Ujio wa DP World vikampuni uchwara vya clearing and forwarding, malori na bandari kavu njooni mlime matikiti

Ufisadi sasa baaasi!

Vikampuni uchwara vyote violivyokuwa vinachota hela kijanjajanja hapo bandarini sasa tafuteni mashamba mje mlime matikiti..

Mwarabu anakuja kuziba mianya yote ya uhuni, wizi na utapeli hapo bandarini
Hahaha…wacha wivu mzee. Kwa hiyo unaona afadhali mwarabu aibe kuliko mswahili mwenzio? Au kwa vile mwarabu anaiba kwa baraka za CCM?
 
Screenshot_20230622_091504_WhatsApp.jpg
 
Hahaha…wacha wivu mzee. Kwa hiyo unaona afadhali mwarabu aibe kuliko mswahili mwenzio? Au kwa vile mwarabu anaiba kwa baraka za CCM?
Watu wenye fikra zako ndiyo Dhahabu Nyeusi anawaita qwnye ujinga, bofya chini hapo ukajionee:

Back
Top Bottom