Tusipokuwa makini tutapewa makundi 2 tuu huku wenzetu hasa Kenya wakipewa makundi 3 na pengine fainali kufanyika kwao.
Tujiandae kwa ushindani, viwanja 2 tuu havitoshi bora tujenge viwanja 5...
Jiji la Dar baada ya miezi mitatu litakua na foleni ka kufa mtu kama serikali haita amka na kuweka mikakati kama iliyo fanyika awamu ya 5.
Awamu ya 5 itakumbukwa kwa kuijenga Dar upya hata maeneo...
Bandari ya Ujiji imedumaa tofauti na matarajio yetu wana Kigoma Ujiji.
Kuna suala la Bandari ya Ujiji Kigoma tunaomba Serikali itusaidie Wananchi wa Kigoma Ujiji ,Bandari ya UJIJI haileta...
Na Kevin Lameck
Tanzania itaingia katika chaguzi mbili muhimu kwa mustakabali wa maendeleo ya wananchi na Taifa kwa ujumla. Ni uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka 2024 na uchaguzi Mkuu wa mwaka...
Msemaji wa Serikali, Mobhare Matinyi akiwa kwenye hafla za utoaji tuzo za Washindi wa Shindano la JamiiForums la Stories of Change zilizofanyika katika Hoteli ya Hyatt Regency Dar es Salaam, The...
Makamu wa Rais mh Dr Mpango aliwaongoza Wananchi na Wote wenye Mapenzi Mema katika mapokezi ya Mwadhama Protace Kardinali Rugambwa pale JNIA
Kardinali Rugambwa alisimikwa Kitini kama Kardinali...
Masai amejionea rangi zote; kila anapokwenda anaambiwa kaa mbali waache wawekezaji.
Amechapwa huko Ngorongoro, Manyara, Pwani na sasa huko Morogoro.
Hawa jamaa hadi unawaonea huruma kwa namna...
Nani asiyezijua ghiliba na faulo za CCM? Hii ikiwa tokea kwenye kucheza visivyo na taasisi za umma? Kununua wapinzani na ikibidi hata kukimbia na masanduku ya kura mchana mchana?
Wananchi kote...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa kipenzi cha Watanzania, Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuanza ziara ya kikazi nchini India kuanzia Tarehe 6-11 mwezi huu wa October kwa...
Msajili wa Milele wa Vyama vya siasa nchini Tanzania , Francis Mutungi , ameokota taarifa mitandaoni ambako inadaiwa kuna video ya Aibu ya kiongozi wa ccm inasambaa mitandaoni .
Sasa Mtukufu...
Kisiasa Zitto ameshaingia kwenye njia wanayotumia wenzake kusafiri kuelekea uzeeni. Zitto wa ACT siyo yule wa CHADEMA.
Mwanzo alipoamua kuanzisha mapambano na CHadema akiongozana na Kitila Mkumbo...
MBUNGE MARY MASANJA AGAWA MAGODORO NA MASHUKA SHULE YA MSINGI MITINDO
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mwanza, Mhe. Mary Masanja ameungana na viongozi wa Jumuiya ya UWT Misungwi katika zoezi la...
MBUNGE MARTHA MARIKI ATAJA MUAROBAINI WA KUMTUA MAMA NDOO KICHWANI MKOA WA KATAVI KATIKA ZIARA YA CHONGOLO
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Katavi, Mhe. Martha Festo Mariki ameshiriki katika ziara...
Suala la bandari mpaka sasa halina jibu linaloeleweka kutoka serikani kutokana na wasemaji wa Serikali wenyewe kupishana na kupingana. Mara waseme mkataba haujasainiwa, mara bunge limepitisha...
Mwalimu ni mtu mwenye dhamana yakuondoa ujinga kwa wengine lakini hana uhakika kama yeye amejiondolea ujinga.
Mwalimu ni mtu yupo radhi kumchapa mwanafunzi asiyeelewa ili aelewe lakini yeye...
Jaribu kutafakari kwanini Fulani anaweza na wewe huwezi ingawa umeenda shule
Tafakari kwanini kutwa nzima unabuni mbinu za kumsifia Sifia mwanamme mwenzio au mwanamke mwenzako Badala ya kumsifia...
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemwagiza Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza, Bw. Elikana Balandya awasimamishe kazi watumishi wawili wa Jiji la Mwanza huku akiagiza Kamishna Msaidizi wa Ardhi mkoa huo...
Kina Mwabukusi na wenzake wametokea na inayoaminika kuwa ni agenda muarobaini wa matatizo yetu ya muda mrefu kama nchi:
"Kupambana na maadui zetu kwa vitendo."
Haipo siri kuwa hii itatuvusha, na...
Huu Ndio Ukweli' kwamba Chadema ni Chama Cha Vijana ambayo Ndio Wengi kwenye population ya Tanzania
Hata CCM wanafeli sana kwenye mambo ya Vijana kwa sababu huwa hawaishirikishi Chadema Ndio...