Msimamo wa Serikali ni kuwa Haina dini, ila watu wake ndiyo wenye dini. Labda, inaweza ikawa ni kweli.
Serikali imetuambia pia kuwa haiamini katika uchawi, lakini ni wachache watakaoweza...
Katika Jambo linalotishia uhai wa taifa Letu ni kuelemwa na madeni huku pesa yetu ikikosa thamani kabisa, Hakuna juhudi zozote Za makusudi zinazofanywa na seriakli ya Samia kuokoa uchumi wa Taifa...
Ndugu zanguni, mipaka ya nchi hutambuliwa kwa ramani. Hamna nchi isiyo na mipaka yake.
Naombeni ramani inayoonyesha kuwa mipaka ya Zanzibar inafika hadi Bagamoyo.
Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) limetangaza ukomo wa utumishi wa maofisa wake wawili kwa sababu ambazo hazijawekwa bayana.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kwa umma, watumishi hao...
MHE. KILUMBE NG'ENDA - AHOJI KWANINI BEI YA MAFUTA ISIWE MOJA KAMA UMEME NCHINI
Mbunge wa Kigoma Mjini, Kilumbe Ng’enda amehoji bungeni kwa nini serikali isiwezeshe bei ya mafuta aina ya petrol...
Msikilize huyu Mh.
"Mkoa wa Geita una vijiji 486, mpaka sasa tumekwishafikisha umeme katika vijiji 556 na katika vijiji 130 vilivyobaki vyote vina mikataba na vyote vina wakandarasi," January...
Mbunge wa Lindi Mjini, Hamida Abdallah amemuomba Waziri wa NIshati, January Makamba na Serikali kwa ujumla kushusha kodi zilizopo kwenye vifaa na gesi ya matumizi ya kupikia majumbani ili wananchi...
Wenda Rais Samia ndio atakua rais wa kwanza Tanzania kuweka wanawake wengi ktk nafasi za uongozi kupita vipindi vyote nyuma yake,wanawake ni wengi sasa ile 50/50 apa inatumika vilivyo.
Mbali na...
Ikiwa ni moja ya sheria kali zaidi duniani ambapo mtu yeyote anayesambaza ushoga anaweza kuhukumiwa kwa kifungo cha maisha au kifo ambapo amesema sheria imeishapita na haiwezi kufutwa.
Akiongea...
WAZIRI MKUU MAJALIWA ATOA MAAGIZO KWA WAKUU WA WILAYA NA WAKURUGENZI WOTE NCHINI, AMPONGEZA MKUU WA WILAYA MSTAAFU
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Ametoa Maagizo Kwa Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi...
Leo asubuhi tumeshuhudia jinsi spika wa bunge Dokta Tulia akihaha kuhalalisha kuwa kikanuni akidi (idadi) ya wabunge imetimia na mjadala wa bajeti ya wizara ya nishati itaendelea tu japo kuna...
Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni Halima Bulembo amewataka Watumishi pamoja na Wakuu wa Idara waliopo katika Wilaya hiyo kuwa Waumini wa kusikiliza kero zinazo wakabili Wananchi na hatimaye kuzifanyia...
Kwanini kuwe na tozo za miamala ya simu na benki kama utalii tu unakusanya bil 291?
Kwa nini serikali inaruhusu michango ya maendeleo mashuleni wakati utalii unazlihsa pesa ambazo zinatosha...
Mbunge wa Singida Mashariki amefanya mkutano na waandishi wa habari akimtuhumu Magufuli kwa mambo mengi na kutaka asusiwe kila mahali.
Amesema mataifa ya nje yanayompa hela Magufuli yamsusie...
MHE. FESTO SANGA - NI MUDA MUAFAKA KUONGEZA VIVUTIO VYA UTALII
Mbunge wa Jimbo la Makete Mhe. Festo Richard Sanga amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan...
Hawa wahuni wamejipanga kubebana. Kuna mbunge wa Mtwara mmoja muda wake kuchangia ni kumsifia Januari Makamba tu.
Eti wabunge kufanyiwa maonesho hapo bungeni wakaona kwa technologia kile...
Wimbi la ukosefu/upungufu wa pesa za kigeni nchini, ni tatizo kubwa kwa sasa. Lakini tunadanganywa na baadhi ya wanasiasa huko madarakani.
Ukweli ni kwamba kuna upungufu mkubwa wa Dola nchini...
Nimekuwa na madudu mengi katika idara ya elimu Ubungo baadhi kwa kutaja ni kama;
1. Kucheleweshwa kwa watumishi kupandishwa madaraja.
2. Kila mara kutolipwa au kukopwa posho kwa wasimamizi wa...
jamani dibaji ya allan quarteman inafariji sana au soma kitabu cha 90 minutes at Entebe . Tafuteni moja ya vitabu hivi mkisome haswaa kwa wale tunaotarajia majonzi au furaha kubwa kupita...
Kwa kifupi kabisa inadaiwa Ally Karume hamtambui Dkt. Mwinyi ambaye ni Rais wa sasa kuwa alishinda Urais, badala yake anaamini Maalim Sharifu Hamadi alishinda Urais huko Zanzibar.
Inadaiwa leo...