Yuko wapi Lukas Mwashambwa?

Yuko wapi Lukas Mwashambwa?

Samiaagain2025

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2020
Posts
4,623
Reaction score
5,066
Ni muda mrefu sasa hatuoni nyuzi mfuatano za ndugu yetu, mzalendo na mnyenyekevu; bwana Lukas Mwashambwa.

Ajitokeze aseme wapi alipo na kwa nini amepoa hivyo.

Ama kuna mtu anayefahamu juu ya haya atueleze.
 
Yuko pale Benchi la Lumumba abasubiri Posho.
Baadae atakwenda ofisi za Umoja Wa Vilaza- CCM kufukuzia mikeka!
Usitusumbuwe humu mfuate pale pale mlipokutania mara ya kwanza.
 
Ni muda mrefu sasa hatuoni nyuzi mfuatano za ndugu yetu, mzalendo na mnyenyekevu; bwana Lukas Mwashambwa.
Ajitokeze aseme wapi alipo na kwa nini amepoa hivyo.
Ama kuna mtu anayefahamu juu ya haya atueleze.
Wewe ndiye huyo Lucas Mwashambwa naona Rais Samia kakupotezea unajaribu kujichekesha chekesha kama muuza k vile. HUTEULIWI NG'O !!!!
 
Yupo maandamanoni
Cupace20230923075117117.jpg
 
Ni muda mrefu sasa hatuoni nyuzi mfuatano za ndugu yetu, mzalendo na mnyenyekevu; bwana Lukas Mwashambwa.
Ajitokeze aseme wapi alipo na kwa nini amepoa hivyo.
Ama kuna mtu anayefahamu juu ya haya atueleze.
Tatizo la huyu dogo anapishana na uwepo wa fursa nzuri za uchawa wake. Kile kipindi cha mwanzo kabisa cha sakata la DPW ndipo haswa alipaswa kuwekeza zaidi uchawa wake hapo na kisha kuweka namba yake ya simu.

Badala ya kuusifu uwekezaji ule wenye masharti ya kimangungo yeye akageukia kwa Spika Tulia na ubunge wake. Sasa mzimu umetulia na watu wanazidi kukosa stimu, yeye sasa kageukia tena kwa mkwe, Mchengerwa. Namba yake ya simu kama kawa!
 
Ni muda mrefu sasa hatuoni nyuzi mfuatano za ndugu yetu, mzalendo na mnyenyekevu; bwana Lukas Mwashambwa.
Ajitokeze aseme wapi alipo na kwa nini amepoa hivyo.
Ama kuna mtu anayefahamu juu ya haya atueleze.
Hivi karibuni chawa wote walipewa onyo
 
Back
Top Bottom