Tanzania yalaani vikali mauaji yanayoendelea nchini Marekani.

Etwege

JF-Expert Member
Jul 4, 2018
5,733
15,196
Tanzania ambayo ni nchi inayoongoza kwa kupambana na rushwa barani Afrika ,kupitia wizara ya mambo ya nje imelaani vikali mauaji yanayoendelea nchini Marekani ikiwemo ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu kwa watu weusi kwa kushambuliwa na polisi wazungu.!!!
Ndani ya wiki moja watu zaidi ya 40 wameuawa nchini Marekani kwa kushambuliwa kwa risasi.
IMG_20190811_180045.jpeg
 
Tanzania ambayo ni nchi inayoongoza kwa kupambana na rushwa barani Afrika ,kupitia wizara ya mambo ya nje imelaani vikali mauaji yanayoendelea nchini Marekani ikiwemo ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu kwa watu weusi kwa kushambuliwa na polisi wazungu.!!!
Ndani ya wiki moja watu zaidi ya 40 wameuawa nchini Marekani kwa kushambuliwa kwa risasi.View attachment 1178421
ccm pamoja na kutoa PhD za ufisadi,inaonekana kimeaanza kutoa degree za ujinga na uzezeta pia
 
Tanzania ambayo ni nchi inayoongoza kwa kupambana na rushwa barani Afrika ,kupitia wizara ya mambo ya nje imelaani vikali mauaji yanayoendelea nchini Marekani ikiwemo ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu kwa watu weusi kwa kushambuliwa na polisi wazungu.!!!
Ndani ya wiki moja watu zaidi ya 40 wameuawa nchini Marekani kwa kushambuliwa kwa risasi.View attachment 1178421
Mkuu hebu tuwekee hako katamko ili tujiridhishe. Tutakuwa tumeweka historia
 
Tanzania ambayo ni nchi inayoongoza kwa kupambana na rushwa barani Afrika ,kupitia wizara ya mambo ya nje imelaani vikali mauaji yanayoendelea nchini Marekani ikiwemo ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu kwa watu weusi kwa kushambuliwa na polisi wazungu.!!!
Ndani ya wiki moja watu zaidi ya 40 wameuawa nchini Marekani kwa kushambuliwa kwa risasi.View attachment 1178421
Tamkp la serikali liko wapi?
 
Mara hii umeshakuwa msemaji wa serikali? Shauri yako
tapatalk_1564893878930.jpeg
 
Hahaha lakini hata baada ya Tanzania kulaani, hatujasikia Balozi kaitwa kujieleza au alazimishwe kukanusha, na hawajasema Tanzania imeingilia mambo ya ndani ya U.S.
Ila wao wakilaani upatikanaji wa haki Tanzania, hahaha utasikia kelele zao.
Hawawezi kuwaita wakati its obvious.
 
Tanzania ambayo ni nchi inayoongoza kwa kupambana na rushwa barani Afrika ,kupitia wizara ya mambo ya nje imelaani vikali mauaji yanayoendelea nchini Marekani ikiwemo ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu kwa watu weusi kwa kushambuliwa na polisi wazungu.!!!
Ndani ya wiki moja watu zaidi ya 40 wameuawa nchini Marekani kwa kushambuliwa kwa risasi.View attachment 1178421
Mbona hamna chanzo cha hii nyuzi yako mpwa imelaania wapi hiyo Tanzania
 
Back
Top Bottom