Tanesco: Bwawa la Mwalimu Nyerere Halitapunguza Bei ya Umeme

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,115
49,839
Hiyo ndio taarifa kutoka Tanesco,msije kusema hamkuambiwa.

Naendelea kuwakumbusha mnaoshangaa,hiyo sio Kauli Mpya kutoka Kwa Tanesco
 
Lazima iwe hivyo kwasababu yule aliyeanzisha ujenzi wa hilo bwawa, akiwa na nia ya kuongeza uzalishaji, na kupunguza gharama, hayupo tena.

Magufuli alianzisha ujenzi wa hilo bwawa baada ya kuona huu umeme uliopo mafisadi wameshauchakachua, wanajipatia pesa toka hapo, ndio maana akaona isiwe tabu, najenga bwawa lingine lizalishe umeme wakutosha.

Sasa bahati mbaya mwanzilishi wa ujenzi wa hilo bwawa ameondoka, matokeo yake wamebaki wale mafisi waliotutafuna mwanzo, ndio maana sishangazwi na hiyo taarifa ya Tanesco kwamba bei ya umeme haitapungua, tena hata licha ya uzalishaji kuongezeka.
 
Mafisi yameshika hatamu,

Unategemea umeme utapungua vipi?

Samia hana hela, ndio sababu kaamua kuuza bandari! Alivyo na kiburi kaamua kutuongezea mzigo mwingine wa kodi ya jengo.
CCM naona mnaparurana kinyama
images.jpg
 
Back
Top Bottom