Ni mjinga tu atakayeamini Rostam Aziz anamsema Dr Slaa, mbona yeye na Friends of Lowassa waliasi CCM Baada ya Kukatwa?!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,992
142,009
Swali la kujiuliza Dr Slaa, Prof Lipumba na Rev Mtikila walihongwa na nani?

Shujaa Magufuli alikuwa kwenye position ya kuhonga mtu 2015?

Mlale unono 😃😃!
 
Swali la kujiuliza Dr Slaa, Prof Lipumba na Rev Mtikila walihongwa na nani?

Shujaa Magufuli alikuwa kwenye position ya kuhonga mtu 2015?

Mlale unono !
Maneno mafupi sio kama hakuna mengine hapana, KIFUPI CCM NI RUSHWA TU.
 
Back
Top Bottom