Igweeeeeeeee, hii ni zaidi ya moto ask me not... 🤐😭
Ni hivi, baada ya ule muswada wa wana idara wengi wakapiga makofi kumbe yajayo ni furaha zaidi.
Baada ya kujua wanoko hawa kupitia vijana wanaonukia na kulamba maji ya bendera kwa Uhai ama kifo, muswada ukapelekwa bungeni. Kitalu wakapitisha kwa kishindo.
Sasa baada yakupitisha na sheria zenu kuanzia idara hiyo ipo chini ya state. From Hayati Baba to date idara ipo state. Why? wanajuwa waliopitisha.
Sasa tunapeleka muswada wa Bandari. Je, nani ataliponya Taifa? Who is behind this?
“Watanzania Mtanikumbuka sio kwa mabaya ila Mazuri" RIP Baba.