DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 18,014
- 45,538
Mimi nimezaliwa Bukoba
Nimesoma Uganda
Chuo Dsm
Niseme tu hii Nchi hakuna Sehemu Unaweza sema Kuna watu wana unafuu wa Maisha Jibu ni Kwamba Bukoba wana umasikini wa Majumba lakini chakula kizuri as the same Dsm watu nyumba Nzuri lakini njaa ya watu kukosa chakula kawaida. Sana hasa ukitazama maeneo ya uswahilini there's no any relief.
Nahitimisha kwa kusema kuwa hapa Tz tuna safari ndefu Sana hakuna was kumcheka mwenzio maana sote tupo Katika meli moja na inatundu.
Watu wa hand to mouth ndo tupo wengi Tz so hakuna Sehemu Kuna unafuu hapa Tanzagiza
Nadhani kipimo Cha umasikini Bukoba ni makusanyo madogo ya Kodi lakini Kuhusu suffering watu kuishi Maisha magumu hii ni nchi nzima .