Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lissu amesema Viongozi wetu wa sasa tumeletewa tu kama tulivyoletewa Viongozi wa kikoloni na tukihoji kitu mapolisi wanatupiga virungu kama Wazee Wetu...
Natumaini mko poa. Binafsi nashindwa kuelewa nini kimewapata CHADEMA kiasi kwamba kwenye vyombo vya habari hawasikiki kabisa kwenye mambo nyeti ya kitaifa. Angalau wiki hii wamekuja na ishu ya...
Waziri wa Biashara, Ashatu Kijaji amewajibu wafanyabishara wa Kariakoo kuwa kilichotokea ni sehemu ya hatua za kimaendeleo na kwamba biashara sio Vita.
Kupitia ukurasa wake wa Instragram Waziri...
Sijasikia jambo lolote la CHADEMA au Mkutano wowote mkubwa wa hadhara ukifanyikia mkoani Kilimanjaro kwa kitambo sana.
Kipaumbele cha CHADEMA ni Kanda ya Ziwa tu na kwa mbali Kanda ya Nyasa...
Masoud Othman Masoud ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo upande wa Zanzibar anatarajiwa kuongoza timu ya ACT katika majadiliano ya kukamilisha mageuzi ya kisheria ili kuimarisha...
Nimeona Wafanyabiashara wa Kariakoo wakihojiwa na kituo Makini cha Al jazeera na nimegundua Wafanyabiashara bado hawajamjua mchawi wao
Ni hadi siku watakapomjua na kufanya maamuzi sahihi ndio...
Mafisadi na mabeberu mpaka leo wanajiuliza Hayati Magufuli alikuwa anatoa wapi hela na kujenga miradi mingi sana kwa wakati mmoja, kila kijiji, kata, wilaya nchini Tanzania ilikuwa na mradi wa...
Ni dhahiri Lissu ni mwanasiasa wa matukio, na huwa anapata nguvu panapokuwa na misuguano kati yake na viongozi wa juu. Na yeye amegundua hilo, kwamba ana thrive kisiasa katika mazingira ya ugomvi...
Zaidi ya comedy za kipumbavu Chalamila hajakuwa na uwezo wa kusimamia Dar.
Mtu anasimama kuhamasisha ulevi, anahamasisha vibaka ili polisi wawe na kazi.
Uwezo wa fikra ni mdogo mno.
Bora hata...
Serikali sijui kama inajua ama haijui na ninaamini kabisa Magufuli angekuwa hai hii barabara ingekuwa imeshapigwa lami. Barabara ya kuanzia Kibo (Ukumbi wa Safina) nenda mpaka Olasiti standa nenda...
NDG. EDNA AWAKARIBISHA WANACHI KATIKA UZINDUZI WA IKULU YA CHAMWINO DODOMA MEI 20, 2023.
[emoji625]UVCCM HQ, DODOMA
[emoji1001] Mei 19, 2023.
Katibu wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM...
kwa malalamiko ya wafanyabiashara ambayo nimesikiliza kariakoo nimeamini hii nchi kuna ombwe la uongozi kwa sasa ni kauli moja tu chukua chako mapema, ndiyo maana nasema ukiwa na uongozi wa hovyo...
Maonesho ya Sabasaba kuja na ‘Expo Village’
Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (Tantrade), yatangaza uwepo wa jukwaa maalum (Expo village), litakalowawezesha wafanyabiashara kushiriki na...
Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye amesema yeye binafsi halijui sana deni ambalo Membe anamdai Musiba zaidi ya kulisikia sikia tu.
Hata hivyo Nape anesema kuna wakati alimtania Membe kwamba, "Nasikia...
Mapato ya milioni 4 kwa mwaka ni sawa na kama 11000 tu kwa siku, kumlipisha kodi mtu kama huyu ni kumfanya aendele kubaki kwenye kuganga njaa maisha yake yote biashara yake ikue mwendo wa kobe...
Ndugu zangu watanzania,
Wafanyabiashara Wameonyesha kuwa na Imani kubwa Sana na uongozi na serikali ya Rais Samia licha ya changamoto ndogo ndogo katika biashara zao,Ambazo serikali kupitia...
Wakuu.
Ukitizama vizuri hii picha ya Ikulu, ambayo naamini ilipigwa jana tarehe 18 May 2023, kuna bidhaa fulani ya biashara ya mtu binafsi inaonekana.
Je, hii ni sahihi kwa kiasi gani?
Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mheshimiwa Mhandisi Geoffrey Kasekenya amesema barabara Mianzini hadi Ngaramtoni Juu inafunguliwa upya kwani kuna maeneo ya km 8 hayakuwa na barabara kabisa...