Katibu wa Shura ya maimamu Shekhe Ponda amesema swala la Bandari ni la uboreshaji
Na kwamba kimsingi tunakubaliana kwamba Shirika la DP World lina Ufanisi mkubwa
Na kwamba tunaingia Ubia...
KUNA tuhuma nzito zinazoendelea kwenye umma kuhusiana na baadhi ya saini za mkataba wa Tanzania na Dubai kuwa zimeghushiwa...na inaweza kutuletea shida baadae upande mmoja ukaja kusema hautambui...
Rais Samia ukimtazama kwa haraka haraka ni mtu mpole na mstaarabu
Ukimsikiliza maneno yake ni mtu anayechagua sana maneno matamu ya kuzungumza kulingana na umma anaosema nao
Lakini ukiangalia...
Kwa muda mrefu Tanzania imekuwa haina chanzo cha uhakika cha nishati ya umeme, jambo ambalo limekuwa likiirudisha nchi nyuma kimaendeleo.
Miongoni mwa athari za kutokuwa na vyanzo vya uhakika vya...
Hili ni suala nyeti mno. Vifaa vya milioni 500 kuibiwa huku serikali ikiwa kimya haipendezi hata kidogo. Wiki tatu sasa zimepita lakini tukio hili kama vile limesahaulika.
Watu wanaiba dawa...
Najiuliza sana kuhusu huyu askofu lakini makosa jibu.
Askofu Pengo alikuwa mtu wa karibu sana wa waandamizi wa awamu ya tano. Wakati huo hakufungua mdomo wake kukemea chochote kile, japo baadhi...
Akichangia mjadala wa Bajeti Kuu ya Serikali ya mwaka 2023/24, Mbunge wa Arusha Mjini Mrisho Gambo amepinga pendekezo la Serikali kuongeza Tsh. 100 kwenye kila Lita ya Dizeli na Petroli kwa...
MBUNGE, Rashid Shangazi anatajwa kuwa ndiye Dalali wa Kampuni ya DP World inayotaka kuuziwa bandari zote Tanzania isipokuwa za Zanzibar tu, Shangazi alianza kuipigia debe na baadaye kuwaleta...
Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Mkoani Tanga, Jokate urban Mwegelo @jokatemwegelo ameteuliwa kuwa mmoja kati ya Vijana wachache mahiri watakaowakilisha ndani ya Mtandao wa Kimataifa wa Vijana...
PROFESA ANNA TIBAIJUKA NDANI YA WASAFI MEDIA.
Leo 19:30hrs 19/06/2023
Sisi tunaojua tuna mzigo mzito kuliko wasiojua, wajukuu zetu watakuja kusema na nyinyi mlikuwepo, hata mbele za Mungu...
Mwezi February mwaka huu, Serikali ya Tanzania ilisaini hati ya makubaliano (MOU) na Serikali ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) kwa ajili ya kutusaidia kuendeleza misitu yote nchini...
Nimemsikia Mbunge Lucy Mayenga akiwaomba wabunge wenzake watafakari upya kuhusu mkataba wa DP World.
Wakati huo huo Waziri Mkuu Kasimu Majaliwa amesema hawatapuuza maoni ya wananchi wanayotoa...
TICTS yasababisha hasara kubwa kwa taifa
* Yadondosha makontena matatu baharini
* Meli zashindwa kushusha mafuta bandarini kwa siku kadhaa
KAMPUNI ya kimataifa ya kuhudumia makontena Tanzania...
Habri wakuu, moja kati ya manaibu waziri sahihi katika kipindibhiki basi ni Mha. Godfrey M. Kasekenya (naibu waziri ujenzi na uchukuzi) , nimevutiwa na utendaji wake wa kazi hasa kujibu maswali ya...
Ghafla tu Profesa Anna Tibaijuka kawa mkosoaji wa sera za Samia isivyotarajiwa!
Mengi ya maandiko yake kwa siku za hivi karibuni yanaonyesha kupinga waziwazi sera za uwekezaji za Samia.
Je, Anna...
Swali la msingi liko hapo.
TICTS walipewa miaka 20, waliposhindwa na mkataba kuisha wamenyimwa nyongeza ya mkataba. Je, hao DP World mmewapa muda gani? Ili nao wakishindwa tutafute mwekezaji...
Wanaotufundisha umuhimu wa upendo, kadiri ya maagizo ya kitabu Kitakatifu cha Biblia, wanatuambia kuwa, Umpende mwenzako kama unavyojipenda mwenyewe. Sijawahi kuona wala kusikia kuwa kuna mahali...
Mkiambiwa tumerudi enzi za Sultani Mangungo wa Msovero muwe mnakubali, msibishe maana mnayoyafanya hayana tofauti na enzi hizo. Tumesoma kwenye vitabu vya historia kwamba Waafrika wenzetu...
Where is prof. Kabudi? Not frequently seen in the media as we used to see him under Magufuli. Why is he missing even in very crucial occasions like marking the beginning of covid-19 vaccination in...
Waisrael kadhaa waangamizwa katika shambulizi la kulipiza kisasi
Jun 21, 2023 12:08 UTC
[https://media]
Makundi ya muqawama ya Palestina yamefanya operesheni ya ulipizaji kisasi na kuwaangamiza...