Jamani Treni ya SGR Dar - Moro imeshaanza? Mwezi May ndio unakatika Huu!

Mwenye taarifa atujuze tafadhali maana mh Kadogosa alisisitiza mwezi Huu lazima Treni ya SGR Dar hadi Moro ianze safari

Nasubiria
Nyie tungeni sheria za kikatili kama nchi hii hamjaitumbukiza Sudan
 
Mwenye taarifa atujuze tafadhali maana mh Kadogosa alisisitiza mwezi Huu lazima Treni ya SGR Dar hadi Moro ianze safari

Nasubiria
Screenshot_20230530-193511_Gallery.jpg
 
Mabehewa yatafika June 3, 2023. Alafu vichwa vitafika July, 2023. Kwahiyo itaanza mwezi wa 8 au 9 mwaka huu. Mungu mwema itakua tu.
 
Kuna upungufu wa umeme, na huu mduchu unaopatikana unakatikakatika kama wa kwenye uwanja wa mkapa; kwa hiyo inabidi kusubiri mpaka Jnhpp itakapokamilika.
 
Back
Top Bottom