Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kuna mambo yanatokea nchi hii, mpaka unajiuliza nchi ina laana gani hata ishindwe kuwapata viongozi wenye upeo wa kuyaona matatizo, kuyatafakari, na kisha kuyatafutia ufumbuzi sahihi. Viongozi wa...
21 Reactions
124 Replies
9K Views
Profesa Mkenda ambaye ni Waziri wa Elimu ametoa hoja kwamba sasa ili Mwalimu mpya aajiriwe ni lazima apewe mtihani mwingine mpya wa kugombea ajira. Yaani ule usaili waliokuwa wanafanyishwa siku...
4 Reactions
22 Replies
2K Views
Tume ya Taifa ya Uchaguzi imemtangaza Dkt. John Magufuli, aliyekuwa mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM kuwa mshindi wa Uchaguzi uliofanyika Oktoba 28. Pia imemtangaza...
30 Reactions
473 Replies
47K Views
Ufisadi sasa baaasi! Vikampuni uchwara vyote violivyokuwa vinachota hela kijanjajanja hapo bandarini sasa tafuteni mashamba mje mlime matikiti.. Mwarabu anakuja kuziba mianya yote ya uhuni, wizi...
5 Reactions
11 Replies
3K Views
Wakubwa wa nchi wanasema hoja ya kuuza Bandari itapita kama zilivyo wahi kupita hoja nyingine. Naamini wanaamini sahihi kwa wakati wao ila ipo siku wataishia magerezani kama alivyofanya Magu last...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Narudia tena ni mtu mjinga tu ndio ataamini Taasisi kubwa kama DP World inahitaji kufanyiwa Promo na Watu aina ya Zembwela na sisimizi wengine Hii ni Dunia ya Biashara Watu aina ya Zembwela...
20 Reactions
38 Replies
2K Views
Hawa LATRA wa Makambako naona wamekaa kituoni Makambako kukata faini za 250000. Hawana huruma na wafanyabiashara kabisa.Gari ikienda Mbeya na kurudi hesabu yake ni 150000. Wenyewe wanamkatia mtu...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Wewe kiumbe uko wapi!
0 Reactions
2 Replies
851 Views
Taa Ni neno asili la kile kitoacho Mwanga kwa ajili ya Watu Kuona,Au kuelewa kinachoendelea.Taa hii Ndo iliifanya Tanzania ikawa na Lugha moja Nzuri kutoka kwa Wahenga wetu inayounganisha Umoja...
0 Reactions
1 Replies
826 Views
Mwananchi. Mzee Warioba ana maanisha nini anaposema waziwazi kwamba kwenye huo mkataba haitoshi kusema haya ni makubaliano na bila kupepesa macho AMESEMA WATAWALA WAANGALIE YASIYO FAA WAYAONDOE?!
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Hali inavyo onekana mpaka muda huu Putin yuko katika hali tete kuliko muda wote alio kaa madarakani. History haichi kufuata mkondo wake, Russia imekuwa katika mapindunzi huko nyuma, kizazi...
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Baada ya kuwepo kwa maneno mengi ya utani na mengine ‘serious’ kuhusu ahadi aliyoitoa kwa kwa baadhi ya wanakazi wa Kawe (Dar es Salaam) kuwa atawapeleka Jijini Birmingham Nchini England, hatimaye...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Mrisho Mpoto @MrishoMpoto · 18h Mnaosema tumeshasaini mkataba na kuuza bandari kwa DP naomba mnijibu;1. Kama tushasaini, mbona DP World hawajaingia bado hapo bandarini? au mshasikia kwamba...
3 Reactions
42 Replies
3K Views
Tunaendelea kupata picha halisi ya yaliyojiri kabla ya mkataba huu wa aibu wa kuwahi kutokea kuhusu bandari zetu. Wabunge walikwenda Dubai na wapo wanaodai kupewa kiasi cha fedha takriban 6M bila...
10 Reactions
36 Replies
3K Views
Serikali mkoani Shinyanga kwa kushirikiana na timu ya msaada wa kisheria ya Mama Samia Legal Aid Campain, wamefanikiwa kutatua mgogoro wa ardhi uliodumu kwa miaka 14 kati ya Fatuma Maganga na Said...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
Angalizo. Wajukuu na watoto wetu baadae wakija kupata akili wakaona rasilimali za ardhi yao kama bandari si yao tena, ardhi si yao tena, mbuga za wanyama hawana umili nazo tena lazima moto uwake...
2 Reactions
25 Replies
2K Views
https://apnews.com/article/middle-east-africa-china-hong-kong-e01b827fd55dd5fba9d13f5e5baabade
0 Reactions
0 Replies
512 Views
Waswahili Wana mambo mengi aisee yaani mtu anajiapiza Kabisa Eti Kawawa alikuwa CHAWA wa baba wa taifa Mwalimu Nyerere Binafsi nakataa kwa sababu Kawawa ni mmoja wa Wafadhili wa TANU wakati wa...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Hiki alichoongea Mwandishi nguli Mh Kitenge kwamba DP wanatumia Mashine tupu katika kutimiza majukumu yao ya kila siku kinapingana na Maelezo ya Kwenye Mkataba kama kilivyofafanuliwa na Waziri...
17 Reactions
41 Replies
4K Views
Hii ni video ndefu tu, Ina maswali mengi Kuhusu majibu. Kama una bando unaweza kusikiliza ila Kwa kifupi ni kwamba kulikua na Mambo mengi sana yalifanyika kienyeji mno. Kumbe Kuna wabunge...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…