Lissu anasema Rais ni kiongozi wa kisiasa na kama ni kiongozi wa kisiasa, tunapsawa kushughulika nae kama kiongozi wa kisiasa anasema Rais anapaswa kusemwa, kuonywa, kukaripiwa.
Anasema kauli...
Wabongo nazani itawachukua miaka 500 kuja kuelewa kwamba shida kuuu ya nchi hii sio mtu bali ni hiki Chama. Chama na katiba ndio shida na wala sio watu.
CCM wanacho kuwa wamafanya kila chaguzi...
99.9999% ya wote walioshinda, wameshindwa kwa nguvu kubwa ya rushwa(kuhonga) kwa wajumbe na siyo nguvu ya kura za wajumbe makini.
Rais Mstaafu Kikwete ameteuliwa na Jumuiya ya Afrika Mashariki...
Chama cha Mapinduzi (CCM), kinaendelea na mchakato wa uchaguzi wa ndani, ambao hivi sasa umefika katika hatua ya uchaguzi wa viongozi wa kitaifa wa jumuiya zake za vijana, wazazi na wanawake...
Habari zilizonifikia kutoka kwenye vyanzo vyangu vinavyoaminika vinadai kuna mpasuko mkubwa kwenye korido za ufipa kwa kile kilichotajwa kuwa baadhi ha makada waandamizi kutoridhishwa na mwelekeo...
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Shaka Hamdu Shaka leo Jumanne Septemba 27, 2022 amesema chama hicho kimefuta matokeo ya chaguzi tano za UVCCM pamoja na kusimamisha chaguzi zaidi ya tatu za...
Nia ya mkataba wa DP WORLD ulikuwa na nia njema ya kuiongezea Tanzania mapato makubwa na baadae kuwekeza fedha hizi katika miradi ya maendeleo lakini kwa nia njema kabisa utaratibu haukufuatwa...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu alihojiwa na Dar 24 Media siku chache zilizopia. Akiwa katika mahojiano hayo Lissu amezungumza masuala mengi yanayohusu mwenendo wa kisiasa nchini.
Aidha...
Tanzania hii si ile. Watanzania hawa si wale. Wakati wetu (tukiwa kwenye kutumikia Serikali na chama), ilikuwa rahisi kama kula bisi kuwaaminisha watanzania juu ya jambo fulani.
Ilikuwa rahisi...
Haya makubaliano ya Kupeleka umeme Arusha na Tanga yatatekelezwa na Mkandarasi harafu Tanesco watakuwa wanalipa kidogo kidogo
---
Matumizi ya umeme Tanga, Arusha yapaa, Tanesco yasaini mkataba...
Nilikaa kusubiri juzi nilitarajia Rais Samia atavalia mavazi rasmi ya Kijeshi nilisubiri alipotokeza nikazani ni yule Rais nunda wa Korea ,kumbe ni yeyye,nikajisemea leo ni mambo ya Kijeshi na...
SIRI IMEVUJA
Wapatiwa malipo makubwa ya Kupinga Mkataba wa Uwekezaji katika Bandari. Taarifa zinasema Kampuni kutoka Ubelgiji inayojulikana Kwa Jina la BELG SEA INTERNATIONAL ambao walikuwa...
Baada ya Uvumi mkubwa wa kumhusisha Kinana na Kupinga uwekezaji wa Bandari Kwa DP World, hatimaye afunguka.
Akihutubia mkutano wa hadhara Mkoani Mara Kinana amesema Watanzania wasiwe na Wasiwasi...
Kwa mara nyingine tena mkoa wa Kagera unaachwa mpweke.
Kwa kujenga mnara wa mashujaa mkoa tofauti na Kagera ambapo ndo mkoa unaobeba historia ya vita na Uganda ni kuunyima mkoa huu fursa. Pale...
Miaka ya hivi karibuni Baraza la Sanaa la Tanzania limekosa kazi ya kufanya isipokuwa kusubiri wasanii watoe nyimbo ndo likae vikao kuzifungia.
Hata Rais Magufuli amewahi kutishia kulifuta Baraza...
Wateule wa Rais Katibu Mkuu, Katibu Mwenezi, Makamu Mwenyekiti Taifa, Wenyeviti na Makatibu wa CCM Mikoa, UVCCM, UWT na Mawaziri, siwaoni wakimsaidia Mama Samia, Rais na Mwenyekiti wa Chama Taifa...
Kimekuwa kilio cha muda mrefu kwa wafanyabiashara wa mikoani kinachosababishwa na ziara za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan.
Kawaida Rais anapokuwa mkoa fulani...