Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Vuguvugu la mpasuko limeendelea kufukuta visiwani Zanzibar baada ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuahidi kufanya uchambuzi wa kauli mwanasiasa na mwanadiplomasia, Balozi Ali Abeid Karume kuhusu...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Mpaka hapa tulipo kama nchi, tumetoka mbali sana! Tumepitishwa jangwani sisi, kwenye miiba na mbigili tumepitishwa, Tumepita kwenye machungu makali na kisha viongozi wetu badala ya kutengeneza...
1 Reactions
27 Replies
2K Views
Ni kilio kikubwa kwa askari wa jeshi la polisi nchini posho zao zimekuwa zinapigwa danadana kwa visingizio kuwa mtandao makao makuu dodoma unasumbua mara kwa mara na hadi sasa hawajapata posho zao...
2 Reactions
72 Replies
8K Views
Senagali kwa sasa hali ni tete baada ya Kiongozi wa Upinzani kuhukumiwa kwa kosa la Ubakaji kesi ambayo inekana ni ya Kisiasa. Hili kwa Tanzania labda baada ya kizi cha 5 kutoka hiki tulicho...
4 Reactions
16 Replies
1K Views
Ni ukweli ulio wazi kuwa Waandishi wa habari ni watu wanaosubiria Teuzi na kwa maana hiyo ni wana-CCM. Chadema wamefanya operesheni +255 lakini hakuna chombo cha habari makini kilichoripoti...
11 Reactions
53 Replies
3K Views
Leo Makamu wa Rais, Philip Mpango ametua Bujumbura, Burundi. Tangu kuteuliwa kwake, Makamu wa Rais ameshaenda Burundi zaidi ya mara mbili. Kulikoni ziara hizi za mara kwa mara nchini huko kunani?
8 Reactions
24 Replies
3K Views
January Makamba aweka historia Bungeni, haijawahi kutokea January Makamba ameandika historia. Kiwango cha hii rushwa hakijawahi kutokea tangu Tanzania ipate uhuru. Akiwa mtoa rushwa mkuu...
8 Reactions
23 Replies
3K Views
Hii nchi nacho Ipendea sisi Vilaza tuko wengi tunadanganywa sana na tutadanganywa hadi mauti itukute, yaani mwisho wa kufanganywa na kuhadaiwa ni siku mtu amekata pumzi, tofauti na hapo tuendelee...
12 Reactions
23 Replies
4K Views
HOTUBA YA WAZIRI KIVULI WA MALIASILI NA UTALII_ACT WAZALENDO NDG. JULIANA DONALD MWAKAN’GWALI KUHUSU MPANGO WA BAJETI WA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII KWA MWAKA WA FEDHA 2023/24. Utangulizi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
WAZIRI JENISTER MHAGAMA - SERIKALI KUJENGA VITUO VYA MAFUNZO KWA WARAIBU DAWA ZA KULEVYA Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge na Uratibu, Jenista Mhagama amesema...
1 Reactions
1 Replies
697 Views
Spika mstaafu mama Makinda amesema Ujio wa Hayati Magufuli kama Rais wa JMT ni Siri ya Mungu na hata sasa ameungana na Hayati baba wa taifa Mwalimu Nyerere huko Peponi. Makinda amesema Magufuli...
19 Reactions
58 Replies
4K Views
Kwa nia Njema kabisa naomba kuuliza huko Kanda ya Magharibi na Ziwa Victoria hivi Mkoa wa Kigoma na Kagera upi ni Maskini Wenye Watu waliotopea kwenye ufukara? Nakumbuka Kariakoo ya 1980s...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila ameyasema hayo akizingumza katika mapokezi ya ndege mpya ya mizigo aina ya BOEING B767-300F, mapokezi yanayoongozwa na Rais Samia katika Uwanja wa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mimi nimezaliwa Bukoba Nimesoma Uganda Chuo Dsm Niseme tu hii Nchi hakuna Sehemu Unaweza sema Kuna watu wana unafuu wa Maisha Jibu ni Kwamba Bukoba wana umasikini wa Majumba lakini chakula kizuri...
4 Reactions
17 Replies
1K Views
Waungwana, Umofia kwenu, kwanza nifanye declaration kuwa sina chama. Pili, pia niweke wazi kuwa nilipiga kura ya urais kwa ndugu John Pombe. Sababu kubwa haikuwa ya kisiasa. Sababu ya kwanza...
8 Reactions
34 Replies
4K Views
Ukweli ni kwamba Hayati Magufuli alikuwa anaipenda hii nchi na Ndoto yake ilikuwa na kuifanya Tanzania kama Ulaya. Bado tunahitaji Rais kama Magufuli. Mungu ibariki Tanzania.
24 Reactions
50 Replies
3K Views
Hiki ndicho alichokisema "Anna Makinda" Spika wabunge mstaafu na nguli wa siasa hapa Tanzania akihudumu serikalini kwa zaidi ya miaka 40, kuhusiana na Hayati Marehemu Magufuli. Tega sikio...
0 Reactions
4 Replies
982 Views
WASIFU WAKE KWA UFUPI. JINA: Dr.Vincent Mashingi UMRI: Miaka 43 KABILA: Msukuma TAALUMA: Daktari bingwa wa binadamu (MMED) na Daktari wa Falsafa (PhD). ELIMU: 1981 - 1987 Elimu ya Msingi...
34 Reactions
320 Replies
76K Views
Watu wameshakujua kuwa wewe ni mtu wa kuwinda pesa tu . Haijalishi kuwa Mzee mtei kuwa ni mzee wako na kuwa ni muasisi basi ndio ung'ag'ane kana kwamba Chadema ni private property. Chadema ni...
3 Reactions
40 Replies
3K Views
mimi siijui sana siasa ila kwa mwendo huu wa Rais Ruto kuanza kuipinga dora ya marekani na rais Museven kupinga vikali tamaduni za magharibi, naona kabisa kama Hayati Magufuli angekuwa hai...
5 Reactions
53 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…