Prof. Anna Tibaijuka haziivi na Rais Samia?

Mnada wa Mhunze

Senior Member
Mar 1, 2023
168
818
Ghafla tu Profesa Anna Tibaijuka kawa mkosoaji wa sera za Samia isivyotarajiwa!

Mengi ya maandiko yake kwa siku za hivi karibuni yanaonyesha kupinga waziwazi sera za uwekezaji za Samia.

Je, Anna ndiyo wale tuliowangojea ama tusubiri wengine?

Pia soma
Tibaijuka.jpg
 
Acha ujinga wewe..

Utakuta anayepinga au kukosoa baadhi ya maswala ana mapenzi makubwa kuliko wewe unayesifia upuuzi huku rohoni unajua unasifia kwa uwongo.

Mwenye akili akifanya ujinga halafu ukamsifia anakudharau. Prof hataki kusifia ujinga wa aina ya mkataba ulioingiwa.

Alisomeshwa kwa kodi za watanzania, now it's a payback time kwake kuutendea haki uprof wake, ila wewe mbumbumbu mwenzangu maamuma unatafasiri zako za darasa la saba D, mtakuja primary school
 
Tatizo ni mkataba mbovu.

Halafu Anna ni Profesa wa kusoma darasani sio huyo fom foo feilia aliyepewa PHd na msoga gang.

Profesa wa kusoma darasani ambaye ni mzalendo hawezi kubali mkataba wa milele.

Na nyie Intel yenu ilikuwa wapi hamkuusoma before usainiwe, mkakataza?

Au Intel inafanya kazi gani now kuzuia zoezi la mkataba lisifikiwe, au ni bora tushtakiwe now kabla hawajaanza kuliko kuwaondoa huko mbeleni?
 
Ghafla tu Profesa Anna Tibaijuka kawa mkosoaji wa sera za Samia isivyotarajiwa!

Mengi ya maandiko yake kwa siku za hivi karibuni yanaonyesha kupinga waziwazi sera za uwekezaji za Samia.

Je, Anna ndiyo wale tuliowangojea ama tusubiri wengine?
Mayala atakuwa anajua
 
Back
Top Bottom