Tungekuwa Na Ofusi ya Msajili Iliyo Huru, CCM Ilistahili Kufutwa.

Bams

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
16,559
41,075
Kama tungekuwa na mifumo inayosimamia haki, kama tungekuwa na ofisi ya msajiki wa vyama vya siasa iliyo huru, inayotenda haki, inayoongozwa na watu wenye weledi walio wakweli wa nafsi na matendo yao, hakika CCM ingekuwa ilikwishafutwa tangu zamani. CCM inakosa vigezo muhimu vya chama cha siasa, na wakati fulani, huegemea zaidi kwenye kuwa kikundi cha kigaidi. Fikiria yafuatayo:

CCM ndiyo chama pekee ambacho mara nyingi kimepora pesa ya umma, na Hayati Mkapa alikiri hilo, akajutia na kuomba msamaha kwenye kitabu chake.

CCM ndio chama pekee kimewahi kufanya mauaji ya watu ama wasiounga mkono maovu yake, maovu ya viongozi wake au maovu ya serikali yake. Hayati Mkapa kwenye kitabu chake alijutia mauaji waliyoyafanya kule Zanzibar. Lakini pia yapo mauaji mengine mengi yanayohusishwa na CCM, au Serikali yake au green guards, ref. Mawazo, Sanane, Azory, Kanguye, bomu la kule Arusha, n.k.

CCM ndiyo chama pekee ambacho kinaongoza kwa ufisadi. Kila mwaka report ya CAG huonesha ufisadi uliofanywa kwenye taasisi mbalimbali zinazosimamiwa na makada wa CCM.

CCM ndiyo chama pekee kilichopora mali za umma, na kuzifanya mali zake. Majengo, viwanja vya mpira vilivyojengwa na watanzania wote na maeneo mengi ya wazi, imepora na kuyafanya ya kwake.

CCM ndiyo chama pekee ambacho kimejipenyeza kwenye vyombo vya ulinzi, kama polisi, na kulifanya jeshi la polisi kama idara mojawapo ya chama. Ndiyo maana CCM, hata wakati wa kampeni za uchaguzi, wakati taratibu zinasema mikutano yote iishe kabla ya saa 12 jioni, wao humaliza muda wanaoutaka.

Tukitaka nchi iwe na misingi ya haki, CCM ilitakiwa kufutwa, vyama vyote vijisajili upya, na mali zote ambazo CCM imepora, zipelekwe kwenye umiliki wa Serikali.

Mods: Tafadhali, naomba ibadilishwe hapo kwenye heading, badala ya ofusi isomeke ofisi.
 
Ahsante kwa kutujuza. Kumbe Saanane aliuawa sikulijua hilo.
Tuambie aliuawa wapi ,lini na nani?
 
Ccm ni chama dola,hakihitaji maamuzi ya umma kufanya yote hayo bali utashi wa watu wachache ndani ya chama kulinda maslahi yao.
 
Yule wa kiume wa pili umepigwa si wako kacheki DNA
 
Kabisa!
 
Una hoja ya msingi, usikilizwe.
 
Ahsante kwa kutujuza. Kumbe Saanane aliuawa sikulijua hilo.
Tuambie aliuawa wapi ,lini na nani?
Usijifanye huna ufahamu. Haya tuambie wewe unayejua kuwa yupo hai. Tuambie mmemweka wapi, na lini mtaleta mbele ya watu ili wamwone, waamini kuwa hamkumwua?
 
Kama tungekuwa na mifumo inayosimamia haki, kama tungekuwa na ofisi ya msajiki wa vyama vya siasa iliyo huru, inayotenda haki, inayoongozwa na watu wenye weledi walio wakweli wa nafsi na matendo yao, hakika CCM ingekuwa ilikwishafutwa tangu zamani. CCM inakosa vigezo muhimu vya chama cha siasa, na wakati fulani, huegemea zaidi kwenye kuwa kikundi cha kigaidi. Fikiria yafuatayo:

CCM ndiyo chama pekee ambacho mara nyingi kimepora pesa ya umma, na Hayati Mkapa alikiri hilo, akajutia na kuomba msamaha kwenye kitabu chake.

CCM ndio chama pekee kimewahi kufanya mauaji ya watu ama wasiounga mkono maovu yake, maovu ya viongozi wake au maovu ya serikali yake. Hayati Mkapa kwenye kitabu chake alijutia mauaji waliyoyafanya kule Zanzibar. Lakini pia yapo mauaji mengine mengi yanayohusishwa na CCM, au Serikali yake au green guards, ref. Mawazo, Sanane, Azory, Kanguye, bomu la kule Arusha, n.k.

CCM ndiyo chama pekee ambacho kinaongoza kwa ufisadi. Kila mwaka report ya CAG huonesha ufisadi uliofanywa kwenye taasisi mbalimbali zinazosimamiwa na makada wa CCM.

CCM ndiyo chama pekee kilichopora mali za umma, na kuzifanya mali zake. Majengo, viwanja vya mpira vilivyojengwa na watanzania wote na maeneo mengi ya wazi, imepora na kuyafanya ya kwake.

CCM ndiyo chama pekee ambacho kimejipenyeza kwenye vyombo vya ulinzi, kama polisi, na kulifanya jeshi la polisi kama idara mojawapo ya chama. Ndiyo maana CCM, hata wakati wa kampeni za uchaguzi, wakati taratibu zinasema mikutano yote iishe kabla ya saa 12 jioni, wao humaliza muda wanaoutaka.

Tukitaka nchi iwe na misingi ya haki, CCM ilitakiwa kufutwa, vyama vyote vijisajili upya, na mali zote ambazo CCM imepora, zipelekwe kwenye umiliki wa Serikali.

Mods: Tafadhali, naomba ibadilishwe hapo kwenye heading, badala ya ofusi isomeke ofisi.
CCM ilisajiliwa lini kama chama Cha siasa mfumo wa Vyama vingi Hadi IFUTWE na msajili?
 
Kama uchaguzi utakuwa huru na haki Chama chetu kijiandae kisaikolojia "alisikika Com. Humphrey Slowslow"
 
Back
Top Bottom