NAWASALIMU KWA JINA LA JAMAHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA,HEKIMA NI UHURU!
Awali ya yote nipende kumshukuru mwenyezi Mungu,kwa kutujalia uhai,amani na utulivu katika Taifa letu,Tanzania...
Juzi nilienda TRA kulipia basi langu kodi nikakuta rate za kodi zipo based kwenye namba ya abiria.
Kwa kweli niliwapongeza sana TRA kwa sababu miaka ya nyuma hata mabasi yalikua yanakadiriwa...
Ni dhahiri JPM alikua Shuja wa kanda ya ziwa.
Ni dhahiri katika utawala wake kanda ya ziwa mlifaidi, wapo ambao mlipitisha mafuta bila kulipa kodi, mkanunua magari na kupiga ela.
Mpo mliotumia...
Nyuzi zinaanzishwa za kumsingizia Membe mambo ya uongo kabisa. Yaani mtu anasema Membe alikuwa na ushawishi? Why mumsingizie marehemu uongo?
Kama ana mabaya yake naye ni binadamu hakuna mkamilifu...
Ni miaka miwili sasa tangu Magufuli afariki dunia, huku baadhi ya wafuasi halisi wa Magufuli wakigoma kuamini katika mioyo yao au kutambua katika akili zao kuwa, kwa hakika Magufuli alishakufa na...
Hakuna Hasara Katika Mradi wa SGR
"Bei zilizopo ni tofuti sana na bei zilizotumika Mwaka 2017 wakati tunaanza ujenzi wa Mradi wa SGR, zaidi ya asilimia 65 Mradi wa SGR unatumia chuma na Bei ya...
Rais Samia: Huko zamani hakukuwa na nidhamu ya ukweli lilikuwepo simba wa Yuda ukisema anakukwaruza na makucha yake
January Makamba: Magufuli alikuwa ni fundi aliyeshona shati vibaya sisi sasa...
Membe hakupata kuhudhuria wala kumlilia Magufuli kwenye kifo chake jambo ambalo mke wa Magufuli naye hajafanya kuhusu kifo cha Membe.
Ikumbukwe, wanazi wote wa upande wa Membe hawakuhudhuria ima...
Poleni na msiba ila kwangu mimi Membe kwa kazi aliyoifanya sina ninachomudai. Tumepoteza mtu mwadilifu Sana pengine moja ya vijana waliopikwa na Nyerere pia mtu wa kitengo ambaye alifanya kazi...
Binafsi nafikiri Wizara ya Ujenzi, Madini, Uwekezaji na Nyumba na Makazi zinawahitaji hawa watu. Ni akili kubwa, wazalendo na wanajua yanayotakiwa kwenye kila miradi na sera za Wizara hizi kuliko...
Mwanza imepoteza kiongozi mwana maendeleo, amehamishwa kuelekea Mkoa wa Morogoro.
Adam Malima hakika aliifuatilia miradi ya maendeleo kwa moyo mmoja, na hakusita kuwabana watu waliokuwa...
Aliyekuwa mkuu wa mkoa wa kagera chalamila ameanza kazi mara moja baada ya kuhamishwa kituo cha kazi mkoa wa Daresalaam leo ameonana na baadhi machinga na kuzungumza nao kujuwa changamoto...
Najua mpo chawa wa rais Samia na chawa wa rais Magufuli lakini, Rais Samia anaijua siasa kuliko rais Magufuli kwa kiwango kikubwa. Moja ya uthibitisho huo ni:-
1.Kuamua kufanya maridhiano na...
Sote tunajua kuwa tatizo la ajira ni kubwa nchini na sekta binafsi (rasmi na zisizo rasmi) zimeajiri watu wengi hasa vijana kuliko serikali kwa ujumla.
Ghafla tu wanazifunga, hata kuwakumbusha...
Ndie amekuwa mtu wa kwanza kutoa salamu kwa Membe kwa niaba ya kundi la wake wa viongozi linaitwa Millenium?
Je ni mke wa Kikwete kama ni mke wa Kikwete Kikwete ana wake wangapi?
Je ni mwanae...
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema anesema hivi karibuni atatoa Onyo kali kwa January Makamba
Lema akiwa amepost picha aliyopiga Yeye, January Makamba na Nape Nnauye...
Kauli ya Mzee Makamba ya kusema mungu anawaua wabaya na kuwaacha wema na akawataja majina imeniumiza sana binafsi,baada ya kauli hiyo nikawakumbuka wapendwa wangu walioufa,kwa namna ya pekee...
Ni wazi kwamba kifo kipo na kitatokea kwa kila mtu. Kwa asili, kifo sio jambo baya; ila jambo baya ni, namna kifo kinavyotokea na pia kushindwa kujua kwa uwazi nini kinaendelea baada ya mtu kifo...