Wakati wa Magufuli ..siku moja alienda kutembelea Mali za chama akaenda kutembelea kituo maarufu cha TV cha Channel ten.
Ndo tukatangaziwa kuwa na chenyewe ni Mali ya Chama Cha Mapinduzi...
Rushwa! Ni msamiati unaofahamika sana Tanzania. Si matajiri wala maskini, wote wameathiriwa na Rushwa, kama wahanga au wanufaika.
Rushwa! Rushwa Tanzania! Kila Kona ni rushwa. Huenda hata kwenye...
Utangulizi:
Ukisoma katiba ya JMT ibara ya 59 (1) imeanzisha ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali, na ibara ndogo ya (3) ya ibara hiyo ya 59, inaeleza wajibu mkuu ni kuishauri serikali katika...
Magufuli alikuwa ni mtawala anayeogopwa sana. Ukiitwa ofisini kwake unapatwa na ubaridi yabisi hadi kwenye mifupa.
Watu wote tulimuogopa sana. Nchi nzima hakuna aliyeweza kumnyooshea kidole...
Hawa watu wakishakaa huko Ikulu wanaambizana hakuna mtu ana hati miliki ya hii nchi, ndiyo wanaona inawapa uhalali wa kuingia katika mikataba yoyote wanayotaka. Kwa maana kwamba hakuna mtu yeyote...
1. Majirani Kenya (KenTrade) wameboresha jinsi ya kupata huduma zao kidigitali (App) huku pia wakipambania kuuza Chai Sudan, Arabuni na China.
2. TANTRADE wanasubiri sare za vitenge na t-shirt...
Na Eleuteri Mangi, WUSM, Dar es Salaam
Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Saidi Yakubu amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Urusi nchini Mhe. Andrey Avetisyan ambapo...
Mchana wa leo Rostam amefanya mkutano na waandishi wa habari. Pamoja na mambo mengine ametoa tuhuma nzito kwa serikali na mahakama.
Amesema Dr. Slaa alinunuliwa wakati wa uchaguzi na kukisaliti...
Kitendo cha serikali kushindwa kusimamia rasilimali za nchi na kuendelea kukaririshwa ubinafisishaji watanzania wamebakia kuwa maskini huku wale wanaoitwa wawekezaji wakijipatia utajiri ,hayo...
Ndugu zangu watanzania,
Serikali ya Rais Samia imedhamilia kuleta mapinduzi ya kilimo, kuondoa njaa nchini, kuinua maisha ya wakulima, kuwafuta machozi wakulima, kuwapa Tabasamu na matumaini...
Utangulizi:
Naheshimu sana mawazo ya watu, ila kama taifa tuna shida mahali, nadhani ni sababu ya rushwa ikitamalaki inapofusha macho (sitaki kuhukumu sina uhakika ila kwa jicho la tatu DPW kuna...
Shirika la Reli Tanzania (TRC) limesema mabehewa yote yaliyoainishwa kuletwa kwa ajili ya treni ya Reli ya Kisasa (SGR) yatakuja na kwamba yaliyoanza kuingia nchini ni ya safari ndefu.
Wiki hii...
Nilitegemea Mwanasheria Mkuu wa Serikali ndio awe kinara wa kutetea Mkataba wa kumkabidhi Mwarabu bandari zetu, ila naona yuko kimya na hata Bungeni sidhani kama alisimama kutetea huu Mkataba...
Wakati bara tunahangaika na dude letu DP world linalo taka bandari zote kwa muda usiojulikana, wenzetu zanzibar wamewapa kampuni ya AGL kwa kazi zilezile anazo fanya DP world kwa kipindi cha miaka...
Swali la kujiuliza Dr Slaa, Prof Lipumba na Rev Mtikila walihongwa na nani?
Shujaa Magufuli alikuwa kwenye position ya kuhonga mtu 2015?
Mlale unono 😃😃!
Hii bajeti ya kwanza kupitishwa bungeni na jamii nzima kukaa kimya bila kuiweka kwenye agenda ya siku
Miaka yote tumezoea siku kama ya leo kunakua na mijadala mizito ya kada mbalimbali lakini...
Imagine hi ndio stendi ya makao makuu ya mkoa Geita? Mkoa uliojaa dhahabu kila kona. Mkoa wenyewe haujulikana kama mkoa au Wilaya.
Pamoja na kuwa na dhahabu nyingi lakini bado sana, barabara ni...
Rostam Aziz alijiweka karibu na JPM akafanikiwa kuzindua Taifa gesi. Leo JPM hayupo anamdhalilisha kwamba alionga na utawala wake ulikuwa unaelekeza nini mahakama ifanye....kama kweli anachosema...