PostGE2025 Vijana Wadanganywa Ghasia za Uchaguzi 2025

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
479
Reaction score
474
Uchunguzi wa Tume umebaini kuwa vijana wengi walidanganywa na kushawishiwa kushiriki ghasia baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025.

Baadhi ya wanasiasa na wanaharakati walitumia mitandao ya kijamii kueneza kauli na picha za uwongo ili kuibua hasira zao.

Vijana waliaminiwa kuwa wanalinda haki yao ilhali walikuwa wakitumika kama zana ya kisiasa. Ushahidi wa mashahidi unaonyesha jinsi walivyopangwa na kupewa maelekezo maalumu. #UwajibikajiKisiasa
#TumeYaUchunguziReport
Jukumu La Vijana
IMG-20260514-WA0058.jpg
 
Uchunguzi wa Tume umebaini kuwa vijana wengi walidanganywa na kushawishiwa kushiriki ghasia baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Baadhi ya wanasiasa na wanaharakati walitumia mitandao ya kijamii kueneza kauli na picha za uwongo ili kuibua hasira zao. Vijana waliaminiwa kuwa wanalinda haki yao ilhali walikuwa wakitumika kama zana ya kisiasa. Ushahidi wa mashahidi unaonyesha jinsi walivyopangwa na kupewa maelekezo maalumu. #UwajibikajiKisiasa
#TumeYaUchunguziReport
Jukumu La VijanaView attachment 3588928
Watakatifu.

Nyie ndio matajiri.

Nyie ndio wenye nchi.
Nyie ndio mnaokosewa.

Myie ndio watoa vyeo.

Miungu wa watu.
 
Unaongelea vijana hawa waliozaliwa na technology ama wale wa Enzi za Nyerere?

Punguzeni kujidhalilisha.na hivi vijana wa siku hizi wasivyo na adabu.
Mtapata tabu sana!
 
Uchunguzi wa Tume umebaini kuwa vijana wengi walidanganywa na kushawishiwa kushiriki ghasia baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Baadhi ya wanasiasa na wanaharakati walitumia mitandao ya kijamii kueneza kauli na picha za uwongo ili kuibua hasira zao. Vijana waliaminiwa kuwa wanalinda haki yao ilhali walikuwa wakitumika kama zana ya kisiasa. Ushahidi wa mashahidi unaonyesha jinsi walivyopangwa na kupewa maelekezo maalumu. #UwajibikajiKisiasa
#TumeYaUchunguziReport
Jukumu La VijanaView attachment 3588928
Screenshot_20260514-220943~2.png
 
Ni mhuni mwendawazimu pekee anayeweza kuamini kuwa kulikuwa na uchaguzi 2025.
 
Hivi wanaoleta uharo kama huu humu jamvini wanalipwa nini, kiasi gani?
 
Back
Top Bottom