Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

  • Redirect
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa Kamishna wa Uhifadhi. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses...
1 Reactions
– Replies
– Views
Wakuu, Hapa inadaiwa ni Kijiji Cha Nyaburundu wilaya ya Bunda ambapo kuna mgodi ambao wananchi wanachimba inasemekkana kuwa Serikali imemuuzia mchina huo mgodi Soma Pia: Mnyika: CHADEMA...
0 Reactions
5 Replies
243 Views
Akizungumza wakati wa hafla ya utiaji saini ya hati ya ushirikiano kati ya Tanzania na Marekani kwenye Sekta ya Afya iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam, Waziri wa Afya, Mhe. Mohamed Mchengerwa...
1 Reactions
15 Replies
307 Views
Kuuliza si ujinga wala kutaka kujua si ujinga na kutafakari pia ni vema, Nimekuwapo tokea kipindi cha Nyerere, ila nimejitambua zaid kipindi cha Mwinyi ,Mkapa na Kikwete, Lakini nauliza kuna...
10 Reactions
165 Replies
31K Views
TAARIFA ikufikie popote ulipo kwamba Kama Kuu ya CHAMA kikuu cha SIASA Nchini Tanzania inakutana Mjini Kigoma kwenye ofisi ya Kisiasa ya Kanda ya Magharibi USIONDOKE JF KWA TAARIFA KAMILI
11 Reactions
27 Replies
542 Views
Wafuasi wa chadema mkiwa jukwani/mitandaoni mnabwatuka...eti ooh chadema inapendwa, acheni kujidanganya hakuna mtu anayekipenda chama cha vibaraka wa mabeberu, chama cha matusi, chama cha matapeli...
0 Reactions
5 Replies
92 Views
Zamani CCM ilikuwa inategemea kundi la wanawake kama kundi lake la wapiga kura. Lakini utafiti wangu siku za hivi karibuni nimegundua wanawake wengi hawataki kabisa kusikia habari za CCM...
5 Reactions
18 Replies
239 Views
Waziri wa Fedha Balozi Khamis Mussa Omaramjibu Luhaga Mpina kuhusu ufisadi kwenye uagizaji mafuta Tanzania Pia soma: Luhaga Mpina: Bei ya mafuta imeshuka soko la Dunia kwa 22% lakini hatuoni bei...
0 Reactions
2 Replies
215 Views
Katika misururu ya misiba ya viongozi na wanachama wa chadema sehemu mbalimbali nchini, pamekuwepo na tetesi, minong'ono, tuhuma na malalamiko ya mara kwa mara dhidi ya wizi au upigaji wa fedha za...
2 Reactions
40 Replies
424 Views
Wakuu, Kama mnavyoona hapa, wananchi wanachimba na kuchota maji kwenye mto uliokauka. Eneo hili linadaiwa kuwa ni Chandama, Wilaya Chemba, Mkoa Dodoma Video hii inasambaa sana kwenye mitandao ya...
3 Reactions
4 Replies
167 Views
Mjue zuio la Katambi liliwalenga Chadema.
2 Reactions
21 Replies
399 Views
Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Kasheku 'Musukuma', amesifu utendaji kazi na uthubutu wa aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, akibainisha kuwa msimamo wake thabiti...
2 Reactions
2 Replies
184 Views
Tulionya kuhusu October 29 kwamba serikali kujipachika madarakani kwa kutegemea vyombo vya dola itakosa uhalali wa kisiasa na ungwaji mkono wa wananchi walio wengi sasa kiko wapi...
12 Reactions
44 Replies
517 Views
Kwakweli sijawai kumkubali Ally Hapi wa Iringa, Kangi Lugola we nani ambaye unaona anazingua hapaswi kuwa hapo
1 Reactions
51 Replies
5K Views
Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu (Mb), amesema Bunge la Tanzania linaendelea kutekeleza wajibu wake wa msingi wa kuisimamia Serikali na kuhakikisha ustawi wa wananchi, huku akisisitiza kuwa...
2 Reactions
6 Replies
176 Views
Pongezi zenu vyombo vya nchi hii haswa jeshi la polisi na usalama mmejipanga mko attention kama siafu wanaovuka njia. Ni wazi kwamba bila hata kuambiwa waandamanaji wamerudi nyuma sana...
2 Reactions
11 Replies
247 Views
Hawa magwiji wawili wa siasa na jopo lao la viongozi ndani ya CDM wamefanya CCM wote kuchanganyikiwa na kupoteza legitimacy mbele ya wananchi kwa zaidi ya asilimia 80. Ni ukweli usiopingika kwamba...
2 Reactions
1 Replies
123 Views
Huku Arusha nauli za dalada ziko juu kuliko mji wowote Tanzania; kutoka kituo hadi kingine abiria wanalipishwa shilingi elfu moja [tsh.1,000/=], mkuu wa mkoa yupo, LATRA wapo, sasa mamlaka hizo...
10 Reactions
19 Replies
410 Views
Hamjambo! Bado nipo njia panda, Namkumbuka Captain Tesha, utulivu wake, Maneno yake, na body language yake, kisha baadaye tukuo la sauti kuvuja za kina Mafwele na kikao chao. Baadaye kabisa...
6 Reactions
96 Replies
2K Views
Na GULATONE MASIGA Katika siasa, mara nyingi ushindani hauhusu tu nani anajenga zaidi, bali pia nani anafanikiwa kujenga simulizi linaloaminika zaidi na wananchi. Ndiyo maana wakati mwingine hata...
0 Reactions
0 Replies
168 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…