thetallest
JF-Expert Member
- Oct 21, 2017
- 8,256
- 9,085
Nakumbuka CCM walikuwa makini sana mwanzoni kabisa kuhimiza wanachama wake kujiandikisha na kuboresha taarifa zao katika daftari la kudumu la wapiga kura, CHADEMA wao walikua kwenye msuso ,ikumbukwe baada ya uchaguzi wa serikali za mitaa walibaha ,kwani walitegemea mataifa ya nje yataingilia mchakato ,haikuwa hivyo.
CHADEMA wakaanza ooh! hatutashiriki kwenye uchaguzi bila tume huru ,tunataka marekebisho ya katiba nakadhalika ,vyote hivyo hawakuvipa umuhimu uanaostahili ,wakaachana navyo , sasa wamekubali kwenda kwenye uchaguzi bila tume huru wala marekebisho ya katiba ,ikumbukwe pia hawakuhimiza wanachama wao kujiandikisha na kuboresha taarifa zao katika daftari la wapiga kura.
Walikua bize na matukio ambayo hayakuwajenga hata kidogo,chadema mtaji wao ni mitandao ya kijamii tu yenye watu wenye user kumikumi,hawa wanawapoteza sana ,wamesahau field ndiko kwenye mtaji wa kura, na ccm ndio imejisimika barabara.
Nauliza tena chadema watashinda uchaguzi kwa muujiza gani ?
Sana ninachokiona wanaingia kwenye uchaguzi huu wakijua hawatashinda ,ispokua lengo lao ni kuja kuleta vurugu ya maandamano na kuchoma mioto hovyo mabarabarani kama tuonavyo kwa baadhi ya nchi, , wakikataa matokeo ya uchaguzi,hili limepangwa kwa ustadi mkubwa sana ,Lissu alipokuwa huko Ubelgiji kwa waasisi wa mapinduzi,kujua hilo fuatilia kauli za Lissu na viongozi wa chadema utajua namaanisha nini,bado.hujauza sera.kwa wananchi unakimbilia kukataa matokeo,hii ni hatari Sana.
Naviomba vyombo vya ulinzi na usalama kufuatilia nyendo zao kwa umakini sana kuanzia sasa mpaka pale tutakapomaliza kupiga kura na matokeo kutangazwa
Mwisho: kwa umuhimu ,ni jukumu letu sote kama watanzania kwa kila mmoja wetu kuwa askari wa mwingine,na kutoa taarifa kwa vyombo vya ulinzi na usalama unapohisi vihatarishi vyovyote vya uvunjifu wa amani,taifa likibomoka tunabomoka sote na kizazi kijacho,walioivuruga Libya wamepewa hifadhi ughaibuni huku nchi hiyo ikiangamia na walielezwa wanaenda kupewa demokrasia bora ya kimagharibi,iko wapi sasa?