Askofu Bagonza apendekeza njia rahisi na salama ya kuifuta CHADEMA

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
51,485
Reaction score
99,926
NJIA RAHISI YA KUIFUTA CHADEMA: AANDIKA ASKOFU BAGONZA

Watu wengi uraiani, vijiweni na serikalini wameniuliza nitoe maoni juu ya hatua ya Msajili wa Vyama Vya Siasa kuiandikia barua Chadema. Barua hiyo inatafsriwa kuwa ina lengo la kuifuta CDM au kuifungia. Maoni yangu yanapendekeza njia rahisi na SALAMA ya kuifungia au hata kuifuta Chadema.

1. Niliwahi kusema kuwa “uchaguzi mkuu bila CDM ni sawa na kufikiria uchaguzi bila CCM”. Tumekuwa na uchaguzi bila CDM. Kila mtu anauhoji. Asiye mtu ndiye anaona ni kawaida.

Je twaweza kujaribu uchaguzi bila CCM? Nashauri tusionje sumu.

2. Wazo la kuifuta Chadema lipo. Nashauri twende njia ile ile ya uchaguzi lakini tubadili formula au mpangilio. Tuifute CCM na kubakiza CDM. Halafu tuishauri CCM kwa siri ili iombe radhi. CCM isamehewe na kurudi uwanjani.

3. Halafu tuifute CDM. Kwa “kiburi” chao watakataa kuomba radhi. Ifutwe moja kwa moja. Kwa njia hiyo CDM watakula jeuri yao na CCM watavuna matunda ya unyenyekevu wao.

4. Mpangilio huu unazingatia ukweli kwamba, CCM na CDM wote ni wababe. Mmoja ana bunduki na risasi, mwingine ana manati na mawe. Na hatuna utawala wa sheria ulio na miwani ya kuona madhambi ya CCM. Chadema inasaidiwa na dola ijione kuwa inaonewa. Ofisi ya Msajili-kipofu inahujumu maridhiano na amani ya nchi kwa kudhani inaikomoa CDM.

5. Tuliwahi kuvifuta TANU na ASP na kuzalisha CCM. TANU haikuwa na historia ya kumwaga damu lakini ikaungana ASP iliyokuwa na damu mikononi mwake. Mtoto CCM aliyezaliwa ana nini? Tukiifuta CDM itazaliwa ipi?

6. Mnaonaje tuifute TEC tubakize CCT!? Au tuifute BAKWATA tubakize Shura ya Maimamu au Answar Sunna?! Nayasema haya kwa sababu tumefeli kuishi kwa amani na tofauti zetu. Narudia kushauri WASAJILI WETU wafanye kazi ya kusajili siyo kuendesha taasisi wanazozisajili.

7. Tatizo siyo CCM, Wala CDM. Na tatizo siyo Rais SSH. Anaweza kuwa anaonewa na kuhujumiwa. Atazungumzaje maridhiano wakati watu wake wanakazana kufungia, kuteka, kukata vichwa, kuzuia mijadala nk? Tutagundua tumechelewa.

8. Tuna matatizo makubwa mawili: Fedha na hofu ya ukweli. Kwamba fedha zinunue utu, uhai, haki, teuzi, heshima, ukweli, chaguzi, na ajira. Halafu, kila mtu aogope kuonana wala kusikilizana na Ndugu UKWELI. Kuogopa ukweli kunatibiwa na kukubali ukweli.

9. Fedha/Rushwa imeingizwa katika vyombo vitakatifu mpaka mahekaluni. Ni tamu. Utamu huu unavifanya vyombo hivyo vitamani madaraka ili vilinde rushwa. Nashauri tuchore msitari, tuache rushwa. Tusipoacha, atainuka mtu anayekula rushwa lakini ameichukia. Atatutapisha hiyo rushwa. Mbona mnasahau upesi?!

10. Namba 1 mpaka 9 hapo juu yaweza kusababisha walio madarakani waogope kuondoka kwa kuhofia kulipwa kisasi. Wanaotafuta madaraka wanaweza kuwa wanapania wakiingia walipe kisasi. Hakuna mwisho bila kuweka msitari. Kisasi kina risasi.

Wajomba wa Kijaluo wana hekima isemayo, “Mwanamme mkalimu kupita kiasi husababisha watoto wa majirani wazaliwe wakimfanana”.
 
Wajomba wa kijaluo wana msemo wenye hekima kweli kweli 😁 !

Atainuka mtu anayekula rushwa lakini ameichukia, atatutapisha hiyo rushwa mbona mnasahau Upesi ?????!! 😁
Askofu Bagonza ni kiboko 👍🙏🙏

Ngoja Tusubiri tuone 🕰️😳
 
CDM ni Daudi na CCM ni Goliathi. Kombeo Moja linaandaliwa na Mungu na ndio utakuwa mwisho wa Goliathi.
 
Ushauri mzuri sana kutoka kwa Baba Askofu.
Nasubiri na maoni ya Askofu Malasusa.
 
Anaandika Askofu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe, Kalikawe Lwakalinda Bagonza kupitia ukurasa wake wa Facebook

Watu wengi uraiani, vijiweni na serikalini wameniuliza nitoe maoni juu ya hatua ya Msajili wa Vyama Vya Siasa kuiandikia barua Chadema. Barua hiyo inatafsriwa kuwa ina lengo la kuifuta CDM au kuifungia. Maoni yangu yanapendekeza njia rahisi na SALAMA ya kuifungia au hata kuifuta Chadema.

1. Niliwahi kusema kuwa “uchaguzi mkuu bila CDM ni sawa na kufikiria uchaguzi bila CCM”. Tumekuwa na uchaguzi bila CDM. Kila mtu anauhoji. Asiye mtu ndiye anaona ni kawaida.
Je twaweza kujaribu uchaguzi bila CCM? Nashauri tusionje sumu.

2. Wazo la kuifuta Chadema lipo. Nashauri twende njia ile ile ya uchaguzi lakini tubadili formula au mpangilio. Tuifute CCM na kubakiza CDM. Halafu tuishauri CCM kwa siri ili iombe radhi. Iombe radhi. CCM isamehewe na kurudi uwanjani.

3. Halafu tuifute CDM. Kwa “kiburi” chao watakataa kuomba radhi. Ifutwe moja kwa moja. Kwa njia hiyo CDM watakula jeuri yao na CCM watavuna matunda ya unyenyekevu wao.

4. Mpangilio huu unazingatia ukweli kwamba, CCM na CDM wote ni wababe. Mmoja ana bunduki na risasi, mwingine ana manati na mawe. Na hatuna utawala wa sheria ulio na miwani ya kuona madhambi ya CCM. Chadema inasaidiwa na dola ijione kuwa inaonewa. Ofisi ya Msajili-kipofu inahujumu maridhiano na amani ya nchi kwa kudhani inaikomoa CDM.

5. Tuliwahi kuvifuta TANU na ASP na kuzalisha CCM. TANU haikuwa na historia ya kumwaga damu lakini ikaungana ASP iliyokuwa na damu mikononi mwake. Mtoto CCM aliyezaliwa ana nini? Tukiifuta CDM itazaliwa ipi?

6. Mnaonaje tuifute TEC tubakize CCT!? Au tuifute BAKWATA tubakize Shura ya Maimamu au Answar Sunna?! Nayasema haya kwa sababu tumefeli kuishi kwa amani na tofauti zetu. Narudia kushauri WASAJILI WETU wafanye kazi ya kusajili siyo kuendesha taasisi wanazozisajili

7. Tatizo siyo CCM, Wala CDM. Na tatizo siyo Rais SSH. Anaweza kuwa anaonewa na kuhujumiwa. Atazungumzaje maridhiano wakati watu wake wanakazana kufungia, kuteka, kukata vichwa, kuzuia mijadala nk? Tutagundua tumechelewa.

8. Tuna matatizo makubwa mawili: Fedha na hofu ya ukweli. Kwamba fedha zinunue utu, uhai, haki, teuzi, heshima, ukweli, chaguzi, na ajira. Halafu, kila mtu aogope kuonana wala kusikilizana na Ndugu UKWELI. Kuogopa ukweli kunatibiwa na kukubali ukweli.

9. Fedha/Rushwa imeingizwa katika vyombo vitakatifu mpaka mahekaluni. Ni tamu. Utamu huu unavifanya vyombo hivyo vitamani madaraka ili vilinde rushwa. Nashauri tuchore msitari, tuache rushwa. Tusipoacha, atainuka mtu anayekula rushwa lakini ameichukia. Atatutapisha hiyo rushwa. Mbona mnasahau upesi?!

10. Namba 1 mpaka 9 hapo juu yaweza kusababisha walio madarakani waogope kuondoka kwa kuhofia kulipwa kisasi. Wanaotafuta madaraka wanaweza kuwa wanapania wakiingia walipe kisasi. Hakuna mwisho bila kuweka msitari. Kisasi kina risasi.

Wajomba wa Kijaluo wana hekima isemayo, “Mwanamme mkalimu kupita kiasi husababisha watoto wa majirani wazaliwe wakimfanana”.

bagonza.png
 
View attachment 3589048
Gentleman,
wakati mwingine kubabaika na porojo, mpipasho na hadaa za kiongozi wa dini fuska na mnafiki kama huyu Kalikawe B ni dhambi hata kwa Mungu.

kumpuuza ni kujiepusha na dhambi 🐒
 
Back
Top Bottom