Hivi Samia anawajua Wakenya kweli?

Hivi Samia anawajua Wakenya kweli?

Quinine

Platinum Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
25,169
Reaction score
60,526
Kenya sio Tanzania demokrasia yao ni kubwa kuliko yetu na freedom of expression iko juu sana, nafikiri Ruto alikuwa anamkubalia tu kwa vile ni mgeni wake.

Wakenya hasa Gen Z wa Kenya ni next level hata Ruto mwenyewe anawaogopa juzi karushiwa chupa ya maji.

Last time GenZ wa kenya walipomshukia Samia alianza kulialia kuwa wanamdhalilisha kwa kumchora akiwa uchi na kwenye jeneza this time lazima azimie, nasikia kiongozi wa ODM amemjibu.

"Mama anasema tuchapwe mikwaju, tutalinda demokrasia ya nchi yetu kama watoto watovu wa adabu".

Baada ya Samia kuharibu taswira yake anamdanganya na Ruto ili wafanane.

Ruto usikubali ushauri huu anataka kukuponza.

Wait & see.

UPDATES:
Asante Ruto kwa kukataa ushauri wa Samia. Samia anachojua kusolve tatizo ni kuua.

HHkNnLrXcAAO_BU.jpeg
 
Yaani Ruto alikuwa anachekea kwenye shati alichokuwa anaongea Samia. Anadhani Kenya ni kama hapa ambapo mwenge wa uhuru unasemwa unaleta maendeleo na amani. Yaani Ruto anachofanya ni za kuambiwa ...
 
Kenya sio Tanzania demokrasia yao ni kubwa kuliko yetu, nafikiri Ruto alikuwa anamkubalia tu kwa vile ni mgeni.

Wananchi hasa Gen Z wa Kenya ni next level hata Ruto mwenyewe anawaogopa juzi karushiwa chupa ya maji.

Last time GenZ wa kenya walipomshukia Samia alianza kulialia kuwa wanamdhalilisha kwa kumchora akiwa uchi na kwenye jeneza this time lazima azimie, nasikia kiongozi wa ODM amemjibu.

Wait & see.
Ruto anamkubalia tu ili wajaze makubaliano ya kuinufaisha Kenya.Kwanza Ruto mwenyewe anawaogopa Gen-Z halafu huyo wa Tanzania anataka kumrudisha kwenye dhahma? Hawezi kushiriki ujingaujinga huo.
 
Kenya sio Tanzania demokrasia yao ni kubwa kuliko yetu na freedom of expression iko juu sana, nafikiri Ruto alikuwa anamkubalia tu kwa vile ni mgeni wake.

Wakenya hasa Gen Z wa Kenya ni next level hata Ruto mwenyewe anawaogopa juzi karushiwa chupa ya maji.

Last time GenZ wa kenya walipomshukia Samia alianza kulialia kuwa wanamdhalilisha kwa kumchora akiwa uchi na kwenye jeneza this time lazima azimie, nasikia kiongozi wa ODM amemjibu.

Wait & see.

View: https://youtube.com/shorts/VpvTH7AA6yM?si=tBOS-kM5YtQfXKWi
 
Wale gen z wakenya wasikie tu hata ruto cku watamwamkia na hilo atashangaa. Wale watu wanaandama tena akiambia askari ati usisumbuke kunipiga risasi ya miguu piga kichwa. Kuna mda nasema kenyan gen z ni zaidi ya watu na nusu
 
Samuya mvivu wa kusoma aliyepata division O kidato cha nne siku moja aombe nakala ya katiba ya Kenya iliyotafsiriwa kwa kiswahili ajisomee ndio atajua kwanini Ruto kwa Gen Z hana ujanja njia pekee aliyoweza ni kupooza joto kidogo kwa kufanya broad based government ambayo nayo inaelekea ukingoni na Gen Z wanamwambia yeye atakua ni "Wantam" kwa maana ya rais wa muhula mmoja tu.

Baada ya Kibaki kujiapisha ikulu jioni kama Samuya alipojiapisha jeshini bila kuwepo wananchi ule ndio ulikua mwanzo mpya wa Kenya na walisema watahakikisha ushenzi ule hautawahi kujirudia ukiuangalia uapisho huu barazani ikulu 2007 chini ya walinzi na watu wachache hauna tofauti na uapisho haramu wa Samuya jeshini mwaka 2025 chini ya ulinzi wa kijeshi bila "98% iliyomchagua"

View: https://youtu.be/AxaJt4SdzV4?is=bdZtBDGMS6tVXKlN

Kenya mwenyekiti wa tume ya uchaguzi IEBC baada ya katiba mpya ya 2010 sio mteule wa rais bali nafasi zinatoka na watu wanaomba unafanyiwa mchujo live kwenye TV watu wanakuona , kisha unaenda kuidhinishwa na bunge ndio unaapishwa sio kama yale ya 2007 mwenyekiti wa tume alipokua mteule wa rais kama Tanzania, kwa Kenya ni tofauti hata mwenyekiti wa tume akifa harithiwi na msaidizi waliweka sheria inabidi nafasi itangazwe kuwa wazi mchakato mpya uitishwe.

Vitu hivi vichache nilivyotaja ndio vinawafanya hata Gen Z wahamishane kwenda kujiandikisha kupiga kura kwa ile kauli ya "Niko kadi" maana Kenya chaguzi za kqeli zipo na tume yenye imani kwa wananchi ipo na wasipokutaka wataamua wakuweke kandi hivyo Samuya kabla ya kupayuka atafute maarifa japo ni mvivu ila ajitahidi.

20260505_074321.jpg
 
Kenya sio Tanzania demokrasia yao ni kubwa kuliko yetu na freedom of expression iko juu sana, nafikiri Ruto alikuwa anamkubalia tu kwa vile ni mgeni wake.

Wakenya hasa Gen Z wa Kenya ni next level hata Ruto mwenyewe anawaogopa juzi karushiwa chupa ya maji.

Last time GenZ wa kenya walipomshukia Samia alianza kulialia kuwa wanamdhalilisha kwa kumchora akiwa uchi na kwenye jeneza this time lazima azimie, nasikia kiongozi wa ODM amemjibu.

"Mama anasema tuchapwe mikwaju, tutalinda demokrasia ya nchi yetu kama watoto watovu wa adabu".

Baada ya Samia kuharibu taswira yake anamdanganya na Ruto ili wafanane.

Ruto usikubali ushauri huu anataka kukuponza.

Wait & see.
Mtu wa Elimu mbali mbali toka Lini akajua KITU?
 
Back
Top Bottom