Uhamisho Wakuu wa Mikoa ni Rais Samia anajipanga na kujiimarisha kisiasa

Skyway

JF-Expert Member
May 19, 2019
274
299
Uhamisho wa Wakuu wa Mikoa naona ni mkakati wa Samia kujipanga na kujiimarisha kisiasa mifano miwili ni Chalamila kuja Dar es Salaam hii kwamba Dar es Salaam ya wafanyabiashara wakinga wengi; Chalamila msemaji mzuri ila Kagera wajuaji asingeendana nako.

Amos Makalla kwenda Mwanza ni dhahiri anapeleka Kada; mbobezi kwenda kumjengea Samia siasa za 2024/25
Huyu jamaa ni bingwa wa mikakati low profile leader ni mtu siasa.

Malima ameletwa kwa watu wa pwani atafit kutengeneza siasa za Morogoro
 
Huwa namkubali sana pamoja na changamoto zake za "utani" ambazo wakati mwingine huwa zinamletea shida. Kimsingi, Chalamila ni Kiongozi mzuri, mchapakazi na mhamasishaji bora.
 
Nawaona chawa wa challa mnapigana vikumbo hapa ukumbini tokea usiku na boss wenu naye anajipigia promo hapahapa Id namba.
 
Kwa Mwanza bado ipo shida. Adam aliweza kiasi
Aliweza kwenye nini? Hii nchi inahitaji Sheria zifuatwe kama hazifutwi wayubwawajibishwe ba sio Ubabe? Wabongo tusha zoea kuongozwa kwa ubabe,
 
Safi kwa Comedy? Niambie huko Kagera kafanya nini cha maana leta takwimu kabla na baada ya yeye kuwa mkuu wa mkoa wa Kagera, Wabongo mnapenda sana Comedy hamna habari na feature zenu
Tuletee wewe hizo takwimu za kabla na baada ili tuone alivyoharibu na asivyofaa.
 
Back
Top Bottom