:
Katika hali isiyotarajiwa, viongozi waandamizi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wanaweza kujikuta kwenye wakati mgumu baada ya uwepo wa taarifa zinazodai kuwa wamefunguliwa kesi...
Kuna taarifa kuwa Anna Maulidah Valerian Komu, ambaye alikuwa ni mmoja kati ya walalamikaji katika shauri la mgawanyo wa rasilimali za CHADEMA, amefariki dunia. Mazishi yatakuwa kesho.
Mama huyu...
Arusha, asanteni sana. Baada ya muda mrefu bila kukutana, leo mmekuwa mashuhuda wa upendo wa demokrasia na haki katika nchi yetu.
Pamoja na hofu iliyojengwa juu ya maumivu makali, mateso na...
Naona Didier Drogba ameshajipatia ajira mpya kutoka Tanzania vile atakavyokula kodi za wananchi kwa ulaini kabisa!
Ila ajiandae kwa masimango kutoka kwa Watanzania wenye hasira kali na kodi zao...
Rais Samia akiongea katika Kongamano la Biashara baina ya Tanzania na Kenya, tarehe 04 Mei, 2026, JNICC Dar es Salaam, amesema Gen Z wanaojifanya wa East Africa tusiwavumilie kuharibu demokrasia yetu
Kenya sio Tanzania demokrasia yao ni kubwa kuliko yetu na freedom of expression iko juu sana, nafikiri Ruto alikuwa anamkubalia tu kwa vile ni mgeni wake.
Wakenya hasa Gen Z wa Kenya ni next...
My Take
Nakubaliana kabisa na huu utafiti na ndio sababu Wanaume Wengi wa Tanzania wameishia kuwa walevi,kulelewa na hao wanawake na kupoteza uelekeo na Heshima ya uanaume.
Hongera sana wanawake...
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Godbless Lema, amesema wakati maandamano yakiendelea Oktoba 29, Boni Yai pamoja na Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho, Amani...
Katibu Mwenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi akizungumza na waandishi wa habari - makao Makuu Dodoma amesema kuna watu wanatumia video za matukio yaliyotokea wakati wa uchaguzi...
Waswahili wana msemo wao kwamba usione vyaelea ujue vimeundwa
Ukweli ni kwamba nakereka sana kuona uongozi wa nchi yetu uko bize kupiga picha na Drogba raia wa ivory.
Ni lini na sisi...
Huu ni wendawazimu....umawezaje kuendelea kuwa mkuu wa Muhimili usioweza kujisimamia mbele ya mhimili mwingine? Kesi ya Lissu ni mfano halisi wa kushindwa kwako kama Jaji Mkuu wa Tanzania...
Serikali ya Marekani imemzuia Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kuingi nchini humo kutokana na kuhusika kwake kwenye uvunjifu wa Haki za Binadamu unaohusisha kunyima haki ya kuishi...
Samia Suluhu ni dikteta mbaya sana mwenye damu za watu mikononi mwake, tunafurahi kwamba Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) inaendelea kumbana taratibu
Hili linalojadiliwa na vyombo vya habari vya nje mfano hii FM Radio 47 linatufedhehesha sana.
Tuna kundi kubwa sana la wabunge "machawa" na hawaelewi lugha zinazoruhusiwa bungeni mfano English...
Katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Usharika wa Tabata Magengeni, ilifanyika ibada ya kuuaga mwili wa marehemu James Rogers Temba, ambao ulipatikana ukielea katika Mto Msimbazi...
“Tunajiita tuna uhuru wa habari, lakini tuna tatizo linaloitwa ‘media oga’, yaani media zetu ni waoga. Ni waoga kutangaza jambo wanapohisi kwamba serikali haitafurahia. Kwa maana hiyo, karibu...
Kipindi Makonda akiwa Rc Arusha alitoa ushauri kwa polisi wa usalama barabarani kupunguza usumbufu kwa wenye vyombo vya moto
Kitendo kilicho saidia hata kupunguza foleni barabarani.
Nita jaribu...
Wakati akiendelea kutoa tathmini yake kuhusu yaliyotokea Oktoba 29, Mwandishi wa Habari mkongwe Pascal Mayalla amesema kuwa katika tangazo la katazo la kutoka nje, lilipaswa kuwaeleza Watanzania...
Vita ya marekani na Irani imepelekea bei za mafuta kupanda duniani,
Kupanda kwa mafuta kumesabisha kupanda kwa nauli kwenye kila aina ya usafirishaji kitu ambacho kimesababisha ukali wa maisha...