Profesa Anna Tibaijuka: Hili zimwi (Mkataba wa bandari) lilipitaje kutiwa sahihi Ikulu na bungeni?

Mwande na Mndewa

JF-Expert Member
Feb 26, 2021
949
2,865
PROFESA ANNA TIBAIJUKA NDANI YA WASAFI MEDIA.

Leo 19:30hrs 19/06/2023

Sisi tunaojua tuna mzigo mzito kuliko wasiojua, wajukuu zetu watakuja kusema na nyinyi mlikuwepo, hata mbele za Mungu tutakosa cha kuwajibu.

Nimekuja na mkataba huu hapa, ukiuangalia unajiuliza huu mkataba ulipataje sahihi za Serikali!? Hili zimwi liliingiaje Ikulu na likapita hadi bungeni!?

Mimi ni mstaafu ila sijastaafu kwenye Jamii kulitumikia taifa langu, nikiona jambo linahitaji ufafanuzi natoka kulielezea, kwenye Jamii tunastaafishwa na Mungu.

Kwa uzee wangu, kwa uzoefu wa kufanya kazi kimataifa, Mimi si shabiki, nawajibika kutoa ufafanuzi kwenye mambo mazito yanayohitaji ufafanuzi.

Watangazaji wa Wasafi; Mama hii ni kama Fei Toto alivyotoka Yanga akaenda Azam,alii..

Profesa Tibaijuka; Ninyi vijana acheni kuingiza mambo ya mpira kwenye mambo mazito yanayohusu nchi, watoto na wajukuu na vitukuu vyetu kama jambo hili..!

Mkataba unahusu "territory" yaani mkataba utaanzia kwenye mipaka ya Tanzania Nungwi, Pemba na unguja, mkataba utakuwa juu ya territory ya Tanzania anga, bahari na nchi kavu, mkataba unasema Tanzania itaijulisha Dubai juu ya fursa zozote zilizopo, na zitakazokuwepo, hili ni tusi kubwa sana.

Vijana hapa nazungumzia kupokonywa Sovereignty, yaani haki ya nchi kutoingiliwa katika mambo yake, tumejikabidhi na tutakabidhi kila fursa zetu, kwa sasa inaweza kuonekana ni sawa lakini fursa zitakapokosekana watakapobaki wajukuu wetu, ndipo athari zitaonekana, ni sawa tumetega bomu litalipuka siku za usoni.

Watangazaji Wasafi; Profesa muda ni mdogo kuchambua vifungu vya kwenye mkataba, umetueleza kwa uchache tutakutafuta tena.

Profesa Tibaijuka; Uwingi wa maneno si bora kuliko uzito wake.

-
#Asante Profesa Tibaijuka, wewe ni Mtanzania kweli kweli, wewe ni msomi kweli kweli, wewe ni Mzalendo wa dhati, wewe ni Mama Tanzania, Mungu akubariki sana, Mungu akupe maisha marefu kuiona kesho ya Tanzania.
 
Mkataba unahusu "territory" yaani mkataba utaanzia kwenye mipaka ya Tanzania Nungwi,Pemba na unguja, mkataba utakuwa juu ya territory ya Tanzania anga,bahari na nchi kavu, mkataba unasema Tanzania itaijulisha Dubai juu ya fursa zozote zilizopo,na zitakazokuwepo,hili ni tusi kubwa sana,

Vijana hapa nazungumzia kupokonywa Sovereignty,yaani haki ya nchi kutoingiliwa katika mambo yake,tumejikabidhi na tutakabidhi kila fursa zetu,kwa sasa inaweza kuonekana ni sawa lakini fursa zitakapokosekana watakapobaki wajukuu wetu,ndipo athari zitaonekana,ni sawa tumetega bomu litalipuka siku za usoni.
😳😳😳🤔🤔🤔🤔
 
PROFESA ANNA TIBAIJUKA NDANI YA WASAFI MEDIA.

Leo 19:30hrs 19/06/2023

Sisi tunaojua tuna mzigo mzito kuliko wasiojua,wajukuu zetu watakuja kusema na nyinyi mlikuwepo,hata mbele za Mungu tutakosa cha kuwajibu,

Nimekuja na mkataba huu hapa,ukiuangalia unajiuliza huu mkataba ulipataje sahihi za Serikali!? Hili zimwi liliingiaje Ikulu na likapita hadi bungeni!??

Mimi ni mstaafu ila sijastaafu kwenye Jamii kulitumikia taifa langu,nikiona jambo linahitaji ufafanuzi natoka kulielezea, kwenye Jamii tunastaafishwa na Mungu,

Kwa uzee wangu,kwa uzoefu wa kufanya kazi kimataifa,Mimi si shabiki,nawajibika kutoa ufafanuzi kwenye mambo mazito yanayohitaji ufafanuzi,

Watangazaji wa Wasafi; Mama hii ni kama fei toto alivyotoka Yanga akaenda Azam,alii....

Profesa Tibaijuka;Ninyi vijana acheni kuingiza mambo ya mpira kwenye mambo mazito yanayohusu nchi,watoto na wajukuu na vitukuu vyetu kama jambo hili..!

Mkataba unahusu "territory" yaani mkataba utaanzia kwenye mipaka ya Tanzania Nungwi,Pemba na unguja, mkataba utakuwa juu ya territory ya Tanzania anga,bahari na nchi kavu, mkataba unasema Tanzania itaijulisha Dubai juu ya fursa zozote zilizopo,na zitakazokuwepo,hili ni tusi kubwa sana,

Vijana hapa nazungumzia kupokonywa Sovereignty,yaani haki ya nchi kutoingiliwa katika mambo yake,tumejikabidhi na tutakabidhi kila fursa zetu,kwa sasa inaweza kuonekana ni sawa lakini fursa zitakapokosekana watakapobaki wajukuu wetu,ndipo athari zitaonekana,ni sawa tumetega bomu litalipuka siku za usoni.

Watangazaji Wasafi;Profesa muda ni mdogo kuchambua vifungu vya kwenye mkataba,umetueleza kwa uchache tutakutafuta tena,

Profesa Tibaijuka;Uwingi wa maneno si bora kuliko uzito wake.

#Asante Profesa Tibaijuka,wewe ni Mtanzania kweli kweli,wewe ni msomi kweli kweli,wewe ni Mzalendo wa dhati,wewe ni Mama Tanzania,Mungu akubariki sana,Mungu akupe maisha marefu kuiona kesho ya Tanzania.
 
Back
Top Bottom