Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mapema leo, mgombea wa ubunge Arusha mjini kwa ticket ya CCM alikua anarudisha fomu yake kwa msimamizi wa uchaguzi Arusha. Pamoja nae ameandamana na mgombea wa viti maalum bi Catherine Magige...
3 Reactions
57 Replies
7K Views
Jimbo la Moshi Mjini lililoko Moshi mkoani Kilimanjaro limekuwa chini ya CHADEMA kwa muda wa miaka 20, kuanzia mwaka 1995. Katika Uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi mwaka 1995 Antony Komu...
4 Reactions
25 Replies
3K Views
Wakuu, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Mara. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. Mkoa wa...
6 Reactions
33 Replies
8K Views
Aliyekuwa Naibu Spika wa Bunge lililopita, Dkt. Tulia Ackson, kupitia CCM ametangazwa kuwa mshindi wa Ubunge wa jimbo hilo kwa kupata kura 75,225. Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo hilo kupitia CHADEMA...
4 Reactions
68 Replies
8K Views
Wakuu, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Dar es Salaam. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka...
3 Reactions
57 Replies
13K Views
Watumiaji wa mtandao wa twitter, Telegram, wanashindwa kupata huduma hiyo kupitia kampuni ya simu ya Vodacom. Tatizo hilo limeanza siku ya leo. PIA SOMA = > Leo Mitandao ya kijamii Tanzania Bara...
45 Reactions
604 Replies
77K Views
Wakuu, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Kilimanjaro. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka...
2 Reactions
23 Replies
6K Views
Baada ya tarehe 28 October, Tanzania hali ni shwari na yenye utulivu Watanzania tumemaliza Uchaguzi na Chadema wameshindwa Vibaya sana wamebaki kama Chauma. Lissu nani alikudanganya kuwa...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Tangu juzi kulikuwa na tetesi za kwamba mitandao ya kijamii itazimwa kuanzia leo tarehe 27/10. Binafsi sikuamini kabisa habari hii kwa sababu moja tu [emoji117]Hakuna athari itakayotokea kuharibu...
73 Reactions
209 Replies
18K Views
Wanabodi, Sisi wana tasnia ya habari, kwenye uchaguzi huu, zaidi ya kuwahimiza watu na kuwahamasisha, hiyo tarehe 28 October, wajitokeze kwa wingi, kwenda kupiga kura, na kuitumia haki yao ya...
24 Reactions
273 Replies
17K Views
Nakumbuka CCM walikuwa makini sana mwanzoni kabisa kuhimiza wanachama wake kujiandikisha na kuboresha taarifa zao katika daftari la kudumu la wapiga kura, CHADEMA wao walikua kwenye msuso...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakuu, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Tabora. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. Mkoa wa...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na mgombea urais kupitia CCM amesisitiza kuwa atastaafu rasmi Urais na kamwe hataongeza hata siku moja ifikapo 2025. Kauli hii inaondoa kiwingu...
5 Reactions
91 Replies
9K Views
Wakuu, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Shinyanga. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. Mkoa...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwa mjibu wa taarifa kutoka vyombo mbalimbali vya habari zikiwemo ITV, AZAM, CHANNEL 10, TBC na Online TVs karibu kila kona ya Tanzania zoezi la upigaji kura limeenda vizuri na kasoro nyingi...
8 Reactions
50 Replies
4K Views
Katika makosa watayofanya wapinzani awamu hii ni kushiriki uchaguzi mkuu huu bila kujitathimini na kuweka mambo sawa yafuatayo 1. Je, bado wanakubalika na wananchi? 2. Je, wananchi bado wana...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Mstaafu Semistocles Kaijage amesema kuna majimbo manne ambayo uchaguzi wa madiwani haujafanyika. Majimbo matatu Wagombea wamefariki na jimbo moja la...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Wakuu, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Njombe. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. Mkoa wa...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Mstaafu Semistocles Kaijage amesema Tume hiyo haijapokea taarifa za uwepo wa kura feki katika majimbo ya Kawe, Pangani na Kigoma. Amewataka wananchi...
1 Reactions
70 Replies
5K Views
MDOGO WANGU KANIAMBIA AMENIDHARAU KWA KUSEMA SITAMCHAGUA TUNDU LISU. Na, Robert Heriel Unajua mpaka siamini kabisa kwamba mdogo wangu wa kuzaliwa anaweza nambia maneno makali kama yale. Nina...
16 Reactions
68 Replies
7K Views
Back
Top Bottom