Habari JF,
Kwa wasio fahamu hii itikadi ya Kundi la Sukuma Gang inaundwa na watu wa aina 3 na ilikuwepo hata kabla ya 2015 kipindi hicho wakiwa ni wafuasi wa Lowassa ndani ya CCM hivyo baada ya...
Dar es Salaam. Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) leo Jumapili Mei 21, 2023 imeingiza mguu katika sakata la mgomo wa wafanyabiashara Kariakoo huku ikiitaka Serikali...
Lisemwalo lazima litakuwepo tu.
Ukiwa ni dereva utakubaliana na mawazo ya kipanya kuwa sass traffic wanafanya kazi ya TRA.
Ukiona wanalisimamisha gari kazi ya kwanza kuifanya ni kuangalia kama...
MBUNGE JACQUELINE KAINJA AKUBALI KASI YA MAENDELEO JIMBO LA KALIUA
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tabora Mhe. Jacqueline Kainja akiwa Kata ya Kamsekwa Wilaya ya Kaliua katika Uzinduzi wa Jukwaa la...
Hotuba ya Waziri wa Nchi – Ofisi Ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mheshimiwa George B. Simbachawene (Mb) kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha kwa Mwaka 2023/24
Hotuba ya Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb.), Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kuhusu Mapitio na Mwelekeo wa Kazi za Serikali na Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha za Ofisi ya...
Ilitumika nguvu kubwa sana kuaminisha Watanzania kwamba ni zaidi ya alie msimanga,
Mpaka sasa hakuna tena nyuzi muendelezo kumuhusu. Baada ya mwaka hakuna atakae jua kama aliwahi kuwepo, labda...
Hotuba ya waziri wa nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Angellah Jasmine Kairuki akiwasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha wa 2023/24
Maelezo ya Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb), Waziri wa Fedha na Mipango, akiwasilisha Mapendekezo ya Serikali ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2023/24 na Mfumo na Ukomo wa Bajeti ya...
Sera hii inaeleza namna ambavyo serikari ya chadema itarudisha madaraka Kwa wanainchi, Kwa kuunda mfumo wa majimbo.
Lakini nimepitia ilani ya CCM ya uchaguzi 2020(kuzipa nguvu serikari za mitaa)...
Haya maswali yaende kwa wote tuliokuwa tinawashuhudia kupitia runinga yaani nyote Mlio alikwa kwenye halfa ya uzinduzi wa Ikulu mpya.
Kwanza nataka mtaje jina la mwanajeshi aliyepandisha bendera...
Ndugu zangu Watanzania salaam!
Siku zote nimekuwa nikisisitiza kuwa Watanzania kitu ambacho kimetushinda siku zote ni kazi ya KUFIKIRI!
Hii kazi ya kufikiri ndiyo kazi kubwa iliyomfanya Hayati...
Ninae huyu mtu anaeitwa Hussein Bashe, Kwa mlio karibu nae jaribuni kumuonya kwamba hicho kilimo anachojaribu kukianzisha, kimeshashindwa hata kabla hakijaanza .labda kwa sababu yeye ni mtu...
Miaka ya 2010 hadi 2015 bunge la JMT lilikuwa ni kivutio cha wananchi kulitazama.
Mara baada ya kuingia madarakani kwa utawala wa awamu ya tano wakalivuruga Bunge.
Kitendo cha kufunga bunge...
CCM walisha brainwash sana raia kwa kiasi kwamba chochote wanacho tamka huwa inaonekana ni sawa, Walianza kwa Ishu ya Amani kwamba mkichagua Upinzani vita itatokea Tanzania na kweli rai walivyo na...
Wafanyakazi mnateseka sana isee. Mshahara ukitoka tu tar 23 baada ya wiki mnahaha kukopa madukani na kwenye baa.
Mnatakiwa kupinga kodi na tozo za hovyo kwa kugoma ili serikali iwasikilizie kama...
Taasisi ya Uwekezaji ya Kimarekani ya Moody's imeipa Tanzania tathmini chanya kiuchumi kutokana na sera bora za uwekezaji hususani baada ya kuboreshwa kwa mazingira ya sekta ya madini.
Ripoti ya...