Etwege
JF-Expert Member
- Jul 4, 2018
- 5,668
- 15,067
Habari
Waziri wa mambo ya ndani ya nchi Kangi Lugola alishawahi kusema moja ya sababu ya kesi ya kupigwa risasi Lisu kukwama ni pamoja na shahidi namba moja wa tukio hilo ambaye ni dereva wa Lisu kufichwa.!
Ikumbukwe mara tu baada ya Lisu kupigwa risasi, dereva alikimbizwa Nairobi na pale IGP Sirro alipomuhitaji mwenyekiti wa chadema Freeman Mbowe alijitokeza na kusema dereva huyo hawezi kuhojiwa na polisi kwa sababu anatibiwa kisaikolojia baada ya kushuhudia milio ya risasi, hata hivyo baada ya Lisu kupelekwa Ulaya dereva alienda pia bila kuelezwa kama amepona ugonjwa wa kisaikolojia au la.
Naam, baada ya Lisu kutangaza kurejea nchini tarehe 7 mwezi ujao bila shaka atakuja na dereva wake ili aweze kukamatwa na kuhojiwa na polisi ili aeleze kilitokea nini hasa siku hiyo ya kupigwa risasi Lisu..