hii kiukweli mara ya mwisho niliushuhudia Wakati wa Hayati Sokoine.
Waziri mkuu anatoa nafasi kwa Watu zaidi ya 50 kuuliza maswali na kutoa maoni.
Nashauri Wabunge wote Kuanzia...
Rais tumemchagua sisi wenyewe kwa mujibu wa katiba. Anaongoza serikali na nchi kwa jumla kwa mujibu wa katiba na sheria za nchi kwa ujumla wake. Kutokumtii Rais ni kuwadharau wananchi na...
Wafanyabiashara wa kariakoo (wananchi) wanavyofunguka kueleza kero zao kwa waziri mkuu ni kuwachana watendaji wa wizara ya fedha kinaridhisha.
Mambo mengine tulizoea kusikia kwa wapinzani ndani...
Bado hali ya uchumi wa nchi yetu ktk sehemu kubwa ya taifa letu Wananchi hujishughulisha na kilimo na bado inasemekana uchumi wetu hutegemea kilimo.
Kwa kutofundishwa somo la kilimo ni tafsiri...
Waziri wa fedha Mwigulu Nchemba PhD amesema zamani mtu akimaliza form 4 au 6 alikuwa anaajiriwa moja kwa moja na ukiwa Chuo ukimaliza tu unakutana na Barua 3 au 4 za ajira inayokusubiri.
Lakini...
Wataalamu wa uchumi wameshauri eneo la Kariakoo, Dares Salaam liwe mkoa maalumu wa kibiashara na pia mamlaka za serikali zinazohusika na biashara ziwe na mifumo inayosomana ili kuepuka migomo ya...
Kitabu cha Biblia, kinatanabaisha kuwa msingi mkubwa wa kutenda dhambi ni tamaa. Biblia inawataja binadamu wa kwanza Adam na Hawa kuwa kilichowafanya kutenda dhambi ya uasi kwenye bustani ya Eden...
Mwenyekiti wa Chadema leo ameipokea Chopa ya kisasa ambayo itatumika kwenye operesheni 255 , ambayo ni ya kufundisha wananchi wa Tanzania juu ya Umuhimu wa Katiba Mpya , ambayo pamoja na mazuri...
MBUNGE DKT. OSCAR KIKOYO AKICHANGIA BAJETI WIZARA YA ELIMU MWAKA WA FEDHA 2023/2024
Mhe. Dkt. Oscar Ishengoma Kikoyo, Mbunge wa Jimbo la Muleba Kusini amechangia hoja ya hotuba ya bajeti ya...
Salaam Ndugu zangu,
Kijana wenu mfukunyuzi mtembezi sipendi kuacha kutia neno kila napoona jambo halijakaa sawa. Leo nikiwa kwenye harakati zangu nimepita maeneo ya kituo cha Kawe na kuona mambo...
Igunga kunufaika na minara ya mawasiliano ya simu kwenye kata kumi na moja.
Tarehe 13 Mei, 2023 serikali imesaini mikataba na makampuni kwa ajili ya ujenzi wa minara ya mawasiliano ya simu. Halfa...