Vyama vya ukombozi viheshimiwe

Vyama vya ukombozi viheshimiwe

Joined
May 2, 2026
Posts
58
Reaction score
48
Chama imara ,chama madhubuti kwa maendeleo ya watanzania wote hii ndiyo ccm yetu ya watanzania wote.

Afrika na ulimwengu itaendelea kuvikumbuka hivi vyama kwa mchango mkubwa wa ukombozi na kuleta usawa wa amani utulivu ,upendo ,Umoja na mshikamano katika mataifa Yao hivi vyama vimeleta heshima kubwa mpaka Sasa vyama hivyo ni Kama ifuatavyo

(1) Chama Cha mapinduzi (ccm) 05/2/1977 , hiki ndicho chama kikuu mzazi na mlezi wa wananchi wa Tanzania ndicho chama kinachoendelea kutupatia Tabasamu la Utu la maendeleo wananchi wake wa Tanzania ndiyo chama Tawala kipo madarakani na kitaendelea kuwepo madarakani mpaka milele .
(2)Frelimo toka kuanzishwa kwake tarehe 25/6/1962,mpaka Sasa kipo madarakani bado kinaendelea kuwapa Raha ya maendeleo wananchi wake wa msumbiji .
(3)Zimbabwe African Nation union patrioti front (ZANU PF) tangu kuanzishwa kwake mwaka 1983 mpaka Sasa bado kipo madarakani na kinaendelea kuwapambania wananchi wake kuwaletea maendeleo wananchi wa Zimbabwe chini ya Rais mnangagwa wananchi wake wanafurahia maendeleo.
Kenya African Nation union (KANU) chama hiki kilianzidhwa Mei 1960 ,kilipo angushwa na kuchukuwa vyama hivi vipya vya siasa mpaka Leo Kenya bado haipo sawa kiuchumi wananchi wake bado wanaendelea kuishi kwenye madimbwi ya matope ,siasa za ukabila na siasa za kujipendekeza kwa mabeberu imeathiri Sana ule Umoja na mshikamano wa wananchi wa Kenya .
(5) Chama Cha United National independence party (UNIP) chama hiki kilianzidhwa octoba mwaka 1959 ,chama hiki kiliangushwa madarakani na madaraka kuchukuliwa na chama Cha upinzani Cha Antony chiluba ambae awali alikuwa mtumishi wa shirika la Reli ya Tazara ,Baada ya kuchukuwa madaraka chiluba Taifa la Zambia likiendelea kuyumba kiuchumi maisha ya wananchi wake wa Zambia yaliendelea kudorola mpaka Sasa Taifa la Zambia bado uchumi wake wa pangu pakavu tia m mchuzi .

Tujihadhari Sana na vyama vipya vya siasa visije vikavuruga uchumi wetu .
Hasanteni Sana .
 
Mbona umesahau chama muhimu katika ukombozi wa tsifa hili kwa mara yapili kutoka makucha ya wakoloni weusi?
 
Back
Top Bottom