ATCL na Precision zafulia kutoa huduma kwani hawana ndege za kutosha

Kimla

JF-Expert Member
Jun 8, 2008
3,340
5,574
Naona makampuni yote mawili hayana trip za uhakika kama zamani hasa Kwa Dar-Mwanza ambapo route zimepunguza kutoka 5 kwa kila ndege na kubakia tatu tena nyingi zikiwa ni za usiku Tu.Wakati huo huo wameondoa trip za Tabora, Mpanda etc.

Hii inaonyesha zimefulia.Je Shida nini wakati Atcl inandenge zaidi ya 11 mpya kabisa?

Tutarajia shirika kupata hasara zaidi
 
Tatizo la ATCL ni kukariri na kutokuwa wabunifu.
Wakifanya kama fastjet, mzunguko DSM, KIA,MWANZA ,DSM kwa bei rahisi italipa sana na wananchi watafaidika.
Wachina na waarabu tunataka kuwapa bandari ni wabunifu tu, hawafuati na kukariri mambo ya wazungu (utumwa wa fikra).
Ili tuendelee tunahitaji kufanya mambo yetu kwa fikra zetu zaidi, hii itondoa hata utata wa mikataba unilateral inayosainiwa.
 
Nafurahi tu kwamba ile route ya Dar - Chato ilifutwa siku nyingi Sana.

Legacy ziiiii!!!!!
 
Nafurahi tu kwamba ile route ya Dar - Chato ilifutwa siku nyingi Sana.

Legacy ziiiii!!!!!
No mwezi huu wiki ya Kwanza ilikuwapo mara 2 Kwa wiki.Ila wamepubguza hata Tabora,,wamekata mpanda..wameondoa iringa pia
 
Back
Top Bottom