Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 15,231
- 9,667
Ndugu Zangu Rais Samia Ameonyesha yeye Ni kiongozi shupavu sana, Asiye yumbishwa Wala kupelekeshwa na maneno maneno, Nikiongozi asiye fanya maamuzi pasipo kufanya uchunguzi wa kina, kiutafiti na kitaarifa, Ni kiongozi mwenye Msimamo usio yumba Wala kutetereshwa, Ni Kiongozi Mtulivu na mwenye Subira,
Ni kiongozi anayefahamu wakati gani aongee na wakati gani achukue maamuzi, Ni kiongozi anayefahamu wakati gani atoe maelekezo na wakati gani atumie kalamu, Ni kiongozi anayefahamu kuwa anawashauri na wasaidizi wa kikatiba lakini Maamuzi ya mwisho yanabaki mikononi mwake Kama Mkuu wa nchi, Serikali na Amiri Jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama.
Rais Samia Ni kiongozi Mwenye ngozi ngumu ya kiuongozi, Huruma, upendo, ukarimu kwa wananchi wake na moyo mkubwa, ndio sababu ukiona Namna watu walivyo huru kutoa maoni yao, ndio sababu unaona namna alivyo mvumilivu, Ndio sababu ya usikivu wake na unyenyekevu wake, Ndio sababu ya kuona nchi ikiwa Tulivu salama na yenye amani huku umoja wa kitaifa ukiwa umeimarika Sana, Rais Samia Ni kiongozi kwa kuzaliwa, Ni kiongozi mwenye maono makubwa na Taifa hili, Ni kiongozi ambaye hayumbi katika kutimiza maono na Ndoto yake ya kimaendeleo kwa Taifa Hili
Rais Samia ameonyesha umadhubuti na ushupavu katika kukabiliana na matatizo na kero mbalimbali, ameonyesha uwezo mkubwa Sana wa kiuongozi, Ameonyesha kuwa na Dira na muelekeo sahihi katika kuongoza nchi yetu, Hakika Ni Rais Kweli kwelii, Mzalendo wa kweli, mwanadiplomasia nguli na mwana demokrasia halisia
Hakika utulivu na ushupavu wa Rais Mama Samia kiuongozi Umeituliza Sana nchi yetu na kuipa heshima kubwa Sana ndani na nje ya nchi, Watanzania Tuendelee kumuunga mkono Rais wetu na kuwa naye bega kwa bega katika kila changamoto tuipitiayo. Watanzania tumebahatika kupata Rais mkweli na mcha Mungu na Mwenye hofu ya Mwenyezi Mungu kimatendo na kimaneno, Ndio sababu ya kuona kauli zake zikiwa zenye kujenga umoja wetu wa kitaifa na kuliunganisha Taifa dhidi ya changamoto zinazokuwa mbele yetu
Kazi iendeleee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti
Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu: 0742-676627