My friends, ladies and gentlemen,
Sote ni mashuhuda kwamba, hivi sasa amani na utulivu wa nchi yetu kisiasa, kijamii na kiuchumi tangu tumalize uchaguzi mkuu wa kihistoria Oct.29.2025, unaendelea...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji wa Serikali, Gerson Msigwa akifanya mahojiano na Bongo FM leo Mei 15, 2026
Mwandishi: "Unadhani ni kwa nini...
Amehudumu katika nafasi moja tangu mwaka 2013(miaka 13!). Amefanya kazi chini ya marais watatu bila kuondolewa kwenye kiti chake au hata kunyooshewa kidole na mtawala yeyote wakati wowote.
Wote...
NJIA RAHISI YA KUIFUTA CHADEMA: AANDIKA ASKOFU BAGONZA
Watu wengi uraiani, vijiweni na serikalini wameniuliza nitoe maoni juu ya hatua ya Msajili wa Vyama Vya Siasa kuiandikia barua Chadema...
Anaandika Askofu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe, Kalikawe Lwakalinda Bagonza kupitia ukurasa wake wa Facebook
Watu wengi uraiani, vijiweni na serikalini wameniuliza nitoe maoni juu ya hatua ya...
Akiongea kwenye hafla ya uzinduzi wa Ujenzi wa uwanja wa Yanga leo, Mkuu wa Mkoa wa DSM ameitaka Yanga kutoiombea mabaya Simba ili ife bali waombe iendelee kuwepo ushindani uwepo, kasema Yanga...
Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Njombe, Neema William Mgaya, ameishauri Wizara ya Maliasili na Utalii kuongeza kasi ya kutafuta masoko mapya ya utalii duniani badala ya kutegemea masoko ya...
Eti kama anataka kutoa ushauri awe anaenda Ikulu.
Je kama ushauri anaoutoa fargha unapuuzwa? Kwa nini asiyatoe yake ya moyoni Mzee Warioba.
Vipi kuhusu mstaafu aliyepitisha mgombea kibabe mwezi...
Katika zama hizi za AI kama OpenAI ChatGPT, nyie mnampimaje uwezo wa kiongozi wa chama tawala au upinzani? Maana leo hii wote wanaweza kutafuta hoja kali, hotuba nzuri na majibu ya kisomi kupitia...
Ni ajabuWaziri wa katiba na Sheria kutaja jina, eneo, mtu alikokuwa anafanyia kazi na namba ya simu ya mteja anayemuhudumia, haoni kuwa anavunja sheria ya ulinzi wa taarifa binafsi za mtu.
Au...
Watu wengi wanapozungumzia nguvu ya mabadiliko ya kisiasa huwa wanakimbilia sana kuipa nguvu Generation Z kwa sababu ndiyo wanaonekana zaidi mtandaoni. Lakini ukiangalia kwa undani historia ya...
Baada ya uchaguzi na mijadala ya kisiasa, kulizuka wimbi kubwa la hasira mtandaoni ambapo baadhi ya vijana walitangaza kuwasusia wasanii waliodaiwa kuunga mkono Chama Cha Mapinduzi. Mitandaoni...
OFISI YA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA IDHIBITIWE KABLA HAIJASABABISHA MAAFA KWA MARA YA PILI.
Tumeshauri sana na tunaendelea kushauri. Ofisi ya Msajili wa Vyama ndiyo chemichemi ya vurugu za...
Watu wengi uraiani, vijiweni na serikalini wameniuliza nitoe maoni juu ya hatua ya Msajili wa Vyama Vya Siasa kuiandikia barua Chadema. Barua hiyo inatafsriwa kuwa ina lengo la kuifuta CDM au...
Uchunguzi wa Tume umebaini kuwa vijana wengi walidanganywa na kushawishiwa kushiriki ghasia baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025.
Baadhi ya wanasiasa na wanaharakati walitumia mitandao ya...
TANZANIA BWANA
-Wanasiasa wanatumia matatizo ya wananchi kujipatia Pesa!
-Machawa wanatumia wanasiasa wanaotumia matatizo ya wananchi kujipatia, nao kujipatia Pesa!
-Wanaharakati baadhi nao...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Mheshimiwa Jaji Francis S.K. Mutungi kuwa Msajili wa Vyama vya Siasa.
Taarifa iliyotolewa Dar Es Salaam leo...