Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wanabodi, Naendelea na Makala maalum za Maadhimisho ya Miaka 30 ya TRA, hii ni taarifa ya TRA Wenyewe Niwatakie Jumamosi Njema. Paskali.
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Wana JamiiForums, Kuna wimbi la nyuzi za kijinga na za kipuuzi zinazoanzishwa wakati huu nchini, zikiongozwa na hofu kubwa ya maandamano na mabadiliko ya kisiasa. Katika nyuzi hizo, wapo wanaoibua...
1 Reactions
0 Replies
74 Views
Watu wengi huenda hawaelewi kwanini Tundu Lissu kaamua kuwa anaingia mahakamani kwa style ile na bila shaka wengi hawapati majibu. Binafsi naamini sababu ni hizi: 1. Kuonyesha kuwa sasa anaishi...
12 Reactions
11 Replies
419 Views
"LEMA HAJAELEWA SOMO" TUNDU LISSU "Huyu jamaa mbona nywele ziko safi,hajaelewa somo!?" Hajaelewa zilisikika sauti za wafuasi wa Chadema, Lema akazuga mkuu mbona unagain weight,meseji sent,je...
3 Reactions
18 Replies
462 Views
Ni jambo la fedheha kuwa si Rais Mstaafu Kikwete wala CCM hawajalaani mauaji ya vijana wa Tanganyika. Hili limekaaje wadau? NYONGEZA. Hapa karibuni, Msukuma ameliongelea hili. CCM imedoroa.
11 Reactions
65 Replies
2K Views
Ukitaka kujua aina ya watu wanaojiita watawala na level ya fikra zao na uwezo wao, Msikilize huyu bwana Ulega!!!! Yaani una Nchi yenye kilometa za mraba 945,000. Nchi pekee yenye Tanzanite...
11 Reactions
29 Replies
676 Views
Ukisoma ibara zote za Katiba ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kosa pekee la uhaini ambalo limetatwa kwenye katiba ni uhaini. Kwa mujibu ya ibara ya 28 (4) uhaini ndio kosa kubwa kuliko yote...
7 Reactions
7 Replies
252 Views
Katika familia inatarajiwa Baba akiyumba, basi Mama amuimarishe Baba, Mama akishindwa na yeye akayumba vile vile, basi Watoto wawaimarishe wazawa wao, lakini kama imeshindikana kabisa watoto...
1 Reactions
4 Replies
119 Views
1 Timotheo 3:1-7 [1]Ni neno la kuaminiwa; mtu akitaka kazi ya askofu, atamani kazi njema. This is a true saying, If a man desire the office of a bishop, he desireth a good work. [2]Basi imempasa...
7 Reactions
26 Replies
479 Views
Aliyekuwa Mwakilishi wa Jimbo la Kikwajuni na Mstahiki Meya Mstaafu wa Jiji la Zanzibar, Ndg. Mahmoud Muhammed Mussa amefariki Dunia leo Aprili 6, 2026. Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na...
2 Reactions
7 Replies
373 Views
COMMENTS ZIWE FUPINFUPI Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Itilima, mkoani Simiyu, Mhuli Ngeleja amefariki Machi 18, 2026 huku CCM ikimtaja kama kiongozi shupavu na mwadilifu...
4 Reactions
12 Replies
457 Views
Kwa sasa serikali imejifungamanisha na kanisa la KKKT, wanapewa mabilioni kwa kofia ya harambee, wakristo wa kweli ukataeni huu ushenzi, kanisa linapokea rushwa, kanisa limekubali serikali...
15 Reactions
88 Replies
1K Views
Serikali za Tanzania na Serikali ya Marekani zimesaini Hati ya Makubaliano (MoU) ya ushirikiano katika sekta ya afya ya miaka mitano itakayotekelezwa kuanzia mwaka 2026 hadi 2030, yenye thamani ya...
3 Reactions
39 Replies
660 Views
Haya sasa, Mbunge Msukuma kawatolea uvivu wale walio ingiza maneno fiksi juu ya ajira na mambo ya Afya inapokuja waTanganyika huko Zanzibar. Msukuma kajieleza vizuri alipoongea na waandishi wa...
9 Reactions
33 Replies
744 Views
KAFULILA: ECOSYSTEM YA UBIA INAJUMUISHA WANANCHI, SERIKALI NA SEKTA BINAFSI == Akijibu masuala ya wadau katika Kongamano la Kitaifa la Nishati, Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha PPP (PPPC), Bwana...
5 Reactions
16 Replies
1K Views
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali imegundua mipango ya uvunjifu wa amani inayopangwa, na inapochukua hatua wahamasishaji wanakuwa wakali wanatafuta pa kuegemea pamoja na...
2 Reactions
41 Replies
708 Views
TLS Tanganyika Law Society wamepewa magari 2 Toyota Hard Top wameshangilia na kumshukuru Samia. PUZZLE: Chadema wakipewa msaada kama huo watapokea na kushukuru? Erythrocyte
3 Reactions
52 Replies
480 Views
Huwa naangalia drama za Tundu Lissu akipelekwa au akiwa mahakamani nashindwa kuelewa tatizo liko wapi. Ni kwamba serikali, polisi na magereza wanaogopa atatoroka au nini hasa, kwamba watu...
22 Reactions
60 Replies
854 Views
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!! Nchi yetu imesaini makubaliano muhimu ya sekta ya Afya yenye thamani ya bilioni 3.1. Hili sio jambo dogo hususani ukiangazia mwenendo wa ufadhili wa USA kwa...
0 Reactions
2 Replies
126 Views
Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Wakili Dkt. Rugemeleza Nshala, amesema mwenyekiti wa chama hicho Tundu Lissu ameiambia mahakama kuwa amekaa mahabusu kwa siku 139 tangu...
3 Reactions
23 Replies
569 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…