Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kama Lowasa angeshinda Uraisi hiki kinachotokea sasa kingeshatokea tangia 2015-2020, kwa maana marafiki wa Lowasa ambao walikuwa wanadhamini Kampeni zake za Uraisi ndiyo wanaouza Bandari yetu leo...
4 Reactions
4 Replies
1K Views
Ni nchi yenye uajabu wake! Ni nchi yenye rsilimali zake nyingi, ila huwa hazitoi faida kwa wananchi! Utasikia kiongozi akisema, hiki na kile, kimetutia hasara ya mabilioni kadhaa, tuwape wageni...
0 Reactions
1 Replies
439 Views
1. TANESCO wasijaribu hata kidogo kukata umeme ili tu Watanzania wanyimwe haki ya kuwaona Wabunge wanaopitisha mkataba wa mauaji. 2. Watu wanaohusika na Mambo ya mawasiliano(TCRA) wasijaribu hata...
11 Reactions
46 Replies
4K Views
Inasadikiwa kuna mikataba 40 ilisainiwa huko Dubai, mmoja ndio huoo.... nao ni wa uchungu kushinda Mwalovera na ndio wa kwanza tu kati ya hiyo yote! Itatofuata..... tusishangae kuona kipanda cha...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Ibara ya 4 - Wigo wa Ushirikiano na Taasisi za Utekelezaji (2) "Tanzania itawajulisha Dubai kuhusu fursa zingine zinazohusiana na bandari na maeneo huru..." Mapendekezo: Ondoa neno...
0 Reactions
0 Replies
539 Views
Serikali ya Zanzibar imeingia mkataba na kampuni ya AGL ya Afrika kusini kusimamia Uendeshaji wa Bandari Waziri wa Bandari Zanzibar amesisitiza kuwa Bandari haijabinafsishwa bali AGL watasimamia...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
nashangazwa kuona wasomi wanchi wanaunga kuiteketeza nchi, ukizungumzia bandari ndio uchumi wa nchi na bandari ndio huamua imports na exports yan kipi kiingie kipi kitoke, na kisikitisha zaidi...
0 Reactions
0 Replies
348 Views
Bila wizi wa kufulu pale bandarini nadhani tusingekuwa leo katika hii sintofahamu ya kupewa muarabu bandari yetu ya dar, Sasa mmewapa sababu ya kutosha madalali kuipiga mnada bandari. Sasa...
11 Reactions
12 Replies
1K Views
Tupo katika kipindi ambacho ugaidi unakua na kusambaa na kushika taswira ya janga la kidunia. Ni dhahiri kuwa ubinafsishwaji wa bandari unaweza kuwa na athari za Kiulinzi na za kiusalama kwa nchi...
6 Reactions
44 Replies
5K Views
Ibara ya 1 ya makubaliano na serikali ya UAE kinatoa kwanza tafsiri ya maneno yaliyotumika kwenye mkataba. Neno “Project Company” limeandikwa kuwa litamaanisha DP-World au kampuni iliyosajiliwa...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Msemaji wa serikali Msigwa kaita waandishi kutoa "ufafanuzi" wa serikali kuhusu mkataba wa bandari, alipomaliza akasema: Kwa hiyo ndugu zangu naombeni muwaambie Watanzania dhamira ya serikali...
1 Reactions
3 Replies
967 Views
Tunaenda kuongeza mapato, na kuongeza ufanisi kwa ujumla wake Sasa kupinga bila sababu za msingi na kukazania na uzushi tuuu hii inaleta ukakasi, Kama ni mapungufu si tuyarekebishe tu? Kwanini...
2 Reactions
49 Replies
3K Views
GTs, Kwenye mambo ya mikataba Rais Dkt Samia siyo mwanasheria ana wasaidizi wake na tena kuna Professor wa Sheria Professor Kabudi alimteua ndiyo kigogo wa mikataba yote. Hata huu wa Bandari...
7 Reactions
69 Replies
3K Views
Habari, Hili suala la bandari yetu pendwa ya Dar es salaam kupewa waarabu mbona kama imekaa kimtego sana aiseee. Unajua tukumbuke kulikuwa na VuguVugu la kuamsha moto wa katika before 2025 na...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
MH. RAIS, POLE KWA MAJUKUMU MAZITO UNAYOKABILIANA NAYO TANGU UTWISHWE JUKUMU HILI ZITO LA KUONGOZA VISIWA HIVI VYA ZANZIBAR pale wakazi wa visiwa vya Unguja na Pemba walipokuchagua kuwa kiongozi...
0 Reactions
0 Replies
730 Views
Kipindi Musiba anawatukana viongozi mbalimbali, Maaskofu na Mashehe walikula buyu wakakaa kimya. Muda wa kugeuza kibao kwa Musiba ulipowadia, hao watu walitoka mafichoni na kupaza sauti ya...
2 Reactions
0 Replies
593 Views
Wafanya biashara wa mahindi wamejikuta kwenye wakati mgumu sana kwenye mpaka wa Tanzania na Kenya baada ya kuambiwa vibali vyao vimeisha lakini hata baada ya kununua vibali vipya mtandaoni bado...
4 Reactions
124 Replies
10K Views
Yaani unampa mzazibar wizara ambayo sio ya muungano then anaanzisha mchakato na kusimamia majadiliano ya kuuza mali ya watanganyika kwa niaba ya watanganyika wakati yeye ni mzazibar. Mama...
3 Reactions
8 Replies
911 Views
Redemption song Zion train African unite Stand up Kwanini nmemkumbuka Bob Marley? Ni kutokana na sekeseke la DUBAI PORTS WORLD. Gwiji huyu wa jamaica mistari yake ilijaa falsafa za ukombozi wa...
1 Reactions
0 Replies
502 Views
Sisi ili mradi uhuru wetu wa kuongea na kupiga makelele usizuiliwe tu, vinginevyo wewe hiyo bandari ipige mnada tu. Hawa watanzania wala siyo watu serious hata punje, kama unavyoweza ukadhani...
5 Reactions
12 Replies
767 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…