KUMBUKUMBU: Serikali ilitangaza kwamba mwezi Mei, 2023 treni ya umeme itaanza safari za Dar e Salaam - Morogoro

RWANDES

JF-Expert Member
Jun 12, 2019
1,615
3,909
Katika kumbukumbu tuliyonayo ni kwamba wizara ya ujenzi na uchukuzi ilitangaza hadharani mbele ya umma kwamba tren ya umeme itaanza safari zake Dar e Salaam to Morogoro mwezi May 2023 hadi sasa tayari tunaingia mwezi June hakuna taarifa yoyote.

Tunaomba serikali itupe taarifa juu ya hilo maana zama za giza kwa sasa hamna.

Screenshot_20230530-122337.jpg
 
View attachment 2640731
SERIKALI HII HII YA CCM?
 
Teknolojia ndiyo inayoharibu baadhi ya mambo ya baadhi ya watawala.
Ili treni ya umeme Dar-Moro ifanye kazi vizuri bila shida basi serikali iwaweke chini Abood, BM, freester,shabiby na alsayed na kuwapa kalipio kali kitu ambacho serikali hii haitaweza kamwe hivyo reli hii pamoja tren zake tutaendele kuziaikilizia bombani kwa mda mrefu kidogo.
 
Hii ngoma ilikua inamfaa mzee wa Chato,angewamudu.Leo nilikua nasimuliwa inshu ya Kimbinyiko,aisee Magu alikua hatari.
 
Mama anacheka na wafanya biashara anadhani wapo kwa manufaa ya serikali hajui kwamba wenzie wana taka faida kwa namna yeyote ile ili iwafae na familia zao
 
Back
Top Bottom