Chalamila amesema watu wa Kagera wanaongoza kwa fitina na majungu kuliko mikoa yote

Mohamed Ismail

JF-Expert Member
Mar 16, 2014
214
229
Anaandika Mo Mlimwengu.

Kagera ni mojawapo ya mikoa ambayo inajulikana katika nchi ya Tanzania. Mkoa wa Kagera umekuwa ukijulikana siku zote kwa sifa ya kuwa mkoa wenye mandhari nzuri na hali ya hewa nzuri ambayo ni nzuri kwa shughuli za kilimo na ufugaji. Mbali na hivyo imezungukwa na Ziwa Victoria ambapo shughuli kubwa ya watu wazungukao ziwa ni uvuvi. Mkoa huu umezalisha wasomi wengi ambao almaarufu huitwa nshomire ambao wamesaidia kwa kiasi kikubwa kwenye ujenzi wa taifa letu.

Kagera tumebahatika kupata viongozi wa aina mbalimbali hususani wakuu wa mikoa ambao kila aliyepita hapa alikuwa na aina ya uongozi wake. Ila hivi sasa mkoa huu unaongozwa na Mh Chalamila. Huyu Chalamila amekuja na aina tofauti ya uongozi wake ambao umepelekea watu wengi kushindwa kumuelewa ana shida gani na watu wa Kagera. Kila akipanda jukwaani ni mtu wa kebehi na kejeli kwamba watu wa Kagera wana fitina na majungu, watu wa Kagera ni wavivu na watu ambao hawapendi maendeleo. Tunaamini Mh Rais wetu Samia Suluhu amechagua mtu wa kuja kumsaidia kuijenga Kagera ila siyo kuleta mtu wa kuja kuwasimanga, kuwasema vibaya, na kuwadhalilisha kwa sifa mbaya ambazo anasema hajawahi kuziona katika mkoa wowote.

Chalamila anasema watu wa Kagera wanaongoza kwa fitina na majungu kuliko mikoa yote. Je anaweza kutuambia huo utafiti aliufanya lini na akalinganisha mikoa ipi. Na je alitumia njia gani kwa hiyo tathmini yake?. No research no right to speak .Watu wa Kagera ni wakarimu sana lakini inapotokea kiongozi kutumia kofia yake kudhalilisha kabila na kutupa sifa mbaya hiyo haikubaliki.

Je hizo sifa anazotoa yeye kama Mkuu wa Mkoa ni watu gani watapenda kuja kuwekeza Kagera. Ni mtu gani ambaye atapenda kufanya kazi Kagera kwa sifa ambazo anazinadi kila siku kwenye vyombo vya habari dhidi ya ubaya wa watu wa Kagera?. Rais hajatuletea mtu wa kuja kutuchafua watu wa Kagera bali kaleta mtu wa kuja kusimamia sera ambazo zitainyanyua Kagera.

Kagera hatuna Stendi ya mkoa, Kagera hatuna soko . Chalamila anasema hayo hayapo kwa sababu watu wana majungu na fitina na wanapenda kuongea viingereza. Je kujenga Stendi na soko ni kazi ya wananchi au ndio inabidi serikali ijenge. Tulitegemea yeye kama kiongozi aongoze njia kupata hizo stendi na soko. Lakini anaendelea kutuzomea kwamba hatuna vitu hivyo kwa sababu ya majungu na fitina. Kauli zake zinaonyesha serikali haiko tayari kuwapatia watu wa Kagera stendi na soko kwa sababu wana majungu na fitina.

Leo hii Kagera ni mkoa wenye uchumi duni kuliko mikoa yote. Tukiangalia sababu kubwa ni athari ya vita ya Idd Amin, kuzama kwa meli ya Mv Bukoba, Athari ya ugonjwa wa UKIMWI, soko la kahawa kutoeleweka pamoja na kilimo cha migomba kuingiliwa na ugonjwa wa Mnyauko . Na hayo mambo ni serikali ambayo inatakiwa iangalie namna ya kuweka sura nzuri ambazo zitafufua uchumi wa Kagera. Lakini anakuja Mkuu wa Mkoa ambaye kazi yake ni kuwasema vibaya watu wa Kagera kwa kutusema ni wavivu. Suala la watu wa Kagera kuwa na majungu na fitina pamoja na uvivu umekuwa wimbo wake kabisa. Hii inatuchafulia taswira ya mkoa wetu. Tunaamini kiongozi mzuri ni yule ambaye vitendo vinazidi maneno. Tulitamani kuona initiatives za kupandisha uchumi wa Kagera lakini siyo kutusimanga.

Hivi huo ni uvivu gani ambao anausemea Mkuu wa Mkoa. Je kufa kwa KCU na BCU ni uvivu wa wana Kagera? Je kutokuwa na viwanda vya kutosha ni uvivu wa wananchi wa Kagera. Mshaurini Chalamila aache kejeli na kebehi asimamie sera vizuri ndani ya mkoa wetu tuone kama hatutapata matokeo chanya. Kagera inahitaji usimamizi mzuri wa sera ili kuweza kunyanyuka. Athari zilizopo ni tafsiri ya viongozi kutokuwa wanyambulifu. We reap what we sow( tunavuna tunachokipanda) ukilima chuki utavuna chuki.

Huenda kuna watu wanamsifia kwa kuweza kusema chochote anachojisikia. Yeye kama kiongozi lazima achague maneno ya kusema. Kiukweli kauli zake zimenyongonyesha mioyo yetu, kauli zake zinatudidimiza, kauli zake zinatujengea uhasama na serikali, kauli zake zinatutonesha vidonda vyetu kwa madhira yaliyotupata, kauli zake zina chuki na uhaya wetu na mwisho kauli zake siyo za kiongozi. Baada ya kutatua tatizo yeye anashugulika na uhaya wetu.

Kuna methali moja ya kiingereza inasema hivi " embwa keeba etakahiire mukira teruga mmahiga kwa tafsiri ambayo siyo sisisi ni kwamba anachokitafuta atakipata.
#makeKageraGreatAgain
 
Kuna baadhi ya Mambo inahitajika akili kubwa Sana kuyaelewa!

Hivi unafikiri huyo RC hajui kanuni za uongozi!!?

Cha kujiuliza ni kwanini anafanya vile!!?KWA faida ya Nani!!?

Kuna trend Moja nimeiona Hapa NCHINI ile mikoa yenye wajuaji wengi Sana yaani waswahili swahili wajanja wajanja hivi ilisuswa kimaendeleo!cheki TABORA,Kagera,Lindi n.k

Kuna ishu FULANI hivi hazieleweki!

Mungu IBARIKI TANZANIA nchi yetu niipendayo Sana
 
Mpaka kusema yote hayo naona hajasingizia
Sababu ni kuwa inaonekana kuna wanoko wanampelekea majungu na yeye hataki majungu

Kuna watu walamba viatu na yeye hawataki labda
Kama kuna tabia haafikiani nazo lazima aziseme

Hata mimi unafiki sipendi
Tunamjua ni mropokaji ila huenda anachukizwa na watu na maneno yao

Hata wewe jichunguze umeongea sana
 
Anaandika Mo Mlimwengu.

Kagera ni mojawapo ya mikoa ambayo inajulikana katika nchi ya Tanzania. Mkoa wa Kagera umekuwa ukijulikana siku zote kwa sifa ya kuwa mkoa wenye mandhari nzuri na hali ya hewa nzuri ambayo ni nzuri kwa shughuli za kilimo na ufugaji. Mbali na hivyo imezungukwa na Ziwa Victoria ambapo shughuli kubwa ya watu wazungukao ziwa ni uvuvi. Mkoa huu umezalisha wasomi wengi ambao almaarufu huitwa nshomire ambao wamesaidia kwa kiasi kikubwa kwenye ujenzi wa taifa letu.

Kagera tumebahatika kupata viongozi wa aina mbalimbali hususani wakuu wa mikoa ambao kila aliyepita hapa alikuwa na aina ya uongozi wake. Ila hivi sasa mkoa huu unaongozwa na Mh Chalamila. Huyu Chalamila amekuja na aina tofauti ya uongozi wake ambao umepelekea watu wengi kushindwa kumuelewa ana shida gani na watu wa Kagera. Kila akipanda jukwaani ni mtu wa kebehi na kejeli kwamba watu wa Kagera wana fitina na majungu, watu wa Kagera ni wavivu na watu ambao hawapendi maendeleo. Tunaamini Mh Rais wetu Samia Suluhu amechagua mtu wa kuja kumsaidia kuijenga Kagera ila siyo kuleta mtu wa kuja kuwasimanga, kuwasema vibaya, na kuwadhalilisha kwa sifa mbaya ambazo anasema hajawahi kuziona katika mkoa wowote.

Chalamila anasema watu wa Kagera wanaongoza kwa fitina na majungu kuliko mikoa yote. Je anaweza kutuambia huo utafiti aliufanya lini na akalinganisha mikoa ipi. Na je alitumia njia gani kwa hiyo tathmini yake?. No research no right to speak .Watu wa Kagera ni wakarimu sana lakini inapotokea kiongozi kutumia kofia yake kudhalilisha kabila na kutupa sifa mbaya hiyo haikubaliki.

Je hizo sifa anazotoa yeye kama Mkuu wa Mkoa ni watu gani watapenda kuja kuwekeza Kagera. Ni mtu gani ambaye atapenda kufanya kazi Kagera kwa sifa ambazo anazinadi kila siku kwenye vyombo vya habari dhidi ya ubaya wa watu wa Kagera?. Rais hajatuletea mtu wa kuja kutuchafua watu wa Kagera bali kaleta mtu wa kuja kusimamia sera ambazo zitainyanyua Kagera.

Kagera hatuna Stendi ya mkoa, Kagera hatuna soko . Chalamila anasema hayo hayapo kwa sababu watu wana majungu na fitina na wanapenda kuongea viingereza. Je kujenga Stendi na soko ni kazi ya wananchi au ndio inabidi serikali ijenge. Tulitegemea yeye kama kiongozi aongoze njia kupata hizo stendi na soko. Lakini anaendelea kutuzomea kwamba hatuna vitu hivyo kwa sababu ya majungu na fitina. Kauli zake zinaonyesha serikali haiko tayari kuwapatia watu wa Kagera stendi na soko kwa sababu wana majungu na fitina.

Leo hii Kagera ni mkoa wenye uchumi duni kuliko mikoa yote. Tukiangalia sababu kubwa ni athari ya vita ya Idd Amin, kuzama kwa meli ya Mv Bukoba, Athari ya ugonjwa wa UKIMWI, soko la kahawa kutoeleweka pamoja na kilimo cha migomba kuingiliwa na ugonjwa wa Mnyauko . Na hayo mambo ni serikali ambayo inatakiwa iangalie namna ya kuweka sura nzuri ambazo zitafufua uchumi wa Kagera. Lakini anakuja Mkuu wa Mkoa ambaye kazi yake ni kuwasema vibaya watu wa Kagera kwa kutusema ni wavivu. Suala la watu wa Kagera kuwa na majungu na fitina pamoja na uvivu umekuwa wimbo wake kabisa. Hii inatuchafulia taswira ya mkoa wetu. Tunaamini kiongozi mzuri ni yule ambaye vitendo vinazidi maneno. Tulitamani kuona initiatives za kupandisha uchumi wa Kagera lakini siyo kutusimanga.

Hivi huo ni uvivu gani ambao anausemea Mkuu wa Mkoa. Je kufa kwa KCU na BCU ni uvivu wa wana Kagera? Je kutokuwa na viwanda vya kutosha ni uvivu wa wananchi wa Kagera. Mshaurini Chalamila aache kejeli na kebehi asimamie sera vizuri ndani ya mkoa wetu tuone kama hatutapata matokeo chanya. Kagera inahitaji usimamizi mzuri wa sera ili kuweza kunyanyuka. Athari zilizopo ni tafsiri ya viongozi kutokuwa wanyambulifu. We reap what we sow( tunavuna tunachokipanda) ukilima chuki utavuna chuki.

Huenda kuna watu wanamsifia kwa kuweza kusema chochote anachojisikia. Yeye kama kiongozi lazima achague maneno ya kusema. Kiukweli kauli zake zimenyongonyesha mioyo yetu, kauli zake zinatudidimiza, kauli zake zinatujengea uhasama na serikali, kauli zake zinatutonesha vidonda vyetu kwa madhira yaliyotupata, kauli zake zina chuki na uhaya wetu na mwisho kauli zake siyo za kiongozi. Baada ya kutatua tatizo yeye anashugulika na uhaya wetu.

Kuna methali moja ya kiingereza inasema hivi " embwa keeba etakahiire mukira teruga mmahiga kwa tafsiri ambayo siyo sisisi ni kwamba anachokitafuta atakipata.
#makeKageraGreatAgain

Ninakazia:

FnumT0wWAAA__sM.jpeg

Mleta mada uko vizuri.
 
Hiyo aya ya mwisho tu inaonesha wahaya mna shida, eti methali ya kiingereza. Ndio maana anawaambia vikengereza vyenu. Nyie ndiyo mmepata mkuu wa mkoa sahihi mmezidi ujuaji wakati hakuna mnalojua. Kitu kidogo tu ubishi kuoneshana nani zaidi hapo maendeleo yatakujaje wakati hata sehemu ya kujenga mradi mtabishana miaka? Ni ukweli kuwa wahaya ni wavivu maduka yanafunguliwa saa3 au zaidi ya hapo. watu wameridhika ktk hakuna, kiduka tu mtu anaona amemaliza maisha ni mwendo wa mashauzi wakati wenzenu unakuta mtu ana maduka zaidi ya matano ktkt mji moja pamoja magodown kadhaa. Pili fitna na majungu ingawa ipo kila sehemu kwenu kumezidi.

Nyie km siyo wavivu mkoa wa Kagera leo kusingekuwa na mapori, kuwepo kwa mapori ni ushahidi kuna uvivu wa hali ya juu. Wenzenu mikoa mingine wameshamaliza ardhi mpaka wanakuwa na migogoro nyie mna mapori maana hamlimi inavyostahili, hamfugi vya kutosha wala hamvui samaki inavyostahili mmebaki kuridhika tu huo ndio uvivu anaouzungumzia Chalamila. Ni Mhaya gani amelima ekari 50 au zaidi. Mmebakia kulima vishamba vidogo mwadai wakulima? Badilikeni acheni ujuaji ndezi
 
Anaandika Mo Mlimwengu.

Kagera ni mojawapo ya mikoa ambayo inajulikana katika nchi ya Tanzania. Mkoa wa Kagera umekuwa ukijulikana siku zote kwa sifa ya kuwa mkoa wenye mandhari nzuri na hali ya hewa nzuri ambayo ni nzuri kwa shughuli za kilimo na ufugaji. Mbali na hivyo imezungukwa na Ziwa Victoria ambapo shughuli kubwa ya watu wazungukao ziwa ni uvuvi. Mkoa huu umezalisha wasomi wengi ambao almaarufu huitwa nshomire ambao wamesaidia kwa kiasi kikubwa kwenye ujenzi wa taifa letu.

Kagera tumebahatika kupata viongozi wa aina mbalimbali hususani wakuu wa mikoa ambao kila aliyepita hapa alikuwa na aina ya uongozi wake. Ila hivi sasa mkoa huu unaongozwa na Mh Chalamila. Huyu Chalamila amekuja na aina tofauti ya uongozi wake ambao umepelekea watu wengi kushindwa kumuelewa ana shida gani na watu wa Kagera. Kila akipanda jukwaani ni mtu wa kebehi na kejeli kwamba watu wa Kagera wana fitina na majungu, watu wa Kagera ni wavivu na watu ambao hawapendi maendeleo. Tunaamini Mh Rais wetu Samia Suluhu amechagua mtu wa kuja kumsaidia kuijenga Kagera ila siyo kuleta mtu wa kuja kuwasimanga, kuwasema vibaya, na kuwadhalilisha kwa sifa mbaya ambazo anasema hajawahi kuziona katika mkoa wowote.

Chalamila anasema watu wa Kagera wanaongoza kwa fitina na majungu kuliko mikoa yote. Je anaweza kutuambia huo utafiti aliufanya lini na akalinganisha mikoa ipi. Na je alitumia njia gani kwa hiyo tathmini yake?. No research no right to speak .Watu wa Kagera ni wakarimu sana lakini inapotokea kiongozi kutumia kofia yake kudhalilisha kabila na kutupa sifa mbaya hiyo haikubaliki.

Je hizo sifa anazotoa yeye kama Mkuu wa Mkoa ni watu gani watapenda kuja kuwekeza Kagera. Ni mtu gani ambaye atapenda kufanya kazi Kagera kwa sifa ambazo anazinadi kila siku kwenye vyombo vya habari dhidi ya ubaya wa watu wa Kagera?. Rais hajatuletea mtu wa kuja kutuchafua watu wa Kagera bali kaleta mtu wa kuja kusimamia sera ambazo zitainyanyua Kagera.

Kagera hatuna Stendi ya mkoa, Kagera hatuna soko . Chalamila anasema hayo hayapo kwa sababu watu wana majungu na fitina na wanapenda kuongea viingereza. Je kujenga Stendi na soko ni kazi ya wananchi au ndio inabidi serikali ijenge. Tulitegemea yeye kama kiongozi aongoze njia kupata hizo stendi na soko. Lakini anaendelea kutuzomea kwamba hatuna vitu hivyo kwa sababu ya majungu na fitina. Kauli zake zinaonyesha serikali haiko tayari kuwapatia watu wa Kagera stendi na soko kwa sababu wana majungu na fitina.

Leo hii Kagera ni mkoa wenye uchumi duni kuliko mikoa yote. Tukiangalia sababu kubwa ni athari ya vita ya Idd Amin, kuzama kwa meli ya Mv Bukoba, Athari ya ugonjwa wa UKIMWI, soko la kahawa kutoeleweka pamoja na kilimo cha migomba kuingiliwa na ugonjwa wa Mnyauko . Na hayo mambo ni serikali ambayo inatakiwa iangalie namna ya kuweka sura nzuri ambazo zitafufua uchumi wa Kagera. Lakini anakuja Mkuu wa Mkoa ambaye kazi yake ni kuwasema vibaya watu wa Kagera kwa kutusema ni wavivu. Suala la watu wa Kagera kuwa na majungu na fitina pamoja na uvivu umekuwa wimbo wake kabisa. Hii inatuchafulia taswira ya mkoa wetu. Tunaamini kiongozi mzuri ni yule ambaye vitendo vinazidi maneno. Tulitamani kuona initiatives za kupandisha uchumi wa Kagera lakini siyo kutusimanga.

Hivi huo ni uvivu gani ambao anausemea Mkuu wa Mkoa. Je kufa kwa KCU na BCU ni uvivu wa wana Kagera? Je kutokuwa na viwanda vya kutosha ni uvivu wa wananchi wa Kagera. Mshaurini Chalamila aache kejeli na kebehi asimamie sera vizuri ndani ya mkoa wetu tuone kama hatutapata matokeo chanya. Kagera inahitaji usimamizi mzuri wa sera ili kuweza kunyanyuka. Athari zilizopo ni tafsiri ya viongozi kutokuwa wanyambulifu. We reap what we sow( tunavuna tunachokipanda) ukilima chuki utavuna chuki.

Huenda kuna watu wanamsifia kwa kuweza kusema chochote anachojisikia. Yeye kama kiongozi lazima achague maneno ya kusema. Kiukweli kauli zake zimenyongonyesha mioyo yetu, kauli zake zinatudidimiza, kauli zake zinatujengea uhasama na serikali, kauli zake zinatutonesha vidonda vyetu kwa madhira yaliyotupata, kauli zake zina chuki na uhaya wetu na mwisho kauli zake siyo za kiongozi. Baada ya kutatua tatizo yeye anashugulika na uhaya wetu.

Kuna methali moja ya kiingereza inasema hivi " embwa keeba etakahiire mukira teruga mmahiga kwa tafsiri ambayo siyo sisisi ni kwamba anachokitafuta atakipata.
#makeKageraGreatAgain
Tuanzie hapa,watu wa kagera uchumi wao unategemea sana zao la kahawa,ukiua uchumi wa kahawa umeua uchumi wa mkoa mzima,kw sie tuliosoma zamani,mapato ya kahawa yalijenga mashure,hospitari,yalilipa ada za shule.
Sasa awamu ya Nyerere ilichukia watu wa kagera,maana walikuwa mbele sana kwenye uchumi,bei ya kahawa asilimia kubwa inaenda kwenye vyama vya ushirika na ccm,mkulima anapata kiduchu,
Si ungesema tu kuwa hata tetemeko, mto ngono na ukimwi - kagera?
 
Anaandika Mo Mlimwengu.

Kagera ni mojawapo ya mikoa ambayo inajulikana katika nchi ya Tanzania. Mkoa wa Kagera umekuwa ukijulikana siku zote kwa sifa ya kuwa mkoa wenye mandhari nzuri na hali ya hewa nzuri ambayo ni nzuri kwa shughuli za kilimo na ufugaji. Mbali na hivyo imezungukwa na Ziwa Victoria ambapo shughuli kubwa ya watu wazungukao ziwa ni uvuvi. Mkoa huu umezalisha wasomi wengi ambao almaarufu huitwa nshomire ambao wamesaidia kwa kiasi kikubwa kwenye ujenzi wa taifa letu.

Kagera tumebahatika kupata viongozi wa aina mbalimbali hususani wakuu wa mikoa ambao kila aliyepita hapa alikuwa na aina ya uongozi wake. Ila hivi sasa mkoa huu unaongozwa na Mh Chalamila. Huyu Chalamila amekuja na aina tofauti ya uongozi wake ambao umepelekea watu wengi kushindwa kumuelewa ana shida gani na watu wa Kagera. Kila akipanda jukwaani ni mtu wa kebehi na kejeli kwamba watu wa Kagera wana fitina na majungu, watu wa Kagera ni wavivu na watu ambao hawapendi maendeleo. Tunaamini Mh Rais wetu Samia Suluhu amechagua mtu wa kuja kumsaidia kuijenga Kagera ila siyo kuleta mtu wa kuja kuwasimanga, kuwasema vibaya, na kuwadhalilisha kwa sifa mbaya ambazo anasema hajawahi kuziona katika mkoa wowote.

Chalamila anasema watu wa Kagera wanaongoza kwa fitina na majungu kuliko mikoa yote. Je anaweza kutuambia huo utafiti aliufanya lini na akalinganisha mikoa ipi. Na je alitumia njia gani kwa hiyo tathmini yake?. No research no right to speak .Watu wa Kagera ni wakarimu sana lakini inapotokea kiongozi kutumia kofia yake kudhalilisha kabila na kutupa sifa mbaya hiyo haikubaliki.

Je hizo sifa anazotoa yeye kama Mkuu wa Mkoa ni watu gani watapenda kuja kuwekeza Kagera. Ni mtu gani ambaye atapenda kufanya kazi Kagera kwa sifa ambazo anazinadi kila siku kwenye vyombo vya habari dhidi ya ubaya wa watu wa Kagera?. Rais hajatuletea mtu wa kuja kutuchafua watu wa Kagera bali kaleta mtu wa kuja kusimamia sera ambazo zitainyanyua Kagera.

Kagera hatuna Stendi ya mkoa, Kagera hatuna soko . Chalamila anasema hayo hayapo kwa sababu watu wana majungu na fitina na wanapenda kuongea viingereza. Je kujenga Stendi na soko ni kazi ya wananchi au ndio inabidi serikali ijenge. Tulitegemea yeye kama kiongozi aongoze njia kupata hizo stendi na soko. Lakini anaendelea kutuzomea kwamba hatuna vitu hivyo kwa sababu ya majungu na fitina. Kauli zake zinaonyesha serikali haiko tayari kuwapatia watu wa Kagera stendi na soko kwa sababu wana majungu na fitina.

Leo hii Kagera ni mkoa wenye uchumi duni kuliko mikoa yote. Tukiangalia sababu kubwa ni athari ya vita ya Idd Amin, kuzama kwa meli ya Mv Bukoba, Athari ya ugonjwa wa UKIMWI, soko la kahawa kutoeleweka pamoja na kilimo cha migomba kuingiliwa na ugonjwa wa Mnyauko . Na hayo mambo ni serikali ambayo inatakiwa iangalie namna ya kuweka sura nzuri ambazo zitafufua uchumi wa Kagera. Lakini anakuja Mkuu wa Mkoa ambaye kazi yake ni kuwasema vibaya watu wa Kagera kwa kutusema ni wavivu. Suala la watu wa Kagera kuwa na majungu na fitina pamoja na uvivu umekuwa wimbo wake kabisa. Hii inatuchafulia taswira ya mkoa wetu. Tunaamini kiongozi mzuri ni yule ambaye vitendo vinazidi maneno. Tulitamani kuona initiatives za kupandisha uchumi wa Kagera lakini siyo kutusimanga.

Hivi huo ni uvivu gani ambao anausemea Mkuu wa Mkoa. Je kufa kwa KCU na BCU ni uvivu wa wana Kagera? Je kutokuwa na viwanda vya kutosha ni uvivu wa wananchi wa Kagera. Mshaurini Chalamila aache kejeli na kebehi asimamie sera vizuri ndani ya mkoa wetu tuone kama hatutapata matokeo chanya. Kagera inahitaji usimamizi mzuri wa sera ili kuweza kunyanyuka. Athari zilizopo ni tafsiri ya viongozi kutokuwa wanyambulifu. We reap what we sow( tunavuna tunachokipanda) ukilima chuki utavuna chuki.

Huenda kuna watu wanamsifia kwa kuweza kusema chochote anachojisikia. Yeye kama kiongozi lazima achague maneno ya kusema. Kiukweli kauli zake zimenyongonyesha mioyo yetu, kauli zake zinatudidimiza, kauli zake zinatujengea uhasama na serikali, kauli zake zinatutonesha vidonda vyetu kwa madhira yaliyotupata, kauli zake zina chuki na uhaya wetu na mwisho kauli zake siyo za kiongozi. Baada ya kutatua tatizo yeye anashugulika na uhaya wetu.

Kuna methali moja ya kiingereza inasema hivi " embwa keeba etakahiire mukira teruga mmahiga kwa tafsiri ambayo siyo sisisi ni kwamba anachokitafuta atakipata.
#makeKageraGreatAgain
Ukumbuke kila mkuu wa mkoa akija huwa anasema hivyo
 
Kazi imeanza tayari 🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom