Kwa wanaofuatilia historia ya nchi yetu tangia uhuru, ambapo baada ya uhuru makampuni, viwanda, mashamba makubwa, shule, benki nyingi zilikuwa chini ya sekta binafsi.
Nyerere kwa uelewa wake...
Nimeona kwenye mkeka wa wakurugenzi teuze Mpya na mabadiliko ya watendaji wa halmashauri jina hili la Geofrey Nauye ni mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya mji wa Newala sehemu ambayo alikuwepo...
Waziri wa fedha na Mipango Mhe.Dkt. Mwigulu Nchemba amesema kuwa wizara inaendelea kusimamia deni la Serikali kwa kuzingatia Sheria ya Mikopo, Dhamana na Misaada,
Mhe. Mwigulu ameyasema hayo leo...
Suala bandari nawaomba watanzania tuwape nafasi waheshimiwa wabunge na mheshimiwa waziri mbarawa ili tupate ukweli hata huu mkataba unatembea mitandaoni huenda ikawa sio huo usiosainiwa na...
Umegundua kadri umaskini na ukosefu wa ajira unavyoongezeka ndivyo muda wa vipindi vya redio na TV kujadili michezo unavyoongezeka;
Kipindi cha michezo kinapewa airtime ya masaa matatu na mara...
Kuna watu wamefiwa, wengine wana kazi maalumu, wengine wanatoa huduma kwa jamii, mambo yamesimama hakuna malipo yoyote maofisini!
Je, ni kweli nchi imefilisika? wiki nzima hakuna malipo yoyote...
MHE. EDWARD LEKAITA AISHAURI SERIKALI KUACHANA NA SHERIA ZA KUNYANG'ANYA MIFUGO KWENYE UHIFADHI
Mbunge wa Jimbo la Kiteto Mhe. Edward Ole Lekaita amesema Wizara ya Maliasili na Utalii inapaswa...
Sijui kama mmegundua hili? Wale vidampa wanaomkosoa Magufuli wengi wao wamejibanza mtandaoni tu na hasa Jamiiforums.
Mtaani mambo ni tofauti sana. Watu wanamkumbuka sana Jemedari wa vita (chuma...
DP world tuwaunge mkono,
Hawa jamaa watatuboreshea ufanisi na mapato yataongezeka. Sio lazima kila kitu kiendeshwe na wazawa lazima kupata uzoefu kwa walioendelea.
DP world kama ikiwezekana...
NCHI HII HAINA USAWA KABISA.
Nafasi zote za juu huteuliwa wao na familia zao au jamaa zao au rafiki zao. Mwananchi maskini kutoka Shishiyu wilayani Maswa mkoani Simiyu ambaye hana unasaba wala...
Kwa kifupi Mashirika yote ya umma yanayofanya Biashara yanapaswa kupigwa bei, tubakie na mashiria kama TANAPA basi.
Kama Bandari inakodishwa then TTCL, ATCL, wakina TANESCO wanaachwa basi kuna...
Anaandika Mo Mlimwengu.
Kagera ni mojawapo ya mikoa ambayo inajulikana katika nchi ya Tanzania. Mkoa wa Kagera umekuwa ukijulikana siku zote kwa sifa ya kuwa mkoa wenye mandhari nzuri na hali ya...
Mbunge wa Nzega Vijijini Dr Kigwangalla amesema aliacha Kazi ya Udaktari kwa sababu Mshahara ulikuwa mdogo.
Dr Kigwangalla amesema Baada ya kuusotea Udaktari kwa miaka 18 alijikuta analipwa tsh...
Hili sakata la ardhi ya Bagamoyo ya hekari elfu sita kuwa ni mali ya Zanzibar lina ukakasi na halifai kupita bila ya kupata mawazo mbalimbali yenye lengo la kuboresha uelewa mpana wa raia wa...
Bodi ya mikopo elimu ya juu @heslb_tanzania ,Jana usiku tar 2 Mei 2021 walitoa taarifa yao hii chini nimeambatanisha kwamba wadaiwa watulie wanaendelea na mchakato wa kupitia taarifa za wadaiwa...
Wizara zinazotesa wananchi sana zinahusiana na historia ya Elimu ya Secondary na Shule ya msingi. Sasa Professor anataka kuuza Bandari hebu mwenye taarifa zake alete hapa. Ili next time tuchague...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Philip Mpango, ameuagiza uongozi wa Manispaa ya Tabora kushirikiana na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa, kuhakikisha wanamfikisha...
Kamati ya Pamoja (Joint Committee) ya Bunge ya Mindombinu na ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) inawaalika wadau kutoa maoni kuhusu Azimio la Bunge kuhusu Mapendekezo ya Kuridhia Makubaliano...
Kuna wimbi kubwa la kubinafisishwa kwa Taasisi za serikali na mashirika ya umma ili kuleta ufanisi katika taasisi hizo. Mfano wa hivi karibuni ni Bandari yetu ya Dar es Salaam.
Hoja inayotolewa...