Imagine hi ndio stendi ya makao makuu ya mkoa Geita? Mkoa uliojaa dhahabu kila kona. Mkoa wenyewe haujulikana kama mkoa au Wilaya.
Pamoja na kuwa na dhahabu nyingi lakini bado sana, barabara ni...
Rostam Aziz alijiweka karibu na JPM akafanikiwa kuzindua Taifa gesi. Leo JPM hayupo anamdhalilisha kwamba alionga na utawala wake ulikuwa unaelekeza nini mahakama ifanye....kama kweli anachosema...
Miaka kadhaaa iliyopita nikiwa mkoani Morogoro, nadhani ni Wilaya ya kilombero kuna Kijiji kinaitwa Kiberege, iki Kijiji kipo karbu na kiwanda Cha sukari ni katikati ya ifakara kama unatokea...
Baadhi ya walimu waliositahili kupanda madaraja ya kiutumishi 2023 hawajapandishwa vyeo vyao kwa sababu mbalimbali. Baadhi ya sababu ni walioko masomoni, walio likizo bila malipo na walio mashtaka...
Naona makampuni yote mawili hayana trip za uhakika kama zamani hasa Kwa Dar-Mwanza ambapo route zimepunguza kutoka 5 kwa kila ndege na kubakia tatu tena nyingi zikiwa ni za usiku Tu.Wakati huo...
Niliwahi kusema Hapa Jf kwamba huko tuendako Wanasiasa watalazimika kutumia Jina la Shujaa Magufuli Ili kujipa Uhalali Mbele ya jamii
Mfanyabiashara Maarufu bilionea Rostam Aziz amesema kama...
Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 11, Kikao cha 54, leo Juni 23, 2023.
Tanzania kutokomeza Ugonjwa wa Malaria ifikiapo mwaka 20230
Naibu Waziri wa Afya Dr. Godwin Mollel...
Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina amesema Mwigulu amesababisha matatizo makubwa kwenye SGR zaidi ya trilioni 4. Luhaga amesema Mwigulu hatakuwepo kwenye nafasi ya uwaziri labda kwa neema ya Mungu...
Igweeeeeeeee, hii ni zaidi ya moto ask me not... 🤐😭
Ni hivi, baada ya ule muswada wa wana idara wengi wakapiga makofi kumbe yajayo ni furaha zaidi.
Baada ya kujua wanoko hawa kupitia vijana...
Ndugu zangu watanzania someni kapicha kaliko na nukuu za katibu mkuu wa Chadema kama ni kweli naomba tunao Jenga tujiandae kujengea udongo na kupaua Kwa kuweka miti pamoja kuezeka Kwa Nyasi...
Mbunge wa Jimbo la Chaani Mhe. Juma Usonge amesema hayo alipokuwa akizungumza na wanakijiji kwenye kikao cha kuratibu shughuli ya kuadhimisha miaka 50 tangu kuanzishwa Skuli ya Sekondari ya Pwani...
Akiwa bungeni leo Juni 26, 2023, waziri wa fedha, Mwigulu Nchemba wakati akihitimisha hoja ya makadirio ya bajeti amemkalia kooni mbunge mwenzeke, Luhaga Mpina kwa madai alikuwa anafungia viwanda...
Ifike wakati Serikali iachane na kufanya biashara make huu ni ujamaa na ushakuwa proved haiwezekani zaidi ya upigaji.
Kwa taarifa zaidi soma hapa >> Tanzania inatarajiwa kuingia mkataba na...
Wanabodi,
Hii ni makala iliitumwa kwangu na ndugu yangu Aboubakar Liongo kuhusu "Collective Imbecilization ya Profesa Chachage"
FEB 16, 2017 by JENERALI ULIMWENGU in MAKALA
HAYATI Chachage...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan ambaye amewasili mkoani Arusha kwa ziara ya kikazi ambapo ataongoza maadhimisho siku ya Kimataifa ya kupiga vita dawa za...
Zitto anasema IGA ni sawa na karatasi ya kufungia vitumbua, je anajua uzito wa IGA?
Kwamsiojua Intergovernmental Agreement tunaweza kuitafsiri kwamfano kwenye NCHI tungeita ni KATIBA YA NCHI...
Mkoa wa Morogoro ni mmoja wa Mkoa wenye uzalishaji mkubwa wa mazao yakiwemo mazao ya ufuta.
Ni takribani miaka mitatu sasa Wizara ya Kilimo, Wizara ya Fedha na Mipango, na Wizara ya Viwanda na...
KIKAO CHA KAMATI YA UTEKELEZAJI UVCCM TAIFA
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Taifa Komredi Mohamed Ali Kawaida (MCC) @comrade_kawaida Kuongoza Kikao cha Kamati ya...