Hili ni lazima liwekwe wazi, kwamba viongozi wanapofanya ziara zao za kikazi wasiingiliwe na Mamluki kwa namna yoyote ile, hata kama mamluki hao ni wafadhili wa CCM, Hili halikubaliki.
Huyu Asas...
Tulichofundishwa shuleni kuhusu Muungano, ni tofauti na ninayoyasikia Sasa!
Inasemekana, Muungano wa Tanganyika na Zanzibar haikuwa takwa la wananchi, bali la Karume na Nyerere, lakini zaidi...
Baba Mtakatifu Papa Francisco anayeketi Kitini pake Petro Mtume ameagiza Vita ya Israel na Hamas ifike Mwisho hakuna anayefaidika na Vita hiyo
Agizo la Papa Francisco anayeketi Kitini pake Mtume...
Salaam Wakuu,
Uchaguzi wa 2020 ulilkuwa ni Uchafuzi
Watu walikusanyika kumuombea Tundu Lissu apone, wakakamatwa na kufungwa miaka 4 kwa Uchochezi huku Magufuli akisema anatumbua.
Watu wenye...
Ukitembea tembea huko mitaani hasa vijijini, utawahurumia sana wananchi wenzetu wanavyoishi kwenye hali duni kabisa kimaisha. Naam, namaanisha uduni wa kukosa huduma za msingi kama vile barabara...
Na Mwl Udadis, Tarime
Moja ya kosa kubwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo wanafanya na ndio inayopelekea wao kuendelea kushuka kila siku ni kudhani kuwa kupendwa na watu ni miujiza au kuna njia...
Jitihada za kina Mwabukusi ni zenye mlengo wa kuwakabili maadui zetu kwa vitendo.
Kina Mwabukusi hawaongelei agenda za vyama. Kina Mwabukusi wanaongelea agenda za wananchi.
Nini kilicho bora...
Mdau mmoja kanipigia simu.
Wiki na ushee sasa Chato maji hayapatikani.
Ziwa lipo karibu kabisa kama km 1 tu.
Mbunge na mkuu wa Wilaya hawana msaada .
Huu ni uzembe mkubwa sana.
Salaam! Sisi baadhi ya wakazi wa mtaa wa Kimanilwentemi kata ya Bugogwa WILAYA ya Ilemela Tuna tatizo ambalo tunahisi Kuna harufu ya rushwa. Iko hivi, Kuna shule ya serikali imejengwa hapa mtaani...
Unadhania Watanzania ni wajinga wanafurahia kuishi kwenye umaskini huku Taifa lao ni rasilimali za kutosha kuondoa umasikini?
Unadhania siasa ni kuzuga na kupumbaza watu?
Unadhania siasa ni...
Mzee baba alipoingia madarakani. Ofisi nyingi sana za Chadema zilifungwa huku mitaani .
Ni muda sasa wa kufungua matawi yaliyofungwa ili kukitangaza chama na kupata wanachama wapya
Jumapili njema
Makosa ya nyuma yalitulazimisha kama Taifa tutake kupata mbadala wa chama chawala. Na kama ilishindikana basi walau kutoka humohumo kwenye uozo apatikane mmoja dikteta asiyeangalia uso asiyecheka...
Mwakilishi wa Chadema kwenye Msiba wa Diwani wa Kata ya Nkokwa , amemuomba Mkuu wa Wilaya hiyo kuchunguza ufisadi unaofanywa na Halmashauri hiyo .
Huku akishangiliwa na waombolezaji , Mwakilishi...
Tumeona Naibu Waziri Mkuu amerejea nyumbani lakini kinyume na matarajio wananchi wamegoma kumpokea kwa kiwango kilichokusudiwa.
Juzi waziri wa fedha na timu ya mawaziri kadhaa imetunga mbeya...
Team!
# Kuchagua kwa siri ni tukio baya sana - kutoichagua CCM ni kuionea kwa sababu hizi:-
* CCM imejenga Miundombinu - "barabara, viwanja vya ndege, meli, reli" kibao kwa ajili ya watanzania...
Kwa miaka 19 ya uzoefu kwenye uandishi wa habari leo (Julai 17,2023), nimekutana na jambo ambalo nisipopaza sauti nitakuwa sijaitendea haki taaluma yangu, nafasi yangu kama kiongozi wa taasisi ya...
Mwanzoni nilikuwa namsikiliza kwakuwa alianza kuonesha matumaini ya kujali demokrasia na haki.
Kwa bahati mbaya amenogewa na madaraka ameanza kutoa mipasho, vitisho, dalili za ukatili, kudharau...
Tunasikia mambo yanayotokea Mwanza. Hawa watu wanataka tu nafasi ya kutoa maoni yao. Kwa vile hawana nguvu,hakuna mtu anayetaka kuwasikiliza.
Polisi wanatumia ukali sana kwa vile wanafikiria...
Wana JF
Kagera imepata mwarobaini wa matatizo makubwa waliyokuwa wanayapata kwa muda mrefu.
Mkuu wa mkoa kagera afichua uozo hatari uliokuwa unaendeshwa chini chini na genge la wahuni kuhujumu...