Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nimepitia Wizara zote waliandaa kile wanaita seminaza kuwajengea Wabunge uelewa. Mfano Afya waliandaa kuhusu Elimu ya Bima ya Afya kwa wote, Madini Wiki ya Stamico, Ardhi Waliandaa kile wanaita...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
ENG. EZRA CHIWELESA - TANZANIA ITAIUZIA CHINA GESI ASILIA KUPITIA MRADI WA LNG Mgodi wa Biharamulo StamiGold tumepokea Umeme na hasara ya Mafuta zaidi ya billion 1.2 yaliyokuwa yanatumika mgodini...
0 Reactions
0 Replies
823 Views
Kwakuwa Sasa Bwawa la Stiglers limebakisha MITA 8 za kujaa maji kiwango Cha kuzalisha Umeme, yaani imefika MITA 155.8, na tayari mpaka Sasa maji yaliyomo katika Bwawa Hilo Toka limeanza kujazwa...
9 Reactions
62 Replies
4K Views
MKUU wa Wilaya ya Morogoro,Rebeca Nsemwa,amejikuta akipokelewa na Mabango pamoja na vilio kutoka kwa wananchi wa Vijiji vya Dalla tarafa ya Bwakira na Mbwade tarafa ya Mvuha katika Halmashauri ya...
1 Reactions
146 Replies
13K Views
Dar es Salaam. Mwandishi wa Habari Mkuu wa Gazeti la Mwananchi, Elias Msuya ameshauri Serikali kutazama upya msimamo wake kuhusu zuio la uraia pacha, akisema uraia pacha utasaidia kufungua milango...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Walituambia ikifika June tren zetu zitaanza kutembea maana Ile February waliomba wasogezewe muda kidogo,
6 Reactions
24 Replies
2K Views
Katika kumbukumbu tuliyonayo ni kwamba wizara ya ujenzi na uchukuzi ilitangaza hadharani mbele ya umma kwamba tren ya umeme itaanza safari zake Dar e Salaam to Morogoro mwezi May 2023 hadi sasa...
3 Reactions
33 Replies
3K Views
Kuna sintofahamu ya neema na hasara za uraia pacha,naomba tushirikishe mawazo,uelewa kwa anayejua faida tunazizikosa kama taifa kutokana na uraia pacha Kadhalika hasara zitokanazo na uraia pacha...
0 Reactions
1 Replies
624 Views
Kwa majibu wa China Global Television Network (CGTN )mwaka 2020 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Johnn Pombe Magufuli anaonekana ni Rais wa pekee sana na ni miongoni mwa Maraisi Watano...
4 Reactions
74 Replies
5K Views
Nafuatilia Ziara ya Katibu mkuu wa CCM komredi Chongollo kiukweli huyu mnec wa Iringa Salim Asas amefanya Kazi kubwa mkoa mzima. Kiufupi Asas ni Mzalendo wa kweli nadhani ndio sababu Shujaa...
5 Reactions
27 Replies
8K Views
  • Closed
Mimi nimesoma na JM pale Galanos sec Tanga mwanzoni wa miaka ya tisini. Huyu bwana matokeo yake ya form four yalifutwa baada ya kugundulika aliiba paper. Baada ya hapo baba yake akamfanyia mpango...
57 Reactions
616 Replies
112K Views
Mbunge Kingu tumesikia mchango wako kwenye bejeti ya nishati. Ni haki yako kuchangia hivyo kwa kuwa ndicho walichokutuma wananchi wa jimbo lako na unalipa deni la rushwa mliyopokea kwa kazi hiyo...
4 Reactions
8 Replies
950 Views
Wadau nawasabahi, Nimekuwa najiuliza kwanini tunataka kuanza upya mchakato wa Katiba mpya wakati Katiba pendekezwa ya Tume ya Warioba iliyotumia mabilioni ya walipa kodi na Bunge la Katiba nalo...
0 Reactions
8 Replies
998 Views
Waziri Makamba mie nakuomba sana huu mtego wa kulazimisha matumizi ya Gesi ya kupikia wakati hata sio Raslimali ya nchi yetu yaani inaletwa kutoka nje ni hatari sana kwa Ustawi na Usalama wa Taifa...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
SHIRIKA la Utangazaji Tanzania TBC limekata matangazo ya Bunge wakati wabunge wakijadili Bajeti ya Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi ambapo Waziri wa Ujenzi, Prof. Makame Mbarawa amesema katika mwaka...
2 Reactions
27 Replies
2K Views
Ni wazi kwenye kutengeneza Katiba mpya tutakopa Baadhi ya mambo mazuri Kutoka kwenye Katiba mbalimbali za Nchi zilizofanikiwa Leo Rais Ruto wa Kenya amemteua DPP Hajji kuwa Boss wa NIT lakini...
3 Reactions
4 Replies
696 Views
Hii nchi wananchi wake ni wajinga na hovyo wa kiwango cha lami inakuaje FBI, CIA na m16 watu wao hawana kinga kabisa ila hili li nchi la kimasikini mnataka kuwawekekea kinga kisa ni .... Kwahiyo...
10 Reactions
125 Replies
8K Views
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amesema mchakato wa Katiba Mpya lazima utungiwe Sheria mpya. Lissu amesema sheria iliyounda Tume ya Warioba na Bunge Maalum la Katiba haiwezi kutumika...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
HOTUBA YA MHE. DKT. PHILIP I. MPANGO (MB.),WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO AKIWASILISHA BUNGENI MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO KWA MWAKA 2018/19 DODOMA JUNI, 2018 1.0...
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…