Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakuu, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Ruvuma. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. Mkoa wa...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Tarehe 28 ni kesho, nenda kapige spana. Kama kuna jambo la hovyo CCM na watu wao wameshauriana ni hili la kufungia mitandao ya kijamii, play store, (na app store). Hivi kwa akili za kawaida...
156 Reactions
375 Replies
41K Views
Jasusi mbobezi alidai kuwa atafunga kampeni zake huko kwao. Sijamsikia tena tokea siku hiyo. Je, alifanikiwa kuzifunga hizi kampeni zake kama alivyoahidi au? Na sijaona wala sijasikia popote...
8 Reactions
28 Replies
3K Views
Wakuu, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Rukwa. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. Mkoa wa...
2 Reactions
7 Replies
3K Views
Nimetafakari na kujiuliza sana jambo hili , huyu mtu tuliyeaminishwa kwamba ni msaliti wa Taifa , akashambuliwa kinyama na kutelekezwa ili akafie mbali , kama haitoshi akavuliwa ubunge bila...
119 Reactions
370 Replies
37K Views
Leo ni siku muhimu sana kwetu Tanzania. Tunapata fursa nyengine muhimu ya kukubaliana na watawala, tunahitaji nini kwa miaka mitano ijayo. Uchaguzi ni vita ya maneno, sera, hoja na mikakati ya...
0 Reactions
1 Replies
436 Views
Kwa wote mnaoangalia TBC, wana “Mchambuzi wa Masuala ya Siasa” anamwaga sifa kemu kemu kwa Dkt. Magufuli ambaye ni mgombea Urais kupitia CCM. Mchambuzi wao huyu anaonekana wazi kuwa amekuja...
11 Reactions
41 Replies
6K Views
Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Simon Sirro amesema ametembelea Vituo kadhaa vya kupigia kura na hali ni shwari, jambo linaloashiria Watanzania wanaelewa umuhimi wa siku ya leo. Ameomba utulivu...
5 Reactions
23 Replies
3K Views
Wakuu, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Simiyu. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. Mkoa wa...
3 Reactions
10 Replies
3K Views
Wakuu, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Manyara. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. Mkoa...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Wakuu, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Lindi. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. Kilwa...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Hivi kwa nini mikutano ya kampeni watu hufurika mno hasa vijana lakini ukienda vituo vya kupiga kura huwaoni. Yaani huo umati unaouona kwenye kampeni kama wote wangekuwa wanaenda kupiga kura...
1 Reactions
56 Replies
4K Views
Kwa hali ilivyo uchaguzi wa mwaka huu wa Oktoba ni kama bomu linalosubiri kulipuka, usipoendeshwa kwa tahadhari Tanzania inaweza kuandika historia mpya. Navikumbusha Vyombo vya Dola, Msajili wa...
33 Reactions
81 Replies
8K Views
Niko kituoni na washirika wenzangu muda sasa. Kimya kimya lakini hamasa kubwa moyoni. Iziraeli atupishilie mbali. Tunataka haki. Inshallah kutokana na haki amani hapa itatamalaki tu. Sala zetu...
31 Reactions
120 Replies
9K Views
Habari wana jukwaa. Kwanza namshukuru Mungu kunipa uzima na kuniwezesha kutimiza haki na wajibu wangu kikatiba wa kupiga Kura. Pia nitoe pongezi kwa Tume kwa jinsi zoezi hili muhimu...
1 Reactions
14 Replies
43K Views
Wakuu, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Tanga. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. Mkoa wa...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Wakuu, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Singida. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. Mkoa wa...
2 Reactions
25 Replies
5K Views
Viongozi wa CHADEMA angalieni maisha baada ya uchaguzi. Kukaa kimya bila kukemea au kukanusha uongo ulioenezwa LISSU alisafiri kutoka KIA Hadi Kawe Dar kwa helikopta bila kupata kibali toka...
29 Reactions
124 Replies
11K Views
Zikiwa zimesalia siku 7 tu kukamilisha muda wa kampeni , leo tena yule Mgombea wenu Jasiri Tundu Lissu anaendelea na kampeni zake za kuomba ridhaa yenu , ambapo atamaliza kazi kwenye baadhi ya...
29 Reactions
141 Replies
18K Views
Tumeona kwa macho yetu baadhi ya watu wanaojiita wana CCM wakijaribu kuhujumu uchaguzi huu. Tumeona ambavyo wanaonekana wakiwa na kura fake ambazo wanataka kuzichanganya na halisi. Hawa ni...
0 Reactions
0 Replies
863 Views
Back
Top Bottom