Zanzibar yasaini mkataba na kampuni ya AGL ya Afrika kusini kusimamia Uendeshaji wa Bandari, yasisitiza Bandari haijabinafsishwa!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,840
141,757
Serikali ya Zanzibar imeingia mkataba na kampuni ya AGL ya Afrika kusini kusimamia Uendeshaji wa Bandari

Waziri wa Bandari Zanzibar amesisitiza kuwa Bandari haijabinafsishwa bali AGL watasimamia Uendeshaji wake kulingana na Masharti ya mkataba

Source ITV Habari
 
Tusubiri ufafanuzi zaidi ila kama wanajihami sana!
 
Serikali ya Zanzibar imeingia mkataba na kampuni ya AGL ya Afrika kusini kusimamia Uendeshaji wa Bandari

Waziri wa Bandari Zanzibar amesisitiza kuwa Bandari haijabinafsishwa bali AGL watasimamia Uendeshaji wake kulingana na Masharti ya mkataba

Source ITV Habari
Hi Lazima samia apite Nayo
 
Serikali ya Zanzibar imeingia mkataba na kampuni ya AGL ya Afrika kusini kusimamia Uendeshaji wa Bandari

Waziri wa Bandari Zanzibar amesisitiza kuwa Bandari haijabinafsishwa bali AGL watasimamia Uendeshaji wake kulingana na Masharti ya mkataba

Source ITV Habari
 
Attachments

  • 0937175A-44E9-4C82-AAE9-9B579BE8A514.jpeg
    0937175A-44E9-4C82-AAE9-9B579BE8A514.jpeg
    72.9 KB · Views: 4
  • 49962F18-D928-4559-B4F5-34EEE5AFCC89.jpeg
    49962F18-D928-4559-B4F5-34EEE5AFCC89.jpeg
    132.5 KB · Views: 6
Hapo tunapoozwa akili ila uhalisia haupo hivyo na kamwe hautakuwa hivi

Watuwekee terms za mkataba wao

Sisi wetu hauna ukomo
Wao je?
 
Nimeigoogle ni Kampuni ambayo ipo sijui ni wamelipa kiasi gani?
 
Serikali ya Zanzibar imeingia mkataba na kampuni ya AGL ya Afrika kusini kusimamia Uendeshaji wa Bandari

Waziri wa Bandari Zanzibar amesisitiza kuwa Bandari haijabinafsishwa bali AGL watasimamia Uendeshaji wake kulingana na Masharti ya mkataba

Source ITV Habari
Waendelee kuuza huko huko kwao, Tanganyika hatutaki!!!
 
Zanzibar mmefanya maamuzi mazuri sana. Huku kwetu bara wezi wameungana kumshanbulia mama kwa uamuzi wake wa kizalendo.
 
Usishangae ukakuta hiyo kampuni ni ya kiongozi wa Tanzania, ila wanaleta wazungu bosheni ili kutuleta. Mifano ya uhuni wa hivi iko mingi.

Labda awe ana hisa ila si rahis kuwa ndio Top leader wa kampuni
 
Back
Top Bottom